WINGA wa kimataifa wa Ghana, Augusitne Okrah amerejea mazoezini wa Simba SC baada ya kuwa nje kwa muda kutokana na maumivu.
Anarejea kuelekea mchezo wa Robo fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) dhidi ia Ihefu SC Ijumaa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.
Anarejea karibu na mechi ya marudiano ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya watani, Yanga SC Aprili 16 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Ikumbukwe Okrah aliifungia Simba SC bao la kuongoza dakika ya 15 Oktoba 23, mwaka jana ikitoa sare ya 1-1 na Yanga ambao walisawazisha kupitia kwa kiungo wa Kimataifa ya Burkina Faso, Stephane Aziz Ki dk. 45.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/Q6VRsZw
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms