Na Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
MDOGO wa mshambuliaji wa Yanga, Simon Msuva aitwaye James amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Mbao FC ya Mwanza.
Mwenyekiti wa Mbao FC, Solly Zephania Njashi ameiambia Bin Zubeiry Sports - Online leo kwamba, Msuva aliyewahi kuchezea timu za vijana za JKT Ruvu, Simba na Yanga, amesaini mkataba huo baada ya kufuzu majaribio katika mchujo maalum ulioandaliwa na timu hiyo.
Njashi amesema kocha Mrundi, Etienne Ndayiragije amevutiwa na kipaji cha mshambuliaji huyo chipukizi mwenye kipaji cha kufunga mabao baada ya kumjaribu mazoezini kwa wiki moja.
 |
| James Msuva kushoto baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na Mbao FC ya Mwanza |
"Tumemsajili Msuva kutokana na uwezo wake na siyo sababu labda ni mdogo wa Simon Msuva, hapana. James alikuja Mwanza na akacheza mwalimu akamuona na akaona anatufaa ndiyo maana tumemchukua na kumpa mkataba wa miaka miwili,"amesema Njashi.
Mbao FC imeendesha mchujo maalum wa kuangalia vijana wa kusajili ili kuunda kikosi cha msimu ujao, kufuatia wachezaji wake kadhaa nyota kuchukliwa na timu za Dar es Salaam baada ya msimu wake mmoja tu wa kucheza Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara tangu ipande.
Walioondoka ni pamoja na kipa Emmanuel Mseja na beki Jamal Mwambeleko waliokwenda Simba, kipa Benedict Haule na kiungo Salmin Hoza waliokwenda Azam na kiungo Pius Buswita aliyekwenda Yanga.
Wakati huo huo: Mbao FC itacheza mechi ya kirafiki ya kujiandaa na msimu mpya dhidi ya Sony Sugar ya Kenya Julai 25, mwaka huu Rorya mkoani Mara.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2tyz81R
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MSUVA MDOGO ATUA MBAO FC MIAKA MIWILI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/msuva-mdogo-atua-mbao-fc-miaka-miwili.html. Terimakasih atas perhatiannya.