KLABU ya Tanzania Prisons imetangaza kuachana na wachezaji wake 16 waliomaliza mikataba.
Taarifa ya Prisons imesema kwamba, kati ya hao kuna ambao klabu imefikia uamuzi wa kutowaongeza mikataba ya kuendelea nao msimu ujao na wengine wameamua kuondoka kwenda klabu nyingine.
Hao ni makipa Jeremiah Kisubi, Andrew Ntala na Prosper Kaini, mabeki Shaban William, Steven Mwaijala, Nico Mwaipaja, Suleiman Mangoma na winga Hamidu Mohamed.
Wengine ni viungo Francis Joel, Salumu Bosco, Ramadhan Ibata na washambuliaji Kassim Mdoe, Stamili Mbonde, Gasper Mwaipasi na Kennedy Kipepe.
Aidha, uongozi wa Tanzania Prisons upo kwenye mazungumzo na Adili Buha, Shadrack Thomas na Mohamed Mkopi juu ya mikataba mpya.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3D5n5Jh
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms