NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Pauline Gekul amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inajali kila kitu kinachomwezesha Mtanzania kuishi kwa amani huku akishiriki Michezo na Burudani kwa kadri ya uwezo wake.
Naibu Waziri Gekul amesema hayo leo Juni 19, 2022 alipowaongoza wakazi wa jiji la Dar es Salaam katika maadhimisho ya nane ya siku ya YOGA kimataifa yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru, ambapo amesema mazoezi ya YOGA yameonekana kuwa na manufaa sana yanapofanyika kwa utaratibu na utaalamu kiasi cha kutibu na kuzuia magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
“Ndugu washiriki, nitumie nafasi hii kuwataka watanzania kuyachukulia mazoezi ya YOGA kwa umuhimu wake ili waweze kujenga umoja, mshikamano na kuboresha afya za mwili na akili pamoja na kusaidia kupunguza msongo wa mawazo" amesisistiza Mama Gekul.
Naye Balozi wa India nchini Tanzania Srikanta Pradhan ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa kuwa bega kwa bega katika maadhimisho yote yaliyofanyika nchini Tanzania tangu Umoja wa Mataifa kupitia UNESCO kuitambua siku ya YOGA duniani, mnamo Desemba 11, mwaka 2014.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/6RgYWUH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WAZIRI GEKUL ASHIRIKI MICHEZO YA YOGA UHURU NA KUSEMA.... Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/06/waziri-gekul-ashiriki-michezo-ya-yoga.html. Terimakasih atas perhatiannya.