TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Al-Adalah FC ya Saudi Arabia katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Suez Canal mjini Ismailia nchini Misri.
Mabao ya Simba SC inayofundishwa na Kocha Fadluraghman "Fadlu" Davids raia wa Afrika Kusini yamefungwa na washambuliaji wapya, Mganda Steven Mukwala dakika ya tisa na Mzambia, Joshua Mutale dakika ya 32.
Huo unakuwa mchezo wa tatu kwa Simba SC kwenye kambi yao hiyo baada ya Julai 22 kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya El-Qanah na jana kushinda 2-1 dhidi ya Telecom Egypt Uwanja wa Mercure kwenye kambi yao ya kujiandaa na msimu mpya mjini Ismailia nchini Misri.
Simba SC imeweka kambi ya kujiandaa na msimu mjini Ismailia nchini Mısri na inatarajiwa kurejea nchini mapema Agosti kwa ajili ya tamasha la Simba Day Agosti 3 Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.
Baada ya hapo Simba itarejea Uwanja wa Mkapa Agosti 8 kumenyana na watani, Yanga katika mchezo wa Nusu Fainali ya Ngao ya Jamii.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/1RM9KIV
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms