• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ▼  Juni (465)
      • PACQUIAO TAYARI KWA PAMBANO NA JEFF KESHO AUSTRALIA
      • MESSI 'ALIVYOHALALISHA' KIFAA CHAKE JANA KATIKA BO...
      • MAN UNITED 'YAWAKOKOMEKA' 3-1 BARCELONA PALE PALE ...
      • BARCELONA 1-3 MAN UNITED (MAGWIJI)
      • MAYWEATHER NA MCGREGOR NI PAMBANO LA 'WAZEE WA MPU...
      • KAMATI YA UTENDAJI SIMBA SC KUJADILI MUSTAKABALI W...
      • Sponsored Trainers Comments - Durban July 2017
      • Boxing 2017: Horn v Pacquiao Preview
      • 2017 Confederations Cup Final: Chile v Germany Pre...
      • 2017 Confed Cup 3rd Place Play-Off: Mexico v Portu...
      • Comrades Marathon 2017 – Hollywoodbets Halfway wow...
      • KICHUYA AWANIA ‘KIATU CHA DHAHABU’ COSAFA 2017
      • NATHAN AKE ATUA BOURNEMOUTH KWA DAU LA REKODI
      • WANYAMA KUZURU UGANDA PIA, ATACHEZA HADI MECHI
      • West Indies v India: 3rd ODI Preview
      • TAIFA STARS NA MAURITIUS KATIKA PICHA JANA MORULENG
      • NYOTA NA MAGWIJI BARCA WATUA ARGENTINA KWENYE 'MNU...
      • RONALDO NOMA, AFIKISHA WATOTO WATATU MAMA HAWAJULI...
      • GORETZKA AFUNGA MBILI UJERUMANI YAUA 4-1 NA KWENDA...
      • WAGOMBEA 29 TU WAJITOKEZA USAJILI WA UCHAGUZI TFF
      • MEXIME NA WENGINE 18 WAHITIMU KOZI YA UKOCHA DARAJ...
      • TAIFA STARS YATINGA ROBO FAINALI COSAFA
      • Garden Province Stakes - Preview
      • Greyville Saturday 1 July 2017 Best Bets
      • Turffontein Sunday 2nd July 2017 Best Bets
      • MALINZI ‘ACHINJWA KIAINA’ UCHAGUZI TFF
      • Turffontein Saturday 1 July 2017 Best Bets
      • TAMBWE AONGEZA MIAKA MIWILI YANGA SC
      • Kenilworth Saturday 1 July 2017 Best Bets
      • FEDHA ZA OKWI 'ZAWALAZA JELA' AVEVA NA KABURU HADI...
      • Fairview Friday 30 June Best Bets
      • Sharks vs Bulls in Super Rugby Clash
      • CAF CL / CAF Confed Cup: Selected Fixtures Preview
      • Tour de France: Stage One Preview: Düsseldorf - Dü...
      • MALINZI, AVEVA, KABURU NA MWESIGWA WAFIKISHWA MAHA...
      • Super Rugby 2017: Round 16 Preview
      • AZAM FC YAANZA MAANDALIZI YA MSIMU MPYA, YAALIKWA ...
      • URENO 0-0 (PEN 0-3) CHILE
      • MANNY PACQUIAO ALIVYO TAYARI KURUDI ULINGONI JUMAPILI
      • RONALDO 'ACHEZEWA KINDAVA' URENO YANG'OLEWA KWA MA...
      • AVEVA, KABURU NAO WANASHIKILIWA NA TAKUKURU, YADAI...
      • Jockey Comments - Vodacom Durban July 2017
      • Trainer Comments - Vodacom Durban July 2017
      • Vaal Thursday 29 June 2017 Best Bets
      • US MLS: Week 19 Preview
      • NGOMA ABAKI YANGA, ASAINI MIAKA MIWILI LEO
      • The Quicken Loans National 2017 Preview
      • Betgames Africa Statistics: 21 June - 27 June
      • Tour de France: Stage One Preview
      • TAIFA STARS NA ANGOLA KATIKA PICHA JANA BAFOKENG
      • Irish Premier Division: Week 21 Preview
      • West Indies v India: Third ODI Preview
      • MTIBWA SUGAR YAMTEMA BAHANUZI, YASAJILI WAWILI WAPYA
      • Open de France 2017 Preview
      • MALINZI, MWESIGWA KUPANDISHWA KIZIMBANI LEO
      • MORATA ASITISHA FUNGATE AKASHUGHULIKIE UHAMISHO MA...
      • LUKAKU AMERULIA KWA RAHA ZAKE ANAWASUBIRI CHELSEA TU
      • ARSENAL YAWAPA OFA NZURI OZIL NA SANCHEZ WABAKI EM...
      • NGOMA HUYU HAPA 'AIRPORT' CHINI YA ULINZI WA 'MAKO...
      • MUZAMIL MCHEZAJI BORA STARS IKITOA SARE 0-0 NA ANG...
      • MSIBA WA BABA YAKE MOURINHO KATIKA PICHA
      • BANDA ALIYENG'ARA U-20 ZAMBIA ASAINI MIAKA MITATU ...
      • MOURINHO AFIWA NA BABA YAKE KIPA NA KOCHA WA ZAMAN...
      • NGOMA HUYOOO AFRIKA KUSINI, ASAINI MIAKA MITATU PO...
      • British and Irish Lions Tour: New Zealand v Britis...
      • 2017 Confederations Cup: Semi-Finals Preview
      • Kenilworth Wednesday 28 June 2017 Best Bets
      • R100 FICA Bonus
      • WAINGEREZA WAISHANGAA TANZANIA ILICHOMFANYIA WANYAMA
      • Vaal Tuesday 27 June 2017 Best Bets
      • Duncan Howells - Durban July Day Runners
      • Multigoals - Soccer Betting Market
      • Vodacom Durban July Past Winners
      • British and Irish Lions Tour: Things We Learnt Fro...
      • British and Irish Lions Tour: Hurricanes v British...
      • RONALDO TAYARI KWA NUSU DHIDI YA CHILE KOMBE LA MA...
      • OKWI ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA, ‘MO’ DEWJI ASEMA…
      • CHILE YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA AUSTRALIA
      • UJERUMANI YAITUPA NJE CAMEROON KOMBE LA MABARA
      • MESSI ALIVYOFURAHIA NA FAMILIA YAKE KUTIMIZA MIAKA...
      • KICHUYA APIGA ZOTE TAIFA STARS YAILAZA MALAWI 2-0 ...
      • HALMASHAURI YATENGUA UAMUZI WA KUMPA WANYAMA MTAA DAR
      • NYAMLANI AJITOA MBIO ZA URAIS WA TFF
      • UCHAGUZI LIPULI FC SASA KUFANYIKA AGOSTI 5
      • Flamingo Park Monday 26 June 2017 Best Bets
      • HALMASHAURI YATENGUA UAMUZI WA KUMPA WANYAMA MTAA DAR
      • CANNAVARO NA AGGREY 2005 NDANI YA ZANZIBAR HEROES
      • WAMECHOMA MOTO JEZI YA YANGA, SIYO YA HARUNA
      • MEXICO YASONGA MBEE KOMBE LA MABARA, YAWAPIA WAZEN...
      • RONALDO AFUNGA, URENO YATINGA NUSU FAINALI KOMBE L...
      • HUYU HAPA 'MTOA ROHO' OKWI NDANI YA HIMAYA YA SIMBA
      • MTAA DAR WAPEWA JINA LA KIUNGO WA SPURS, WANYAMA
      • MAMADOU SAKHO ALIPOJUMUIKA NA WATOTO YATIMA ZANZIBAR
      • SAKHO AHUDHURIA MECHI YA KUMUAGA NINJA WA YANGA
      • MMOJA TU ‘APIGWA CHINI’ UCHAGUZI WA TFF
      • England v South Africa: 3rd T20 Preview
      • ARSENAL SASA YAKAZANIA SAINI YA LACAZETTE, YAMPOTE...
      • West Indies v India: 2nd ODI Preview
      • WAZIRI MWAKYEMBE AMTEMBELEA NAHODHA SERENGETI BOYS...
      • TAIFA STARS YAFIKA SALAMA, KUANZA NA MALAWI
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » WAMECHOMA MOTO JEZI YA YANGA, SIYO YA HARUNA

WAMECHOMA MOTO JEZI YA YANGA, SIYO YA HARUNA

WIKI hii klabu ya Yanga imeamua kuachana na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima baada ya kutofikia makubaliano naye juu ya mkataba mpya.
Katibu wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa alithibitisha kuachana na Niyonzima vizuri tu baada ya mazungumzo baina yao kutofikia mwafaka wa mkataba mpya.
“Hata hivyo Haruna Niyonzima bado ana mkataba mpaka mwezi Julai na Yanga Sc, lakini hatutaweza kuendelea kuwa nae kwa msimu ujao kwani hatukuweza kufikia mwafaka katika mazungumzo yetu na yeye licha ya timu yetu kuwa na nia za kuendelea naye kwa misimu miwili ijayo,”alisema.
Awali, Niyonzima alikaririwa na Bin Zubeiry Sports – Online akisema kwamba yuko kwenye mazungumzo na Yanga juu ya mkataba mpya na wakati huo huo Simba nao wanamuhitaji.
Na tayari inaelezwa Haruna amesaini Simba, ingawa yeye mwenyewe kila anapotafuta amekuwa hapatikani kwenye simu yake.
Mzaliwa huyo wa Gisenyi, Rwanda Februari 5, mwaka 1990 alijiunga na Yanga SC mwaka 2011, akitokea APR ya Rwanda aliyoanza kuichezea mwaka 2007 baada ya kujiunga nayo kutoka Rayon Sport iliyomsajili mwaka 2006 kutoka Etincelles iliyomuibua kisoka nchini humo.
