KLABU ya Paris Saint-Germain ilimtambulisha mchezjai wake mpya, Lionel Messi mbele ya mashabiki Uwanja wa Parc des Princes kabla ya mchezo wao wa kwanza wa Ligue 1 wakiibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya Strasbourg.
Messi alirudi jukwaani kushuhudia mabao ya Mauro Icardi dakika ya tatu, Kyllian. Mbappé dakika ya 25, Julian Draxler dakika ya 27 na Pablo Sarabia dakika ya 86 yakiing’arisha PSG.
Messi mwenye umri wa miaka 34 amesaini mkataba wa miaka miwili PSG baada ya miaka 20 ya kuichezea Barcelona akianzia timu ya vijana mwaka 2000 na jumla amecheza mechi 778, amefunga mabao 672 na kuiwezesha kushinda mataji 35, yakiwemo 10 ya La Liga na manne ya Champions League.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3yVaVAw
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang PSG YAMTAMBULISHA MESSI KABLA YA KUICHAPA STRASBOURG 4-2. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/08/psg-yamtambulisha-messi-kabla-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.