MSHAMBULIAJI wa timu ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ya Mbao FC ya Mwanza amefariki dunia leo mjini Bukoba baada ya kuanguka uwanjani.
Mchezaji huyo alianguka Uwanja wa Kaitaba, Bukoba dakika chache baada ya kuifungia bao timu yae katika ushindi wa 2-0 kufuatia kugongana na mchezaji wa Mwadui FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vijana Tanzania Bara.
Baada ya kuanguka alipatiwa huduma ya kwanza na kuonekana hali yake si ya kawaida, hivyo kukimbizwa hospitali ya mkoa wa Kagera kwa matibabu zaidi, ambako umauti ulimfika.
Mchezaji huyo amefariki akiwa ana umri wa miaka 19 na akiwa ametoka tu kufanya mtihani wa kidato cha Nne katika shule ya sekondari ya Mwanza, maarufu 'Mwanza Seco'.
|
Mbao wamepata msiba baada ya kufiwa na mdogo wao leo |
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2gpkpf4
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms