Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Yanga, Yussuf Manji yuko rumande tangu jana kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma za kujihusisha na biashara za dawa za kulevya.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema leo mchana akizungumza na Waandishi wa Habari kwamba Manji yuko rumande tangu jana akiendelea kuchunguzwa.
Na hiyo ni baada ya Manji kujisalimisha mwenyewe jana baada ya kutajwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika orodha ya watu 65 wanaoshukiwa kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya.
Makonda aliwataka wote 65 kufika kituo cha Polisi kati leo, lakini Manji akaamua kutangulia jana.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2kbQMyU
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MANJI YUKO RUMANDE TANGU JANA, KAMANDA SIRRO ASEMA.... Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/02/manji-yuko-rumande-tangu-jana-kamanda.html. Terimakasih atas perhatiannya.