KAMPUNI ya michezo ya kubashiri Tanzania Betika kampeni ya Sodo 4 Climate, katika kampeni hii betika wanahamasisha utunzaji wa mazingira kupitia mchezo wa sodo. Kauli mbiu ya kampeni hii ni “Shabikia soka sio uharibifu wa mazingira”. Meneja mkuu wa betika Bw.Tumaini Maligana katika uzinduzi huo alisema kwamba “ Lengo ni kupambana kupunguza mabadiliko ya tabia za nchi kwa ujumla, kupitia utunzaji wa mazingira basi tutahakikisha hali ya hewa nzuri, afya bora na pia maendeleo katika jamii yetu”.
FC.
Katika sodo 4 climate itachezeka ligi katika soka la ufukweni pale uwanja wa coco beach ambapo Betika wamealika jumla ya timu 8 zitakazoshiriki na ligi hii itaenda kwa muda wa takribani wiki saba. Ligi hii itahusisha team zifuatazo, Betika staff fc, Coco beach FC, RC FC , Tulia trust foundation FC, Espanyol fc, Bodaboda msasani fc, Ipp media. Katika ligi hii pia kila team watakua na team za wanawake na wanaume ambazo kila jumamosi kutakua na mechi moja ya wanawake na mechi moja ya wanaume.
Ufunguzi wa ligi hio ulitanguliwa na usafishaji wa mazingira kwa ujumla na pia kutoa elimu kuhusiana na swala zima la kuhifadhi taka katika maeneo husika. Katika kipindi cha wiki zote saba za ligi hii kutakua na matukio mbali mbali ya utunzaji wa mazingira na maendeleo ya kijamii kwa ujumla.
Bwana Tumaini Maligana pia allimalizia kwa kuwatakia kila la kheri timu zote zitakazo shiriki katika ligi hii ya Sodo 4 Climate kwa sababu betika watatoa zawadi za kutosha kwa wale watakaofika fainali ya Sodo 4 Climate.
Mechi ya ufunguzi ilikua Betika staff fc 1- 3 Coco
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/yk1B9HA
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BETIKA YAZINDUA KAMPENI YA SODO 4 CLIMATE. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/02/betika-yazindua-kampeni-ya-sodo-4.html. Terimakasih atas perhatiannya.