VIGOGO Yanga SC watawakosa wachezaji wake sita katika mechi ya kwanza Raundi ya Awali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Rivers United Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam kwa sababu mbili tofauti.
Mabeki Yassin Mustapha na David Bryson na kiungo Mapinduzi Balama wote ni majeruhi na kwa pamoja hawapo kwenye programu ya kocha Mtunisia, Nasreddine Mabi.
Aidha, mabeki Wakongo Djuma Shabani na Yannick Bangala pamoja na kiungo Mganda, Khalid Aucho wote hawana leseni za Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutokana na usajili wao kutokamilika kwa wakati.
Watatu hao wamekwamishwa na Hati za Uhamisho wa Kimataifa (ITC) kuchelewa kufika kwa wakati na kwa mujibu wa taratibu watakosa mechi zote za Hatua ya Awali ya michuano hiyo.
Baada ya mchezo wa Jumamosi Dar es Salaam, Yanga itasafiri kwa ajili ya mechi marudiano Septemba 19 Uwanja wa Adokiye Amiesimaka Jijini Port Harcourt, Nigeria.
Kuelekea mchezo huo, Yanga imepata mechi tatu za kujipima nguvu, ikifungwa 2-1 na Zanaco ya Zambia Uwanja wa Benjamin Mkapa na kushinda 3-1 dhidi ya Friends Rangers na 1-0 dhidi ya Pan Africans Manzese kwenye kambi yake, Avic Town, Somangira, Kigamboni nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3tqDGTJ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA KUWAKOSA SITA DHIDI YA RIVERS. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2021/09/yanga-kuwakosa-sita-dhidi-ya-rivers.html. Terimakasih atas perhatiannya.