BEKI wa Arsenal, Laurent Koscielny amejitolea kukooa upagaji wa timu wa kocha Arsene Wenger kufuatia kipigo cha The Gunners hivi karibuni Uwanja wa Stamford Bridge.
Kikosi cha Wenger kilisambaratishwa na vinaraa wa Ligi Kuu, Chelsea katika kipigo ambacho kimepunguza mno matumaini ya ubingwa kwao.
Na mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ufaransa, Koscielny amezungumzia upangwaji wa timu siku hiyo London Kaskazini uliowaruhusu The Blues kuongoza Ligi Kuu ya England kwa pointi 12 zaidi.
Laurent Koscielny (kulia) ameponda upangaji wa timu wa Wenger katika mchezo dhidi ya Chelsea PICHA ZAIDI GONA HAPA
"Nafikiri tuliwachezesha wachezaji tofauti na tuliopaswa kuwachezesha na ninafikiri tulipaswa kucheza kitimu zaidi na kulikuwa kuna nafasi ya kufanya hivyo. Walitupiga kwa mashambulizi ya kushitukiza,"alisema Koscielny.
Wenger alipanga kikosi cha aina yake katika mchezo huo, akiwaanzisha Theo Walcott na Mesut Ozil badala ya Danny Welbeck na nyota wa timu, Alexis Sanchez na wakafungwa na Chelsea 3-1 Uwanja wa Stamford Bridge.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2kHSvQH
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KOSCIELNY APONDA UPANGAJI WA TIMU WA WENGER ARSENAL. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/02/koscielny-aponda-upangaji-wa-timu-wa.html. Terimakasih atas perhatiannya.