• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ▼  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ▼  Juni (121)
      • YANGA WALIVYOWASILI ARUSHA KWA FAINALI YA ASFC KESHO
      • COASTAL UNION WALIVYOWASII TANGA KUIVAA YANGA
      • MTIBWA NA PRISONS JUMAPILI SOKOINE, JUMATANO MANUNGU
      • YUSSUF BAKHRESA AMEAMUA, ASHUSHA MUIVORY COAST MWI...
      • MRENO NDIYE KOCHA MPYA AL AHLY
      • YUSSUF BAKHRESA ASHUSHA KIFAA CHA IVORY COAST AZAM
      • ARAJIGA KUCHEZESHA FAINALI YA ASFC JUMAMOSI ARUSHA
      • UCHAGUZI WA MATAWI YANGA WASOGEZWA MBELE TENA
      • YANGA SC 1-0 MTIBWA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
      • MBEYA KWANZA 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • YANGA YAMALIZA LIGI KWA USHINDI WA 1-0
      • SIMBA SC YAMALIZA LIGI KWA SARE SONGEA
      • MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA DOUGLAS MUHANI
      • KOCHA MKUU MPYA WA SIMBA NI MSERBIA ZORAN
      • BILIONEA GHALIB ALIPOFIKISHIWA MATAJI YA YANGA
      • WAZIRI MKUU MGENI RASMI TAMASHA LA UTAMADUNI
      • KOCHA MSAUZI WA MAKIPA SIMBA ATIMKIA ORLANDO
      • KASSIM DEWJI AFICHUA KINACHOITAFUTA SIMBA SC
      • WACHEZAJI AZAM FC WAPANDISHA BENDERA YAO MLIMA KIL...
      • RAIS WA FIFA AIPONGEZA YANGA KWA UBINGWA WA 28
      • WAZIRI MCHENGERWA AFICHUA SIRI YA UBINGWA YANGA
      • MAPOKEZI HADI SHEREHE ZA UBINGWA ZILIVYOFANA YANAG
      • TANZANIA PRISONS 1-0 SIMBA SC
      • TANZANIA PRISONS YAICHAPA SIMBA 1-0 SOKOINE
      • KICHUYA APIGA HAT TRICK NAMUNGO YAICHAPA MTIBWA 4-...
      • AZAM PUNGUFU YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 JAMHURI
      • YANGA SC WAKABIDHIWA KOMBE LAO SOKOINE
      • YANGA SC YAENDELEZA REKOD YA KUTOPOTEZA MECHI LIGI...
      • KMKM WALIVYOTWAA UBINGWA WA ZANZIBAR
      • SIMBA SC 2-0 MTIBWA SUGAR (LIGI KUU TZ BARA)
      • TANZANIA YAPEWA MALAWI KUFUZU FAINALI ZA BEACH SOCCER
      • SERENGETI GIRLS YAPANGWA NA CANADA, JAPANA NA UFAR...
      • FIFA YAIFUNGIA GEITA GOLD KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA
      • KAGERE ALIVYOMUAGA SERGE WAWA JANA SIMBA
      • YANGA WAWASILI MBEYA KUBEBA MWALI WAO JUMAMOSI
      • SIMBA YA MATOLA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI
      • YANGA SC 2-0 POLISI TANZANIA (LIGI KUU TZ BARA)
      • FIFA YAISHUSHIA ‘KITU KIZITO’ BIASHARA UNITED
      • AZAM FC YAICHAPA PRISONS 1-0 NA KUREJEA TATU BORA
      • YANGA SC YAICHAPA POLISI 2-0 NA KUZIDI KUUSTAWISHA...
      • DIRISHA LA USAJILI BARA KUFUNGULIWA JULAI MOSI
      • YANGA SC KUKABIDHIWA KOMBE LAO MBEYA JUMAMOSI
      • HABIB KYOMBO ANAYETAKIWA SIMBA SC ATUA SINGIDA STARS
      • SIMBA SC YAAGANA NA WAWA BAADA YA MIAKA MITANO
      • SAMATTA AREJEA FENERBAHCE BAADA YA KUMALIZA MKOPO ...
      • NADO AANZA MAZOEZI MEPESI AZAM AREJEE MSIMU UJAO
      • COASTAL UNION YAICHAPA NAMUNGO FC 1-0 ILULU
      • FUNDI RALLY BWALYA ALIBYOAGWA SIMBA SC
      • WAZIRI AWAPONGEZA MABINTI KWA KUTWAA UBINGWA WA KR...
      • SIMBA SC YAICHAPA KMC 3-1 MKAPA
      • MATOKEO YA USAILI WA AWALI UCHAGUZI YANGA SC
      • WAZIRI GEKUL ASHIRIKI MICHEZO YA YOGA UHURU NA KUS...
      • MBEYA CITY YAWAPIGA RUVU 1-0 PALE PALE MLANDIZI
      • KAGERA SUGAR YATOA SARE 1-1 NA DODOMA JIJI KAITABA
      • TEAM KIBA YAICHAPA SAMATTA KWA MATUTA
      • MPOLE AMFIKIA MAYELE GEITA GOLD YAICHAPA BIASHARA 2-0
      • GOLDEN STATE NDIO MABINGWA NBA 2022
      • SIMBA YATHIBITISHA KUMUUZA BWALYA AFRIKA KUSINI
      • KLABU YA SOUTHAMPTON KUWANOA MAKOCHA WA TANZANIA
      • KIBU DENNIS AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MEI SIMBA
      • SHEREHE ZA UBINGWA YANGA SC
      • SIMBA SC 3-0 MBEYA CITY (LIGI KUU TZ BARA)
      • TIMU YA TAIFA YA WALEMAVU BUNGENI DODOMA LEO
      • YANGA YASAJILI MSHAMBULIAJI WA CHIPOLOPOLO NA KAIZER
      • SAKHO APIGA MBILI, SIMBA YAICHAPA MBEYA CITY 3-0
      • YANGA 3-0 COASTAL UNION (LIGI KUU TZ BARA)
      • PONGEZI ZAMIMINIKA YANGA KUTWAA UBINGWA LIGI KUU
      • SIMBA SC YAMTAMBULISHA MOSES PHIRI
      • COSTA RICA YAKAMILISHA WASHIRIKI KOMBE LA DUNIA
      • MAYELE APIGA MBILI, YANGA BINGWA LIGI KUU
      • AZAM FC YAPANDA TATU BORA BAADA YA KUICHAPA MBEYA ...
      • AUSTRALIA YAFUZU KOMBE LA DUNIA MARA YA TANO MFULU...
      • GOLDEN STATE YAICHAPA BOSTON GAME 5 NBA
      • NIGERIA YASHINDA 10-0 UGENINI KUFUZU AFCON
      • AZAM MARINE KUVUSHA ABIRIA KIGAMBONI
      • SIMBA SC YAMPELEKA MSANIFU KUKAGUA ENEO KA UJENZI ...
      • KMC YATOA SARE NA PRISONS 1-1 DAR
      • GEITA GOLD YAICHAPA DODOMA 2-0, MTIBWA YAILAZA RUV...
      • FARID MUSSA AONGEZA MKATABA YANGA HADI 2024
      • SIMBA YAICHAPA CAMBIANSO 3-1 MECHI YA KIRAFIKI
      • KOCHA MATOKA AKIMPA MANENO CHAMA MAZOEZINI SIMBA
      • BENKI YA NBC YAIPA SH MILIONI 50 SINGIDA STARS
      • YANGA YASHINDA MECHI NYINGINE YA KIRAFIKI KIGAMBONI
      • KARIA NA KIDAU WAITEMBELEA KILIMANJARO QUEENS UGANDA
      • MSHAMBULIAJI AZAM FC AFIWA NA BABA MZAZI ZAMBIA
      • RASMI MSOLLA AITISHA UCHAGUZI YANGA JULAI 10 DAR
      • LIGI YA VIJANA U20 YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO DAR
      • BURUNDI YACHAPWA 1-0 NA CAMEROON MKAPA
      • TANZANIA 0-2 ALGERIA (KUFUZU AFCON)
      • KILIMANJARO QUEENS YATUPWA NJE CECAFA CHALLENGE UG...
      • BINGWA LIGI KUU KOMBE JIPYA NA SH MILIONI 600
      • STARS YACHAPWA 2-0 NA ALGERIA DAR KUFUZU AFCON
      • TEMBO WARRIORS WATAKIWA KUTUMIA MECHI ZA ULAYA KUS...
      • FIFA YAIPONGEZA TANZANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
      • YANGA YAICHAPA FRIENDS RANGERS 8-0 MECHI YA KIRAFIKI
      • MATOLA ALIVYOANZA KAZI KAMA KAIMU KOCHA MKUU SIMBA
      • YANGA SC YAINGIZA SH BILIONI 1.7 NDANI YA MIEZI SITA
      • SERENGETI GIRLS WAPEWA HESHIMA YA KIPEKEE BUNGENI
      • KIINGILIO TAIFA STARS NA ALGERIA NI SH 3,000 KESHO...
      • KILIMANJARO QUEENS YAICHAPA ZANZIBAR QUEENS 12-0 C...
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » WENGI WAJITOKEZA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA DAR

WENGI WAJITOKEZA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA DAR


IDADI kubwa ya Watanzania leo imejitokeza kushuhudia na kupiga picha na Kombe Halisi la Dunia la FIFA lililoletwa nchini ya Kampuni ya Coca-Cola Tanzania, hafla iliyofanyika kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ikipambwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali, na uoneshwaji wa Filamu ya Royal Tour.
Kombe la Dunia lilitua nchini alfajiri ya Mei 31, ambapo lilipokelewa na Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam, kabla ya jana kupelekekwa Uwanja wa Mkapa kuruhusu Watanzania kupiga nalo picha, dhifa hiyo ikipambwa na wasanii mbalimbali wa kizazi kipya, wakiwemo Chegge Chigunda na Mr Bluu.
