MSHAMBULIAJI Alvaro Morata amekatisha fungate lake Ibiza ili akashughulikie uhamisho wake kwenda Manchester United kwa mujibu wa gazeti la AS la Hispania.
AS limeripoti kwamba Real Madrid amesafiri kutoka Ibiza kwenda nyumbani kwake mjini Madrid, huku mazungumzo ya uhamisho baina ya klabu hizo mbili yakiendelea.
Morata amezungumza mara kadhaa kwa simu na kocha wa United, Jose Mourinho na imeripotiwa yuko njiani kuhamia Ligi Kuu ya England.
Wanandoa hao wamekatisha fungate lao ili kwenda kushughulikia uhamisho wa mume kuhamia Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kocha wa United, Mourinho amekuwa shabiki wa Morata tangu anamfundisha katika kipindi chake cha kufanya kazi kwa miaka mitatu Bernabeu.
Mashetani Wekundu 'walitupa ndoana' zao kwa Morata mwezi uliopita, lakini Madrid inataka ada ya uhamisho ya Pauni Milioni 70 kumuuza mchezaji huyo wa kimataifa wa Hispania.
Mourinho anasaka mshambuliaji mpya Man United kwa sababu Zlatan Ibrahimovic anatarajiwa kuondoka siku si nyingi zijazo.
Awali United walimtaka sana Antoine Griezmann, lakini Mfaransa huyo akaamua kusaini mkataba mpya Atletico Madrid baada ya klabu hiyo kufungiwa kusajili.
Mashetani hao Wekundu walimtaka pia mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku lakini bahati mbaya mchezaji hiyo wa kimataifa wa Ubelgiji ameamua kurejea timu yake ya zamani, Chelsea.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2tiWs2C
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MORATA ASITISHA FUNGATE AKASHUGHULIKIE UHAMISHO MAN UNITED. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/06/morata-asitisha-fungate-akashughulikie.html. Terimakasih atas perhatiannya.