• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ▼  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ▼  November (79)
      • SINGIDA BIG STARS YAFUTIWA ADHABU YA KUTOSAJILI
      • KAGERA SUGAR YAREJEA KUCHEZA UWANJA WA KAITABA
      • YANGA KUMENYANA NA KURUGENZI YA SIMIYU ASFC, SIMBA...
      • IHEFU SC 2-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • IHEFU YAZIMA REKODI YA YANGA KUTOFUNGWA MECHI YA 50
      • KMC YALAZIMISHWA SARE YA 0-0 NA PRISONS UHURU
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA MTIBWA 1-0 KIRUMBA
      • WAOGELEAJI WA TANZANIA WANG’ARA MICHUANO YA AFRIKA
      • POLISI TANZANIA 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • AZAM FC YAICHAPA COASTAL UNION 3-2 CHAMAZI
      • HATIMAYE UWANJA WA JAMHURI WA DODOMA WAFUNGULIWA
      • PHIRI APIGA MBILI SIMBA YAWAADHIBU POLISI MOSHI
      • YANGA SC 2-0 MBEYA CITY (LIGI KUU TZ BARA)
      • MAYELE APIGA MBILI YANGA YASHINDA 2-0 DAR
      • SINGIDA BIG STARS YAIPIGA RUVU 1-0 PALE PALE UHURU
      • NAMUNGO FC YAIPIGA DODOMA JIJI 1-0 SINGIDA
      • GEITA GOLD YAICHAPA IHEFU 1-0 NA KUPANDA NNE BORA ...
      • MBEYA CITY 1-1 MBEYA CITY (LIGI KUU TZ BARA)
      • SINGIDA STARS YAICHAPA KMC 1-0 LITI BAO LA KAGERE
      • CHOMOKA NA NDINGA MPYAA MSIMU HUU WA KOMBE LA DUNIA
      • DODOMA JIJI 0-2 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • MAYELE APIGA MBILI YANGA YASHINDA 2-0 NA KUREJEA K...
      • MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA PATRICK BETWELL WA SIMBA
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA PRISONS 1-0 SOKOINE
      • AZAM FC YAIPIGA NAMUNGO 1-0 MAJALIWA NA KUREJEA KI...
      • MBEYA CITY YATOA SARE YA 0-0 NA GEITA GOLD SOKOINE
      • SIMBA SC 4-0 RUVU SHOOTING (LIGI KUU TZ BARA)
      • TRA YAITUNUKU CHETI CHA ULIPAJI BORA WA KODI AZAM FC
      • SHABIKI WA SIMBA NA LIVERPOOL ASHINDA SH MILIONI 1...
      • YANGA SC 4-1 SINGIDA BIG STARS (LIGI KUU TZ BARA)
      • BODI YAUFUNGIA UWANJA WA IHEFU SABABU YA PITCH MBOVU
      • MAYELE APIGA HAT TRICK YANGA YAICHAPA SINGIDA 4-1
      • POLISI TANZANIA YAICHAPA IHEFU 2-1 MBARALI
      • MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA SHEKHAN RASHID
      • MTIBWA SUGAR YAICHAPA COASTAL UNION 2-1 MANUNGU
      • KAZE MKURUGENZI MPYA WA UFUNDI TIMU ZA VIJANA YANGA
      • WAOGELEAJI 63 WA TANZANIA KUWANIA UBINGWA WA AFRIKA
      • AZAMFC YAREJEA KILELENI BAADA YA KUIPIGA RUVU 1-0 ...
      • DODOMA JIJI YAICHAPA KMC 2-1 UHURU
      • SIMBA YAAJIRI KOCHA WA MAKIPA MMOROCCO
      • SIMBA SC YATOA TAARIFA MAALUM KUHUSU KOCHA WAKE WA...
      • KOCHA WA MAKIPA SIMBA AKAMATWA KWA TUHUMA ZA DAWA ...
