TIMU ya England imefanikiwa kumaliza nafasi ya Tatu Kombe la Dunia baada ya ushindi wa mabao 6-4 dhidi ya Ufaransa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock Jijini Miami Gardens, Florida nchini Marekani.
Mabao ya Three Lions yamefungwa na kiungo wa Arsenal, Declan Rice dakika ya tatu, beki wa Aston Villa, Ezri Ngoyo Konsa mwenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) dakika ya 18, winga wa Arsenal, Bukayo Ayoyinka Temidayo Moses Saka mwenye asili ya Nigeria, matatu dakika ya 37, 45+1 na la penalti dakika ya 87 huku lingine likifungwa na kiungo wa Real Madrid, Jude Victor William Bellingham mwenye asili ya Kenya dakika ya 90’+8.
Kwa upande wa Ufaransa mabao yao yamefungwa na washambuliaji, Kylian Mbappé Lottin wa Real Madrid mwenye asili ya Cameroon, mawili dakika ya 48 na 66, Bradley Jean-Manuel Essolisam Addo Barcola wa mwenye asili ya Togo dakika ya 54 na Masour Ousmane Dembélé mwenye asili ya Senegal - Mauritania na na Mali dakika ya 90’+6 wote wa Paris Saint-Germain.
Kwa kufunga mara mbili kwenye mchezo huo, Mbappé amefikisha mabao 10, mawili zaidi ya Lionel Messi wa Argentina ambaye baadaye Saa 4:00 usiku wa leo ataiongoza timu yake katika mchezo wa Fainali dhidi ya Hispania Uwanja wa MetLife, East Rutherford, Bergen County, New Jersey hapo hapo Marekani.
from BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE https://ift.tt/qUCgefA
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NI ENGLAND WASHINDI WA TATU KOMBE LA DUNIA 2026. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2026/07/ni-england-washindi-wa-tatu-kombe-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.