MABINGWA wa Tanzania, Yanga SC wamefanikiwa kutwaa Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayojulikana kama CRDB Bank Federation Cup baada ya ushindi wa penaltı 6-5 dhidi ya Azam FC kufuatia sare ya bila mabao ndani ya dakika 120 usiku huu Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar.
Zilikuwa dakika 120 za patashika haswa, Azam FC wakitawala kipindi cha kwanza na Yanga kipindi cha pili wakati kwenye dakika 30 za nyongeza timu hizo zilishambuliana kwa zamu.
Waliofunga penaltı za Yanga ni nyota wa Ivory Coast, kiungo Peodoh Pacome Zouzoua, beki Kouassi Attohoula Yao, beki mzawa na Nahodha, Bakari Nondo Mwamnyeto, kiungo Mganda Khalid Aucho, mshambuliaji Mzambia, Kennedy Musonda na kiungo mzawa, Jonas Gerald Mkude.
Waliokosa uoande wa Yanga ni kiungo wa Kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki, mshambuliaji Muivory Coast, Joseph Gnadou Guerde ambao mikwaju yao iliokolewa na kipa Msudan, Mohamed Mustafa na beki mzawa, İbrahim Hamad ‘Bacca’ aliyepaisha juu.
Waliofunga penaltı za Azam FC ni kiungo mzawa, Adolph Mutasingwa Bitebeko, beki Msenegal, Cheikh Sidibé, winga Muivory Coast, Kipré Tiagori Emmanuel Junior Zunon, beki mzawa, Edward Charles Manyama na kiungo mzawa, Feisal Salum Abdallah.
Waliokosa ni beki Mcolombia Yeison Fuentes Mendoza aliyegongesha mwamba, winga Mgambia, Gibril Silah na beki mzawa Lusajo Mwaikenda ambao mikwaju yao iliokolewa na Kipa wa Kimataifa wa Mali, Djigui Diarra na winga mzawa Iddi Suleiman ‘Nado’ aliyepiga juu ya lango.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/GQEoqRZ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NI YANGA SC WASHINDI KOMBE LA CRDB, WAIUA AZAM KWA MATUTA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/06/ni-yanga-sc-washindi-kombe-la-crdb.html. Terimakasih atas perhatiannya.