Wakati Haruna anaondoka, inaelezwa mshambuliaji mwingine aliyechezea timu hiyo kwa misimu miwili iliyopita, Donald Ngoma naye anaweza kuondoka.
Ngoma inasemekana ametaka fedha nyingi, ambazo Yanga hawana uwezo wa kutoa kwa sasa, hivyo mahasimu, Simba wameahidi kumpa na anaweza kuhamia Msimbazi.
Bahati nzuri, wachezaji wengine tegemeo kama Mrundi, Amissi Tambwe, Mzambia, Obrey Chirwa na wazalendo kama Hassan Kessy, Juma Abdul, Geoffrey Mwashiuya na Simon Msuva wana mikataba.
Lakini Yanga wanakabiliwa na jakamoyo pia juu ya kiungo Mzimbabwe, Thabani Kamusoko ambaye naye amemaliza mkataba na haijulikani watamalizana vipi.
Pamoja na hayo, Yanga nao wamejitahidi kusajili wachezaji kadhaa japo hadi sasa imewatambulisha wawili tu, beki Abdallah Hajji ‘Ninja’ kutoka Taifa Jang’ombe na kiungo Emmanuel Buswita kutoka Mbao FC kwa sababu wengine iliyowasaini hawajamaliza rasmi mikataba na klabu zao.
Msimu uliomalizika Yanga ilitozwa faini ya Sh. Milioni 50 tu kwa kumsajili Hassan Kessy kutoka Simba akiwa amebakiza wiki moja na Mkwasa amesema chini yake kama Katibu hataki kosa hilo lijitokeze.
Na habari zisizo rasmi zinasema, Yanga imewasajili pia, kipa Mcameroon, Youthe Rostand kutoka African Lyon, beki Babu Ally Seif kutoka Kagera Sugar na mshambuliaji Ibrahim Hajib kutoka kwa mahasimu Simba.
Na bado wapo wengine wanatajwa kuwa mbioni kusaini kwa wana Jangwani hao, wakiwemo viungo Mudathir Yahya kutoka Azam, Raphael Daudi kutoka Mbeya City na mshambuliaji Stahmili Mbonde kutoka Mtibwa Sugar.
Lakini usajili wa Simba ndiyo umekuwa wa kusisimua zaidi katika dirisha hili, kutokana na kuchukuwa wachezaji wengi wenye majina makubwa.
Mbali na Haruna Niyonzima na Donald Ngoma ambao Simba haijathibitisha kuwa na mpango nao ingawa huo ndiyo ukweli, lakini Wekundu hao wa Msimbazi wamechukua nyota watatu Azam FC, kipa Aishi Manula, beki Shomary Kapombe na mshambuliaji John Bocco.   
Simba imewasajili pia kipa Emmanuel Mseja, mabeki Jamal Mwambeleko kutoka wote Mbao FC, Ally Shomary kutoka Mtibwa Sugar na Yussuf Mlipili kutoka Toto Africans, huku pia mshambuliaji wake wa zamani, Emmanuel Okwi aliwasili jana tayari kusaini mkataba kurejea Msimbazi.
Usajili huo na pamoja na mpango wa kuwasajili Haruna na Ngoma – basi wana Simba wamekuwa na furaha sana na kwa ujumla wanatamba katika soko la usajili.
Wapo mashabiki wa Yanga wanamchukulia Haruna kama msaliti baada ya kuondoka Yanga, lakini wanasahau hata alipokuja nchini alivutiwa na fedha alizopelekewa na Abdallah Bin Kleb. Kule Kigali.
Kama kuna hisani zozote Bin Kleb alimfanyia Haruna ikiwemo kumtibu mama yake mzazi India kama inavyoelezwa, alifanya hivyo kwa sababu alikuwa mchezaji wa Yanga na tayari walikuwa marafiki.
Linapokuja suala la kazi, kinachotazamwa ni maslahi – na Haruna amekuwa jasiri kwa kufanya maamuzi magumu, kuondoka katika klabu aliyochezea kwa muda mrefu na kutengeneza marafiki kama Bin Kleb.
Wapo watu walichoma jezi ya Yanga yenye jina la Haruna kuonyesha hisia zao za kuchukia kuhama kwake.
Hawakuchoma jezi ya Haruna, wamechoma moto jezi ya Yanga. Jezi ya Haruna ni moja tu, ni ile ya timu ya taifa ya Rwanda, hizi za klabu anaweza akavaa hata tatu kwa mwaka mmoja.
Mei 20, mwaka huu aliichezea Yanga ikifungwa 1-0 na Mbao FC mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara pale CCM Kirumba, Mwaza na tunatarajia Agosti ataanza kuichezea Simba – lakini Rwanda hatahama, hivyo Yanga wajue wamechoma moto jezi yao wenyewe, si ya Haruna. 


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2s9DZkn best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang WAMECHOMA MOTO JEZI YA YANGA, SIYO YA HARUNA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/06/wamechoma-moto-jezi-ya-yanga-siyo-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 01.05
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
Copyright Viral Sports: WAMECHOMA MOTO JEZI YA YANGA, SIYO YA HARUNA