Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
YANGA SC inaondoka jioni ya leo kwenda Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi, inayotarajiwa kuanza leo visiwani humo.
Kikosi cha Yanga jana kilifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam tayari kwa safari ya leo majira ya Alasiri.
Yanga itaondoka na kikosi wachezaji 26 pamoja na benchi lake zima la ufundi tayari kwa mchezo wao wa kwanza dhidi ya Jamhuri ya pemba Saa 2.30 usiku wa leo.
Vincent Bossou hatakuwepo kwenye kikosi cha Yanga Kombe la Mapinduzi kwa sababu anakwenda AFCON
Kikosi kamili cha Yanga kinachokwenda Zanzibar ni makipa; Deogratius Munishi 'Dida', Benno Kakolanya na Ali Mustafa 'Barthez'.
Mabeki ni Nadir Haroub 'Cannavaro', Pato Ngonyani, Vincent Andrew, Hassan Kessy, Mwinyi Hajji, Kevin Yondan, Juma Abdul na Oscar Joshua.
Viungo ni Haruna Niyonzima, Justin Zulu, Simoni Msuva, Juma Mahadhi, Geoffrey Mwashuiya, Deus Kaseke, Saidi Juma 'Makapu', Thabani Kamusoko na Yussuf Mhilu.
Washambuliaji ni Donald Ngoma, Amisi Tambwe, Emmanuel Martin, Obrey Chirwa na Matheo Anthony.
Katika michuano hiyo, Yanga SC itamkosa beki wake Mtogo, Vincent Bossou aliyekwenda nchini Senegal kujiunga na timu yake ya taifa, Togo kwa maandalizi ya mwisho ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zinazotarajiwa kuanza Januari 14, 2017 nchini Gabon.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2if2lb7
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA KUMKOSA BOSSOU KOMBE LA MAPINDUZI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/12/yanga-kumkosa-bossou-kombe-la-mapinduzi.html. Terimakasih atas perhatiannya.