Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana ametokea benchi na kushindwa kuinusuru timu yake, KRC Genk kulala 2-1 nyumbani mbele ya Lokeren Uwanja wa Luminus Arena mjini Genk.
Katika mchezo huo wa Ligi Daraja la Kwanza A Ubelgiji, Samatta aliingia dakika ya 81 kwenda kuchukua nafasi ya mshambuliaji mkongwe, Thomas Buffel.
Kocha wa Genk, Peter Maes atajilaumu mwenyewe kwa kuwadharau Lokeren na kuwaanzishia kikosi dhaifu kabla ya kuwainua baadhi ya wachezaji wake tegemeo kipindi cha pili, wakati wapinzani wamekwishaumudu mchezo.
Ikumbukwe mchezo uliopita, Samatta alifunga mabao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Waasland-Beveren kwenye mchezo wa Kombe la Ubelgiji Uwanja wa Freethiel-Stadion mjini Beveren-Waas.
Samatta (kushoto) akipongezwa na wenzake usiku huu baada ya kufunga mbao mawili katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Waasland-Beveren
Jana Samatta amecheza mechi ya 37 tangu ajiunge na Genk Januari mwaka huu kutoka TP Mazembe ya DRC, 18 msimu uliopita na 17 msimu huu, akifunga mabao 10, matano msimu huu na matano msimu uliopita.
Katika mechi hizo, ni 19 tu ndiyo alianza, 10 msimu uliopita na saba msimu huu, wakati 17 alitokea benchi nane msimu uliopita na 14 msimu huu – na mechi 10 hakumaliza akitolewa, sita msimu uliopita na nne msimu huu.
Kikosi cha KRC Genk kilikuwa: Bizot, Walsh, Colley, Dewaest, Castagne, Ndidi, Heynen/Susic dk81, Pozuelo, Trossard, Buffalo/Samatta dk81 na Karelis.
Lokeren: Copa, Maric, Skulason, Overmeire, De Sutter/Ninaj dk84, Galitsios, Terki, Ingason, Huppert/Miric dk70, Ticinovic/Rocketman Stra dk59 na Bolbat.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2g9QwkX
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SAMATTA ATOKEA BENCHI NA KUSHINDWA KUINUSURU GENK NA KIPIGO. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2016/12/samatta-atokea-benchi-na-kushindwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.