Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta ametokea benchi na kuisaidia timu yake, KRC Genk ikishinda kupata sare ya 2-2 na Royal Excel Mouscron katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji Uwanja Stade Le Canonnier mjini Mouscron.
Samatta aliingia uwanjani dakika ya 67 kuchukua nafasi ya Mjamaica Leon Bailey na akaenda kumsetia Nikolaos Karelis kufunga bao la pili la kusawaziha dakika ya 78.
Katika mchezo huo
Trézéguet 2'
1 - 0
1 - 1
(assist by Pozuelo)
V. Viola 42'
.
Samatta ametokea benchi KRC Genk ikishinda 3-1 dhidi ya Sassuolo ya Italia katika Europa League
Samatta hakuwepo wakati Genk inafungwa 2-0 katika Ligi ya Ubelgiji Septemba 18 na Anderlecht Uwanja wa Luminus Arena na nyingine Kombe la Ligi ya Ubelgiji, wakishinda 4-0 Septemba 21 ugenini dhidi ya Eendracht Aalst Uwanja wa Het Pierre Cornelisstadion, Aalst.
Lakini baada ya kupata ahueni, leo kocha Mbelgiji Peter Maes amempa dakika 15 za mwisho kuelekea mchezo wa Jumapili dhidi ya Mechelen katika Ligi Kuu ya Ubelgiji Uwanja wa Laminus.
Samatta aliumia katika mchezo wa kwanza wa Kundi F Europa League dhidi ya Rapid Viena Septemba 15 Uwanja wa Allianz, Viena, Austria, KRG Genk ikifungwa 3-2.
Tangu amejiunga na Genk Januari mwaka huu kutoka TP Mazembe ya DRC, Samatta amecheza jumla ya mechi 26 za mashindano yote, 18 msimu uliopita na nane msimu huu, akifunga mabao nane, matatu msimu huu na matano msimu uliopita.
Katika mechi hizo, ni 14 tu ndiyo alianza, 10 msimu uliopita na tatu msimu huu, wakati 11 alitokea benchi nane msimu uliopita na nne msimu huu – na mechi tisa hakumaliza akitolewa, sita msimu uliopita na tatu msimu huu.
Kikosi cha KRC Genk leo kilikuwa: Bizot, Walsh, Brabec, Colley, Nastic, Ndidi, Pozuelo, Susic/Kumordzi dk81, Buffalo/Trossard dk85, Bailey na Karelis/Samatta dk75.
Sassuolo Calcio: Consigli, Magnanelli, Pellegrini/Mazzitelli dk65, Biondini/Ragusa dk57, Defrel, Peluso, Acerbi, Politano, Lirola, Ricci/Caputo dk79 na Letschert.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2esvmjt
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SAMATTA AIOKOA GENK KUZAMA UGENINI UBELGIJI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/10/samatta-aiokoa-genk-kuzama-ugenini.html. Terimakasih atas perhatiannya.