• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ▼  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ▼  Juni (68)
      • ENGLAND NA HISPANIA ZATINGA ROBO FAINALI EURO 2024
      • MWENYEKITI WA ZAMANI YANGA YUSSUF MAJI AFARIKI DUNIA
      • YANGA SC YASHINDA 4-1 NA KUTWAAA KOMBE LA SAFARI L...
      • AZAM FC YARIDHIA PRINCE DUBE KUONDOKA BAADA YA KUK...
      • CEO WA YANGA AHITIMU KOZI YA CAF NA KUKABIDHIWA CH...
      • TABORA UNITED, BIASHARA UNITED ZATOZWA MAMILIONI
      • BAKHRESA GROUP | FAHARI YETU EPISODE 1-8
      • AZAM FC YAONGEZA MBRAZIL KWENYE BENCHI LA UFUNDI
      • NYOTA WA PSG, HAKIMI ATOA MISAADA ZAIDI YA SH. BIL...
      • SHIME AITA 20 TWIGA STARS YA KUCHEZA NA TUNISIA YA...
      • UTURUKI NA GEORGIA NAZO ZAFUZU HATUA YA 16 BORA EU...
      • FIFA YAIRUHUSU YANGA SC KUSAJILI WACHEZAJI WAPYA
      • AUSTRIA YAITOA UHOLANZI EURO 2024, ENGLAND NA UFAR...
      • HAKİMİ AKABIDHIWA JEZI YA YANGA YENYE JINA LAKE
      • REFRESHER KOZI YA USAJILI KUFANYIKA KESHO BENJAMİN...
      • MZAMIRU YASSIN AONGEZA MKATABA MPYA SIMBA SC HADI ...
      • ITALIA YAIPOKONYA TONGE MDOMONI DAKIKA YA MWISHO E...
      • LİGİ KUU YA SUDAN KUFANYIKA CHAMAZI KESHO HADİ MWI...
      • SIMBA SC YATANGAZA RASMI KUACHANA NA HENOCK INONGA...
      • ACHRAF HAKİMİ WA PSG MGENI WA RAIS WA YANGA SC
      • UJERUMANI YAMALIZA MECHI ZA KUNDI LAKE KWA SARE
      • SIMBA SC KUWEKA KAMBI MISRI KUJIANDAA NA MSIMU MPYA
      • TEAM JOB 'WAIFINYANGA FINYANGA' TEAM KIBWANA MECHI...
      • UHOLANZI NA UFARANSA ZATOSHANA NGUVU, AUSTRIA NA U...
      • HISPANIA YAWACHAPA MABINGWA ITALI NA KUSONGA MBELE
      • CSKA MOSCOW WATUA YANGA KWA ZOEZI MAALUM
      • SIMBA SC YATAMBULISHA MKALI MPYA WA KWANZA, NI LAW...
      • AZAM FC YAACHANA NA BEKİ MGHANA DANIEL AMOAH
      • MANGUNGU ATEUA ‘MJUMBE MZITO’ KUINGIA KWENYE BODI ...
      • PAMBA YAVUNJA BENCHI NA TIMU NZIMA, KOPUNOVIC KUUN...
      • MIQUISSONE NAYE KAFUPISHIWA MWENDO MSIMBAZI
      • SHAABAN CHILUNDA NAYE AONYESHWA GETI LA KUTOKEA SI...
      • MAREHEMU YOMBAYOMBA: BONDIA PEKEE ALIYELETA MEDALI...
      • URENO NA UTURUKI ZAANZA NA USHINDI PIA EURO 2024
      • MTAALAMU SAIDO NTIBANZOKIZA AHITIMISHA UTUMISHI WA...
      • NIGERIA, ZAMBIA NA KENYA KUIWAKILISHA AFRIKA KOMBE...
      • UFARANSA YASHINDA LAKINI MBAPPE AUMIA PUA NA KUTOL...
      • BOCCO MCHEZAJI WA KWANZA KUPEWA ‘THANK YOU’ SIMBA SC
      • ENGLAND NA UHOLANZI ZAANZA VYEMA EURO 2024
      • MO DEWJI ATAJA ‘BODI MPYA’ YA WAKURUGENZI SIMBA SC
      • ‘MADOGO’ WA YANGA WACHAPA ‘SIMBA MTOTO’ 2-1 CHAMAZI
      • WENYEJI UJERUMANI WAANZA KWA KISHINDO EURO 2024, Y...
      • SIMBA QUEENS WAKABIDHIWA UBINGWA WAO LİGİ YA WANAW...
      • USAJILI MSIMU MPYA DIRISHA WAZI KUANZIA KESHO
      • SERIKALI YAWAPA TAIFA STARS MILIONI 110 KUIFUNGA Z...
      • BIASHARA UNITED YAICHAPA TABORA UNITED 1-0 MUSOMA
      • MO DEWJI AAMUA KUURUDIA UENYEKITI WA BODI SIMBA, T...
      • TAIFA STARS YAWAPIGA ZAMBIA 1-0 PALE PALE NDOLA
      • BOSI SIMBA AKUTANA KOCHA WA U17 JOHN BOCCO KWA MAJ...
      • MAZEMBE NA WABABE WA ZAMBIA WAJA KOMBE LA KAGAME Z...
      • GAUCHO, WEAH, OKOCHA WASHIRIKI KLABU BINGWA YA DUN...
      • TAIFA STARS YAIFUATA ZAMBIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA ...
      • SIMBA QUEENS MABINGWA LIGI KUU YA WANAWAKE TZ BARA
      • AUSSEMS NDIYE KOCHA MPYA WA SINGIDA BLACK STARS
      • TFF YAUNDA KAMATI MPYA YA HADHI ZA WACHEZAJI
      • AZAM FC YAENDELEA KUIMARISHA KIKOSI, YAMSAJILI ADA...
      • YANGA YAFUTIWA ADHABU YA TMS, BADO YA KAMBOLE
      • SIMBA SC YASAKA MKURUGENZI WA WANACHAMA NA MASHABIKI
      • YANGA SC YAZAWADIWA NUSU BILIONI KWA KUSOMBA MATAJI
      • RAIS WA FIFA AIMWAGIA PONGEZI YANGA KUTWAA TENA UB...
      • JKT TANZANIA YAICHAPA TABORA UNITED 4-0 PALE PALE ...
      • RASMI MBAPPE NI MALI YA REAL MADRID HADI MWAKA 2029
      • LUSAJO MCHEZAJI BORA, MGUNDA KOCHA BORA WA KUFUNGI...
      • ADOLF MTASINGWA AONGEZWA KIKOSI CHA TAIFA STARS ME...
      • AZAM FC 0-0 YANGA SC (PENALTI 5-6, FAINALI KOMBE L...
      • NI YANGA SC WASHINDI KOMBE LA CRDB, WAIUA AZAM KWA...
      • TAIFA STARS YATOKA SULUHU NA INDONESIA JAKARTA
      • NI REAL MADRID MABINGWA ULAYA KWA MARA YA 15
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » GAUCHO, WEAH, OKOCHA WASHIRIKI KLABU BINGWA YA DUNIA YA WASTAAFU

GAUCHO, WEAH, OKOCHA WASHIRIKI KLABU BINGWA YA DUNIA YA WASTAAFU


Afisa Mkuu wa Biashara wa betPawa, Ntoudi Mouyelo akizungumza wakati wa kutangaza udhamini wa mashindano ya klabu bingwa ya dunia kwa wachezaji maveterani (VCWC) yaliyopangwa kufanyika mjini, Kigali, Rwanda kuanzia Septemba 1 mpaka 10.
WACHEZAJI mbalimbali nyota wa zamani wakiongozwa na Ronadihno Gaucho na Rais wa zamani wa Liberia, George Weah watashiriki katika mashindano ya vilabu ya Dunia Veterans Club World Championship (VCWC) yaliyopangwa kufanyika mjini, Kigali, Rwanda.
Mbali ya wachezaji hao maarufu, pia wachezaji nyota mwingine duniani, Jay Jay Okocha na Andy Cole  watashiriki katika mashindano hayo kwa mujibu wa Afisa Mkuu wa Biashara wa betPawa, Ntoudi Mouyelo. Mashindano hayo yamepangwa  kuanzia Septemba 1 mpaka 10.
Pia katika orodha hiyo ni Patrick Mboma, Oliver Kahn, David Trezeguet, Bacary Sagna, Louis Saha, Andy Cole, Djibril Cisse. Mashindano hayo yatashirikisha wachezaji wa zamani 150 ambapo mbali ya  kuonyesha vipaji vyao uwanjani, pia  watashiriki  kwenye mijadala mbalimbali ikiwa pamoja na ya kiuchumi, amani, elimu, afya, biashara, na utalii.
Mouyelo asema kuwa betPawa imeamua kudhamini mashindano hayo kutokana na kutambua umuhimu wa michezo na sekta nyingine ambazo malengo yake ni ustawi wa jamii.
“Mbali ya kwenda kushiriki Kigali, baadhi ya wachezaji hao watatembelea Tanzania na Uganda na kuendesha  kliniki za michezo. Kile tunachotaka ni kusikika zaidi kwa sauti za wachezaji hawa maarufu kote barani,” alisema Mouyelo. 
Alisema kuwa kudhamini tukio hili ni njia ya kurudisha kwa jamii inayoiamini chapa yao ya betPawa na pia ni njia ya kuwaunga mkono wachezaji hao katika dhamira yao ya kuunda umoja wa wachezaji maarufu wapya kote barani.
“Kwa hivyo, tunasubiri  kuona kipaji cha wachezaji kama Ronaldinho, George Weah, Jay-Jay Okocha, na wachezaji wengine wote katika tukio hili la kihistoria hapa Afrika.”
Alisema betPawa ambapo ni kampuni ya michezo ya kubashiri inayomilikiwa na kampuni ya  Mchezo Limited yenye makao mjini Kigali, itashiriki kikamilifu katika tukio hilo.
Kwa upande wake, Mwanzilishi wa VCWC Fred Siewe alisema wanatarajia kuwa na wachezaji 160 kutoka nchi mbalimbali duniani.
 “Wachezaji hao maarufu wote wameamua kuwa sehemu ya jukwaa hili kwa sababu mahitaji yalikuwepo,” alisema.
Siewe aliwataka mashabiki wa soka kujitokeza kwa wingi kwa ajili ya mashindano hayo na katika shughuli nyingine za kijamii na ushiriki waokatika kliniki za michezo.

Maofisa mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na mwanzilishi wa mashindano ya klabu bingwa ya dunia kwa wachezaji maveterani (VCWC) Fred Siewe (wanne kutoka kulia) na Afisa Mkuu wa Biashara kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa, Ntoudi Mouyelo (wa sita kutoka kushoto) mara baada ya kusainiwa kwa ajili ya kudhamini mashindano hayo.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/yf0DmrT best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang GAUCHO, WEAH, OKOCHA WASHIRIKI KLABU BINGWA YA DUNIA YA WASTAAFU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/06/gaucho-weah-okocha-washiriki-klabu.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 03.10
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
Copyright Viral Sports: GAUCHO, WEAH, OKOCHA WASHIRIKI KLABU BINGWA YA DUNIA YA WASTAAFU