Mchezaji mpya wa Leicester City, Mnigeria Wilfred Ndidi (katikati) aliyesajiliwa dirisha dogo kutoka KRC Genk ya Ubelgiji alipokuwa anacheza na Mtanzania, Mbwana Samatta akifumua shuti kuifungia timu yake mpya dakika ya 94 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Derby County baada ya kuingia kutokea benchi Uwanja wa Kings Power na kutinga Raundi ya Tano ya Kombe la FA England. Mabao mengine ya Leicester yalifungwa na Andy King dakika ya 46 na Demarai Gray dakika ya 114 katika mchezo huo uliodumu kwa dakika 120 baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya 1-1. Bao la Derby lilifungwa na Abdoul Camara dakika ya 61 na sasa Leicester itapambana na timu ya Daraja la Kwanza, Millwall katika hatua ijayo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2kuaSrh
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms