TIMU ya Arsenal imerejea kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Aston Villa leo Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham.
Haukuwa mshindi mwepesi kwa Washika Bunduki hao, kwani mara mbili walilazimika kutoka nyuma kabla ya kupata mabao mawili ya ushindi dakika za majeruhi.
Mabao ya Arsenal yamefungwa na Bukayo Saka dakika ya 16, Oleksandr Zinchenko dakika ya 61, Emiliano Martínez aliyejifunga dakika ya tatu ya nyongeza baada ya kutimia 90 za kawaida na Gabriel Martinelli dakika ya nane ya muda wa nyongeza.
Kwa upande wao Aston Villa walioanza vizuri mchezo wa leo kabla ya kupoteza mwishoni, mabao yao yamefungwa na Ollie Watkins dakika ya tano na Philippe Coutinho dakika ya 31.
Kwa ushindi huo, Arsenal inafikisha pointi 54 na kurejea kileleni ikiwazidi pointi tatu mabingwa watetezi, Manchester City baada ya wote kucheza mechi 23, wakati Aston Villa inabaki na pointi zake 28 za mechi 23 nafasi ya 11.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/hEykNTL
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ARSENAL YATOKA NYUMA MARA MBILI KUSHINDA 4-2. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/02/arsenal-yatoka-nyuma-mara-mbili.html. Terimakasih atas perhatiannya.