Na Mwandishi Wetu, MWANZA
RASMI JKT Ruvu imeipa mkono wa kwaheri Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa wenyeji, Toto Africans jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Matokeo hayo yanaifanya JKT iliyopanda Ligi Kuu mwaka 2002 imefikisha mechi 28 ikiwa na pointi 23 ambazo haziwezi tena kuwabakiza kwenye ligi hiyo.
Kwa Toto Africans, baada ya ushindi huo uliotokana na mabao ya mshambuliaji wake hatari, Waziri Junior inafikisha pointi 29 baada ya kucheza mechi 27 na inajivuta juu hadi nafasi ya 14 kwenye ligi ya timu 16, ingawa bado imo ndani ya timu tatu za kushuka Daraja.
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, mabingwa watetezi, Yanga wameifunga 2-0 Tanzania Prisons ya Mbeya Uwanja wa Taifa, Azam FC wameichapa Mbao FC ya Mwanza 3-0 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, Ruvu Shooting wamelazimishwa sare ya 1-1 na Kagera Sugar Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani, Pwani na Maji Maji wameifunga 3-0 Mwadui ya Shinyanga Uwanja wa Maji Maji, Songea.
Ligi Kuu itaendelea kwa mchezo mmoja tu kesho, Simba SC ikimenyana na African Lyon Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2pltJFf
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms