• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ▼  Mei (471)
      • Kenilworth Saturday 3 June 2017 Best Bets
      • Fairview Friday 2 June 2017 Best Bets
      • SANCHEZ, OZIL WAUNGANA KUTIKISA KIBERITI ARSENAL, ...
      • RONALDO 'ANAVYOJIUA' GYM KUELEKEA FAINALI LIGI YA ...
      • ZLATAN AANZA KUJIFUA TAYARI KUREJEA KAZINI MAN UNITED
      • SAMATTA ASHINDWA KUISAIDIA GENK, YACHEZEA KICHAPO ...
      • TARIMBA WA SPORTPESA ALIPOKABIDHIWA UZI WA EVERTON...
      • SIMBA YATANDIKWA 2-1 NA NYUNDO KATAVI
      • ALIYECHONGA KINYAGO CHA RONALDO ATENGENEZA CHA BAL...
      • KOCHA MPYA BARCA, ERNESTO VALVERDE ALIPOWASILI CAM...
      • WENGER ATHIBITISHA MAPENZI YAKE ARSENAL BAADA YA K...
      • KIPA MCAMEROON WA LYON AWAITA YANGA MEZANI WAKAMIL...
      • Champions Trophy: Australia vs New Zealand Preview
      • Ireland Premier Division: Week 17 Preview
      • TAIFA STARS YAWASILI SALAMA CAIRO, KUANZA MAZOEZI ...
      • Super Rugby Round 15: Blues v Reds Preview
      • AUBAMEYANG SAFARI IMEIVA KUTOKA DORTMUND KWENDA PSG
      • International Friendlies: Selected Matches Preview
      • French Top 14 2017 Final: Toulon v Clermont Auverg...
      • SIMBA YATAKA KUMTEMA AGYEI IMSAJILI AISHI MANULA
      • UCL Final: Juventus v Real Madrid Preview
      • World Rugby Under 20 Championship: Round 1 Preview
      • KINDA WA GHANA ALIYENG'ARA GABON ATAKIWA MAN CITY
      • MAN UNITED SASA NI KLABU TAJIRI TENA DUNIUANI, YAZ...
      • KAPOMBE ASITA KUONDOKA AZAM, AWAAMBIA SIMBA…
      • TAMBWE ALIVYOMPIGA PAMBA ZA 'JANGWANI' MTOTO WAKE ...
      • HAJIB AWAAMBIA SINGIDA UNITED WAACHE MANENO WAFANY...
      • KROENKE AMBAKIZA WENGER ARSENAL KWA MIAKA MINGINE ...
      • BORUSSIA DORTMUND YAMTUPIA VIRAGO KOCHA WAKE
      • NI MWAKA MMOJA TANGU BIN ZUBEIRY IWE TOVUTI RASMI
      • British and Irish Lions Tour of New Zealand Preview
      • Champions Trophy: England v Bangladesh Preview
      • Greyville Wednesday 31 May 2017 Best Bets
      • ATUPELE GREEN ATUA SINGIDA UNITED MIAKA MIWILI
      • SHOSE KUZIKWA MOSHI IJUMAA, ATASAFIRISHWA ALHAMISI
      • ERNESTO VALVERDE NDIYE KOCHA MPYA WA BARCELONA
      • HUDDERSFIELD YAREJEA LIGI KUU ENGLAND TANGU 1972
      • BEKI MGHANA WA MBAO AIKATAA SINGIDA UNITED ATUE AZAM
      • MWONEKANO WA THOMAS ULIMWENGU BAADA YA KUNYOA RASTA
      • MKUDE ATEMWA SAFARI YA TAIFA STARS MISRI TAIFA STA...
      • TFF YAZIITA KLABU LIGI KUU, DARAJA LA KWANZA KWA M...
      • MALINZI AWAPA POLE SIMBA MSIBA WA SHOSE
      • Hollywoodbets Grocery Promotion Winners
      • Off-Season Soccer Betting With Hollywoodbets!
      • WACHEZAJI STARS WALIVYOMPOKEA JONAS MKUDE KAMBINI LEO
      • SAMATTA KUIKOSA KAMBI YA TAIFA STARS MISRI
      • Woolavington 2000 - Final Field
      • Daily News 2000 - Final Field
      • World Rugby Under 20 Championship 2017 Preview
      • KUTUMIA ‘VIJEBA’ KWENYE MASHINDANO YA VIJANA NI KU...
      • Kenilworth Tuesday 30 May 2017 Best Bets
      • Fairview Monday 29 May Best Bets
      • MKUDE ARUHUSIWA KUTOKA HOSPITALINI, ASEMA YUKO VIZ...
      • HAZARD MCHEZAJI BORA WA MSIMU CHELSEA, ASHINDA PIA...
      • NI MALI WAFALME WA SOKA YA VIJANA AFRIKA TENA
      • TOTTI ALIVYOAGWA LEO MILAN BAADA YA KUICHEZEA KWA ...
      • YANGA YAFUNGA MSIMU NA USHINDI MNONO ARUSHA
      • MWILI WA SHOSE ALIYEFARIKI KWENYE AJALI YA MKUDE W...
      • MKUDE APATA AJALI MBAYA DUMILA, LAKINI YUKO SALAMA
      • NDIKUMANA YUKO TAYARI KUUNGANA NA MAVUGO SIMBA SC
      • CARRICK EXTENDS CONTRACT TO JUNE 2018
      • ARSENAL 2-1 CHELSEA
      • BARCELONA 3-1 ALAVES
      • SIMBA NA MBAO FC KATIKA PICHA JANA UWANJA WA JAMHURI
      • HASSAN AFIF, JULIO WALIVYOKINUKISHA SIMBA 1991
      • HONGERA SIMBA SC, USAJILI SASA UFANYWE NA BENCHI L...
      • NI MALI, AU GHANA KUBEBA NDOO YA U-17 AFRIKA LEO?
      • BARCELONA WATWAA KOMBE LA MFALME HISPANIA
      • SAMATTA AFIKISHA MABAO 20 GENK IKIUA 3-0 UBELGIJI
      • MABINGWA ARSENAL WAKIFURAHIA NA MWALI WAO WA FA
      • ARSENAL WAIBWAGA CHELSEA PUNGUFU NA KUBEBA KOMBE L...
      • BECKHAM AWASILI DAR NA FAMILIA YAKE
      • MBAO WALIVYOWAWEKA ROHO JUU MASHABIKI WA SIMBA LEO...
      • SIMBA YAREJEA ANGA ZA KIMATAIFA, YAIGONGA MBAO 2-1...
      • UWANJA WA JAMHURI HAKUNA PA KUKANYAGA, WATU WAMEFU...
      • OMOG AWAANZISHA PAMOJA MAVUGO NA LUIZO, APANGA KIK...
      • NI ARSENAL, AU CHELSEA KUBEBA NDOO YA FA ENGLAND LEO?
      • SIMBA KURUDI MICHUANO YA AFRIKA LEO?
      • WENGER KUCHEZA PATA POTEA LEO LANGONI, KUMPANGA OS...
      • MAN CITY YANASA KIUNGO FUNDI, BERNARDO SILVA KUTOK...
      • KIPRE TCHETCHE APIGA ZOTE MBILI, TIMU YAKE YABEBA ...
      • REFA WA KESHO NI AHMED KIKUMBO
      • Cup Finals Weekend Preview
      • Kenilworth Saturday 27 May 2017 Best Bets
      • Turffontein Sunday 28 May 2017 Best Bets
      • Super Rugby 2017: Round 14 Preview (Saturday)
      • England vs South Africa: Second ODI Preview
      • MSUVA, KASEKE NA CHIRWA ‘WATUNDIKWA’ KWA KUMSHUGHU...
      • BINGWA KOMBE LA AZAM SPORTS KUVUNA MILIONI 50 KESHO
      • Scottsville Saturday 27 May 2017 Best Bet
      • Fairview Friday 26 May 2017 Best Bets
      • KAMUSOKO AREJESHWA TIMU YA TAIFA YA ZIMBABWE KUIVA...
      • YANGA WALIPOZURU BUNGENI DODOMA JANA KUONYESHA KOM...
      • MBAO WALIPOTINGA BUNGENI JANA KABLA YA KUIVAA SIMB...
      • ARSENAL YAMUONGEZEA MSHAHARA SANCHEZ ASIENDE BAYER...
      • 'TRA' YA HISPANIA YAMCHONGEA RONALDO AFUNGWE MIAKA...
      • EVERTON YA LUKAKU YAJA KUCHEZA NA SIMBA AU YANGA
      • French Top 14 Semi-Finals: La Rochelle v Toulon Pr...
      • SINGIDA UNITED YAIPIGA BAO YANGA USAJILI WA KENNY ...
      • MAN UNITED 2-0 AJAX
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » MKUDE APATA AJALI MBAYA DUMILA, LAKINI YUKO SALAMA

MKUDE APATA AJALI MBAYA DUMILA, LAKINI YUKO SALAMA

Na Mahmoud Zubeiry, DUMILA
NAHODHA wa Simba, Jonas Mkude amenusurika katika ajali mbaya ya gari iliyotokea eneo la Dumila mkoani Morogoro mchana wa leo.
Mkude na watu wengine watano akiwemo dereva walikuwa kwenye gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 wakisafiri kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam.
Na walipofika Dumila tairi la mbele likapasuka na gari hiyo kupoteza mwelekeo hadi kwenye pori upande wa kushoto.
Abiria mmoja aliyatajwa kwa jina la Shose Fiderine ndiye aliyeumia zaidi, lakini hata Jasmin, Mkude na dereva ambaye pia ndiye mmiliki wa gari ajulikanaye kwa jina la utani, Rais wa Kibamba nao wameumia.
Wanachama wa Simba waliokuwa kwenye basi dogo wakirejea Dar es Salaam walipofika eneo la tukio walisimama kutoa msaada. 
Gari ya aina Toyota Land Cruiser V8 ambalo alikuwemo Mkude baada ya kupata ajali
Mkude aliisaidia Simba jana kubeba Kombe la ASFC kwa kuifunga Mbao 2-1 Uwanja wa Jamhuri, Dodoma

Mkude alikuwa anatoka Dodoma, ambako jana aliisaidia Simba kukata tiketi ya kucheza Kombe la Shirikisho Afrika mwakani, baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbao FC Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Katika fainali kali na ya kusisimua ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC), dakika 90 zilimalizika timu hizo zikiwa hazijafungana na mabao matatu yakapatikana katika dakika 30 za nyongeza, Simba mawili, Mbao moja.
Wachezaji Frederick Blagnon raia wa Ivory Coast na Robert Ndaki ambao wote walitokea benchi kipindi cha pili ndiyo waliokwenda kuzifungia mfululizo timu zao.
Blagnon alianza kuwainua vitini mashabiki wa Simba dakika ya 95 baada ya kumzidi maarifa beki wa Mbao FC kufuatia pasi ndefu ya beki wa kushoto pia, Abdi Banda.
Lakini Ndaki akaisawazishia Mbao dakika ya 109 akitumia makosa ya Banda aliyezubaa akidhani mfungaji kaotea.
Wakati wengi wanaamini mchezo utaamuliwa kwa mikwaju ya penalti, lakini refa Ahmed Kikumbo akawazawadia Simba penalti baada ya beki mmoja wa Mbao FC kuunawa mpira uliopigwa na Abdi Banda dakika 119.
Wachezaji wa Mbao FC walimzonga refa huyo kabla ya kuamua kutulia na kukubali mchezo uendelee, ndipo winga Shiza Ramadhan Kichuya akaenda kuifungia Simba bao la ushindi na kuamsha shangwe na nderemo Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Askari wa usalama barabarani akiangalia gari hilo baada ya kupindukia porini
Wanachama wa Simba waliokuwa kwenye basi dogo wakirejea Dar es Salaam walipofika eneo la tukio walisimama kutoa msaada 
Wamachama wa Simba wakilitazama gari lililombeba Nahodha wao baada ya ajali
Wapenzi wa Simba wakiwa wametahayari eneo la tukio na chini ni Mwandishi wa Habari, Mwani Nyangassa akielekea eneo la tukio 

Wakati kikosi cha Simba kimebaki Dodoma kwa ajili ya kwenda kuonyesha Kombe lao Bungeni kesho na baadaye kwenda kucheza mechi ya kirafiki Singida, Mkude na wachezaji wengine wa Simba walioitwa timu ya taifa wamelazimika kuondoka leo kwa usafiri tofauti kurejea Dar es Salaam kujiunga na Taifa Stars.
Mkude aliomba lifti kwa rafiki yake, Rais wa Kibamba wakati wengine akiwemo beki Abdi Banda walipanda mabasi. Wengine walioitwa Taifa Stars kutoka Simba ni beki Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, viungo Said Ndemla, Kichuya, Muzamil Yassin, Mohammed ‘Mo’ Ibrahim na mshambuliaji Ibrahim Hajib.     


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2s3wtso best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MKUDE APATA AJALI MBAYA DUMILA, LAKINI YUKO SALAMA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/05/mkude-apata-ajali-mbaya-dumila-lakini.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 04.43
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
Copyright Viral Sports: MKUDE APATA AJALI MBAYA DUMILA, LAKINI YUKO SALAMA