VIGOGO, Simba SC wamepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya kufungana mabao 2-2 na Coastal Union ya Tanga leo Uwanja wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, KMC Complex, Mwenge Jijini Dar es Salaam.
Simba waliuanza vizuri mchezo huo na kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza 2-0 kwa mabao ya beki na Nahodha wake, Mohamed Hussein 'Tshabalala' dakika ya 25 na mshambuliaji wake mpya, Mcameroon Christian Leonel Ateba Mbida kwa penalti dakika ya 40.
Coastal Union walirejea na mipango mipya kipindi cha pili na kufanikiwa kusawazisha mabao hayo kupitia kwa winga wake Mkenya, Hassan Abdallah Hassan dakika ya 47 na beki wa kushoto, Mkongo Hernest Briyock Malonga dakika ya 71.
Kwa matokeo hayo, Simba SC inafikisha pointi 13 katika mchezo wa tano, wakati Coastal Union inatimiza pointi tano katika mchezo wa saba.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/ekqxA18
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms