Mshambuliaji Luiz Suarez akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Barcelona dakika ya 43 katika sare ya 1-1 na Atletico Madrid usiku wa jana katika nusu ya pili ya Kombe la Mfalme Uwanja wa Camp Nou. Suarez baadaye alitolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 90 na kuifanya Barca imalize na wachezaji tisa kufuaia Sergi Roberto naye kutolewa kwa kadi nyekundu pia dakika ya 57, wakati Atletico nao walimpoteza Yannick Carrasco aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 69 huku bao la wageni likifungwa na Kevin Gameiro dakika ya 83 baada ya awali mchezaji huyo kukosa penalti dakika ya 80. Barca inakwenda fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kushinea 2-1 ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2lm0aAS
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SUAREZ AIPELEKA FAINALI BARCA KOMBE LA MFALME. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/02/suarez-aipeleka-fainali-barca-kombe-la.html. Terimakasih atas perhatiannya.