TANZANIA imefufua matumaini ya kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 mwakani kufuatia ushindi wa mabao 7-0 dhidi ya Djibouti leo mechi ya Kundi A za Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA U20 Uwanja wa Halmashauri ya Manipaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Ilikuwa siku nzuri kwa mshambuliaji chipukizi wa Simba Sports Club, Valentino Kusengama Mashaka aliyepiga hat trick kwa mabao yake ya dakika za 21, 72, 90’+3.
Mabao mengine ya Ngorongoro Heroes yamefungwa na nyota wa Ligi Kuu ya PBZ Zanzibar, Sabri Dahari Kondo wa KVZ dakika ya 57 na 90, Jammy Suleiman Simba wa JKU dakika ya 63, kabla ya beki Nickson Mosha wa Mtibwa Sugar ya Ligi ya Championship Bara akihitimisha shangwe za mabao dakika ya 72.
Ikumbukwe mechi ya kwanza Ngorongoro Heroes ilichapwa 2-1 na Kenya – maana yake inahitaji kushinda mechi zake zijazo dhidi ya Sudan Alhamisi na Rwanda Jumapili kujitengenezea nafasi ya kwenda Nusu Fainali.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/YQwpo1h
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang NGORONGORO YAZINDUKA CECAFA U20, YAITANDIKA DJIBOUTI 7-0. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2024/10/ngorongoro-yazinduka-cecafa-u20.html. Terimakasih atas perhatiannya.