      • KAGERA SUGAR 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • KINDA CLEMENT AING’ARISHA YANGA KIRUMBA
      • MBEYA CITY YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA COASTAL UNION ...
      • NABI AWA KOCHA BORA LIGI KUU OKTOBA, SABILO MCHEZA...
      • SIMBA QUEENS NAFASI YA NNE IMETOSHA LIGI YA MABINGWA
      • SMBA SC 1-0 HEFU SC (LIGI KUU TZ BARA)
      • SIMBA SC YAICHAPA IHEFU SC 1-0 NA KUISHUSHIA YANGA...
      • AZAM FC YAPANDA KILELENI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA...
      • GEITA GOLD YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 KMC NYANKUMBU
      • COASTAL UNION YAICHAPA TANZANIA PRISONS 2-0 PALE P...
      • DADA SHAMA AJINYAKULIA TV YA DABODABO 888 BET
      • CLUB AFRICAIN 0-1 YANGA SC (KOMBE LA SHIRIKISHO AF...
      • YANGA YAICHAPA AFRICAIN 1-0 NA KUTINGA MAKUNDI SHI...
      • AZAM FC YAICHAPA DODOMA JIJI 2-1 NA KUIFIKIA YANGA...
      • SINGIDA BIG STARS NA SIMBA SARE 1-1 LITI
      • BODI YA LIGI YAUFUNGULIA UWANJA WA USHIRIKA
      • CHAMA NA AZIZ KI WAFUNGIWA, YANGA FAINI, FLORENTIN...
      • RUVU SHOOTING YATOA SARE 1-1 NA PRISONS UHURU
      • MAN UNITED KUCHEZA BARCELONA EUROPA LEAGUE
      • NI LIVERPOOL NA REAL MADRID 16 BORA LIGI YA MABINGWA
      • KAGERE AFUNGA BAO PEKEE SINGIDA STARS YASHINDA 1-0
      • MAN CITY YAIBAMIZA FULHAM 2-1 ETIHAD
      • SIMBA QUEENS YATINGA NUSU FAINALI LIGI YA MABINGWA...
      • MBEYA CITY YAICHAPA NAMUNGO FC 2-1 SOKOINE
      • ARSENAL YAMALIZA NA USHINDI WA 1-0 NYUMBANI EUROPA...
      • GARNACHO AIPA USHINDI WA UGENINI MAN UNITED ULAYA
      • MUZAMIL YASSIN MCHEZAJI BORA WA SIMBA OKTOBA
      • NGORONGORO HEROES YATOLEWA MBIO ZA AFCON U20
      • SIMBA QUEENS YAFUFUA MATUMAINI YA KWENDA NUSU FAIN...
      • MARIOO APEWA UBALOZI WA PARIMATCH
      • YANGA SC 0-0 CLUB AFRICAIN (KOMBE LA SHIRIKISHO)
      • YANGA SC YALAZIMISHWA SARE 0-0 NA CLUB AFRICAIN DAR
      • LIVERPOOL YAMALIZA VYEMA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA
      • BODI YA LIGI YAUFUNGIA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID
      • DODOMA YAIVIMBIA POLISI ARUSHA, SARE 1-1
      • KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 MWANZA
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA JOSEPH FUNGO
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » WAOGELEAJI WA TANZANIA WANG’ARA MICHUANO YA AFRIKA

WAOGELEAJI WA TANZANIA WANG’ARA MICHUANO YA AFRIKA


WAOGELEAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania ya wanaume na wanawake (Tanzanite) wameipeperusha vyema bendera ya nchi baada ya kushinda mashindano ya Kanda ya tatu Afrika yaliyofanyika hivi kariibuni kwenye bwawa la klabu ya Dar es Salaam Gymkhana.
Katika mashindano hayo yaliyoshirikisha jumla ya nchi 10, waogeleaji wa Tanzania walikusanya jumla ya pointi 3,061 na kuzishinda nchi tisa katika mashindano hayo yaliyokuwa na ushindani mkubwa na kusisimua.
Tanzania ambayo iliwakilishwa na waogeleaji 63 pia ilikuwa nchi pekee iliyoshinda medali nyingi kushinda nchi zote zilizoshiriki katika mashindano hayo. Tanzania ilishinda jumla ya medali 110.
Kwa mujibu wa matokeo yaliyotolewa na chama cha mchezo huo cha kanda ya tatu Afrika, nafasi ya pili ilikwenda kwa Kenya ambayo ilijikusanyia pointi 2,768 na kufuatiwa na Uganda iliyojikusanyia pointi 2,521.50 na Zambia katika nafasi ya nne kwa kukusanya pointi 1,878.
Afrika Kusini ilishinda nafasi ya tano kwa kupata pointi 1,385. 50 ambapo Burundi  ilishika nafasi ya sita kwa kupata pointi 653  na Sudan Kusini ikimaliza katika nafasi ya saba kwa kupata pointi 213.

Waogeleaji wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mashindano ya  kanda ya tatu Afrika 

Nchi za Djibouti ( pointi 87), Rwanda (pointi 67) na Ethiopia iliyopata pointi 47 zilimaliza katika nafasi ya nane, tisa na 10 katika mashindano hayo yaliyodhaminiwa naKilombero Sugar Company  kupitia Bwana Sukari.
Wadhamini wengine ni JustFit, Kahawa Café, Spark rehabilitation, Gymkhana Club, International School of Tanganyika, FK International school, Hopac Hawks, Pepsi, Travelport, Azam, Stanmag Logistics, Wood Lab Décor, Burger 53, F&L Juice, G1 Security, Leo Club of Tanzania District 411C, Suraksha Team, Pyramid consumers, Four Points by  Sheraron, Crown Hotel, Aura Suites na Protea Hotel Mariot- Courtyard.
Kwa upande wa medali, Tanzanian ilikusanya jumla ya medali za dhahabu 38,  Fedha 38 na Shaba 34 ikifuatiwa na Kenya ambayo ilipata jumla ya medali 108 ambapo 46 ni dhahabu, Fedha 32 na Shaba 30.
Uganda ilipata jumla ya medali 85  ambapo 28 zilikuwa za dhahabu, 25 fedha na shaba 32 na Zambia ilipata jumla ya medali 56, 22 (dhahabu), 21 (fedha) na 13 shaba.
Afrika Kusini ilipata jumla ya medali 30 ambapo nane (8) ni dhahabu, nane za fedha na 14 za shaba. Nchi za Burundi, Sudan na Rwanda zilishika nafasi ya sita, saba na nane kwa kukusanua jumla ya medali 20, 10 na tatu (3) huku nchi za Ethiopia, Djibouti na Sudani Kusini zikiambulia patupu.
Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mashindano hayo, Hadija Shebe aliwapongeza waogeleaji na timu zote shiriki kwa kufanikisha na Tanzania kuibuka washindi kwa mara ya tatu katika historia. Tanzania mara ya kwanza ilishinda taji hilo mwaka 2016 mjini Kigali, Rwanda na mwaka uliofuatia katika mashindano yaliyofanyika hapa nchini.
Shebe pia aliwapongeza wajumbe wa kamatiya maandalizi ya mashindanin hayo ambao ni Bella Faya, Geetha Prashant, Priscilla Zengeni, Lingesh Ramasamy, Martha Makoi, Opalina Nanyaro, Tunu Kinabo, Joan Laiser na Francisca Binamungu.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/JXp3A9C best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WAOGELEAJI WA TANZANIA WANG’ARA MICHUANO YA AFRIKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2022/11/waogeleaji-wa-tanzania-wangara-michuano.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 06.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
Copyright Viral Sports: WAOGELEAJI WA TANZANIA WANG’ARA MICHUANO YA AFRIKA