KIPA namba moja wa Simba, Aishi Salum Manula amempongeza kipa wa tatu, Ally Salim Juma kwa kudaka vizuri jana na kuiwezesha timu kushinda 2-0 dhidi ya watani wa jadi, Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Aishi aliandika jana kwenye ukurasa wake wa Instagram; "No Manula, No Beno Kakolanya, No problem Ally Salim Juma,".
Naye Ally akapost; "Kwanza kabisa namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunijaalia Clean Sheet ya pili, nawashukuru makipa wenzangu Beno na Aishi kwa kunijenga zaidi na pia nawashukuru benchi la ufundi kunipa nafasi," amesema.
Kipa huyo huyo wa tatu akaongeza kwamba anawashukuru sana pia mashabiki wa Simba kwa upendo wao kwake.
Kocha wa Simba, Mbrazil Robert Oliveira alilazimika kumuanzisha Ally Salum katika mechi ngumu dhidi ya Yanga kwa sababu makipa wote wawili wakubwa, Aishi na Benno Kakolanya walikuwa majeruhi.
Chipukizi huyo aliyepandishwa kutoka timu ya vijana akaenda kusimama vyema langoni na kuisaidia timu kubeba pointi tatu, akikikumbushia Oktoba 18, mwaka 2014 Simba ilipolazimika kumuanzisha kipa mwingine wa tatu, Peter Manyika katika mechi ya Simba.
Kama ilivyokuwa jana, Oktoba 18, mwaka 2014 makipa wote wakubwa walikuwa wagonjwa, Ivo Mapunda na Hussein Sharrif 'Cassilas', hivyo ikabidi Manyika ambaye naye pia alikuwa amepandishwa kutoka ya vijana akadaka na mechi ikaisha kwa sare ya 0-0.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/WfauoLs
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AISHI MANULA AMWAGIA PONGEZI ALLY SALIM KWA KAZ YA JANA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2023/04/aishi-manula-amwagia-pongezi-ally-salim.html. Terimakasih atas perhatiannya.