Wakali wengine waliopamba masaa siya ya hafla hiyo ni Mzee wa Bwax, Sholo Mwamba, Juma Nature na Kala Pina, ambao walikuwa ni miongoni mwa wasanii waliotumbuiza, kuhitimisha siku mbili za Ziara ya Kombe la Dunia nchini Tanzania, iliyofanyika kwa udhamini wa Kampuni ya Coca-Cola Tanzania.
Aidha, Serikali imeipongeza Coca-Cola Tanzania kwa kufanikisha ujio wa ziara ya Kombe Halisi la Dunia la FIFA, huku ikiahidi wa kuitumia ziara hiyo kama chachu ya uboreshaji miundombinu ya soka, ili sio tu kuiwezesha Tanzania kuomba uenyeji wa AFCON 2027, bali pia kuharakisha ukuzaji vipaji vya mchezo huo.


Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul, wakati wa hafla ya Chakula cha Usiku cha Waalikwa Maalum wa Ziara ya Kombe la Dunia (FIFA Trophy Tour Night Gala), iliyofanyika jijini Dar es Salaam Mei 31 usiku, ikihudhuriwa na zaidi ya watu 300 walioalikwa na Coca-Cola Tanzania.
Naibu Waziri Gekul alibainisha kuwa, Kampuni ya Coca-Cola na Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), limewashika mkono Watanzania, ambao wanapaswa kusapoti jitihada za Serikali yao katika kufanikisha kasi ya ukuaji na uendelezaji wa vipaji nchini, sambamba na ujenzi wa miundombinu inayokidhi viwango vya kimataifa  
“Rais Samia Suluhu Hassan ametamka mchana wakati ziara hii ilipofanyika Ikulu, Waziri naye akakazia, nami niseme hapa hadharani kwamba, thamani hii tuliyopewa na Coca Cola Tanzania na FIFA, ya kuwa moja kati ya mataifa manne yasiyofuzu fainali za Qatar kutembelewa na kombe hili, tunapaswa kuienzi kwa vitendo.
“Watanzania wawe na imani na Serikali, Wizara na mipango chanya ya Rais Samia katika Sekta ya Michezo. Tuko kazini kuhakikisha mipango hii endelevu ya kustawisha soka letu, inatekelezeka na kuzaa matunda. Tuwahakikishie kuwa yaliyotamkwa yako kwenye utekelezaji na hivyo Watanzania wajue tuna kazi ya kufanya.
“Kama Serikali tunatumia chachu hii iliyoletwa na Coca-Cola, kuhakikisha tunapita mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya, kata ama kijiji kwa kijiji, mtaa kwa mtaa kustawisha soka, ili miaka michache ijayo tusiwe miongoni mwa nchi zinazoletewa kombe hili zikiwa hazijafuzu fainali, bali lije tukiwa na tiketi yetu mikononi,” alisisitiza Gekul.
Naye Mkurugenzi Mwandamizi wa Masoko wa Coca-Cola Afrika, Nelly Wainaina, alisema wao kama Coca-Cola Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, wanajisikia furaha nchi zao mbili za Kenya na Tanzania kuwa mwenyeji wa ziara hiyo, ambayo Watanzania wanapaswa kuitumia kuamsha ari, kiu na hamasa ya maendeleo ya soka.
Aliushukuru msafara wa FIFA ulioongozwa na Juliano Belleti kwa kutua nchini salama na taji hilo, huku akizishukuru kampuni washirika wa Coca-Cola zikiwemo Nyanza Bottlers, Bonite Bottlers na kampuni zingine zinazoidhamini FIFA kwa kuwa sehemu muhimu ya ziara na kuhudhuria hafla hiyo usiku wa juzi.
Awali, mchana wakati wa hafla ya utambulisho wa ziara na taji la Dunia la FIFA kwa wanahabari,Meneja Mkuu wa Biashara wa Coca-Cola Tanzania, Hellen Masumba, wanayo furaha kubwa kuwa sehemu ya kuwaletea Watanzania msisimko na shamrashamra za Kombe la Dunia.
“Kwa miaka mingi Coca-Cola wamekuwa washirika wa FIFA katika kuwapatia msisimko halisi kupitia Ziara ya Kombe la Dunia la FIFA. Kuwasili kwa kombe bila shaka ni fursa ya aina yake kwa Watanzania kujumuika na dunia nzima kupitia ulimwengu wa mpira wa miguu ambapo watawazeza kuliona kwa ukaribu zaidi.
“Ushirikiano wetu na FIFA katika kulileta kombe hili maarufu, ni ishara kwamba tunatambua na kuthamini kile wanachokiamini na kukipenda kwa dhati wateja na watumiaji wa bidhaa zetu hususani mchezo wa mpira wa miguu,” alisisitiza Hellen kwa kuwakaribisha Watanzania jana katika Uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/jF7BRnw best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WENGI WAJITOKEZA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA DAR. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/06/wengi-wajitokeza-kushuhudia-kombe-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 10.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
Copyright Viral Sports: WENGI WAJITOKEZA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA DAR