• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2026 (58)
    • ►  Januari (58)
  • ►  2025 (318)
    • ►  Desember (70)
    • ►  November (4)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ▼  Juli (535)
      • Kenilworth Tuesday 1 August 2017 Best Bets
      • KAREKEZI KOCHA MPYA WA RAYON SPORTS, ATASAIDIWA NA...
      • ULIMWENGU AFANYIWA UPASUAJI WA GOTI, KUWA NJE HADI...
      • FUNDI WA MPIRA RAPHAEL DAUDI LOTH MAZOEZINI MOROGO...
      • MALIMI BUSUNGU ASAJILIWA LIPULI YA IRINGA
      • MTAALAMU CHUJI ARUDI KAZINI, ASAINI NDANDA FC
      • NEMANJA MATIC ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU MAN U...
      • TFF YASHUSHA ADA ZA WACHEZAJI WA KIGENI LIGI KUU
      • FIFA YABARIKI UCHAGUZI TFF UENDELEE, NGOMA KUPIGWA...
      • MATOKEO YA MWISHO USAILI TAFCA, KAMPENI ZAANZA
      • Scottish Premier League: Outright Preview
      • Audi Cup: Semifinals Preview
      • AISHI MANULA AINGIA KAMBINI SIMBA, SASA BADO NIYON...
      • SA Lotto & Plus - Lucky Numbers
      • KESI ZA AKINA MALINZI, AVEVA, KABURU ZAAHIRISHWA T...
      • Fairview Monday 31 July Best Bets
      • VALERENGA 0-3 MAN UNITED
      • ARSENAL 1-2 SEVILLA
      • LACAZETTE AFUNGA LAKINI ARSENAL YAPIGWA 2-1 KOMBE ...
      • MESSI NA MSUVA WALIVYOPIGA KAZI LEO MOROCCO
      • LUKAKU, FELLAINI WAFUNGA MAN UNITED YAIPIGA 3-0 VA...
      • RASMI, RAPHAEL DAUDI LOTH NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA
      • NEYMAR ALIPOKUTANA NA BONDIA FLOYD MAYWEATHER
      • MAN CITY ILIVYOENDELEZA WIMBI LA USHINDI JANA...
      • RESULT - HERMOSO MUNDO - eLAN Gold Cup 2017 Winner
      • TITUS SIMBA ALIPOTWAA MEDALI YA FEDHA YA MADOLA SC...
      • YALIYOPITA SI NDWELE, KILA LA HERI, MESSI, MSUVA.....
      • Turffontein Sunday 30 July 2017 Best Bets
      • Greyville Sunday 30 July 2017 Best Bets
      • PSG WAICHAPA MONACO 2-1 NA KUBEBA SUPER CUP YA UFA...
      • PRISONS MABINGWA KOMBE LA HISANI MBEYA, WAIPIGA YA...
      • CHELSEA 1-2 INTER MILAN
      • MONACO 1-2 PSG
      • MAN CITY 3-0 TOTTENHAM
      • ARSENAL 5-2 BENFICA
      • REAL MADRID 2-3 BARCELONA
      • PIQUE AGONGA LA USHINDI, BARCELONA YAIBWAGA REAL M...
      • WALCOTT APIGA MBILI ARSENAL YAICHAPA 5-2 BENFICA
      • 'CHAMPION BOY' SAMATTA KAMA KAWAIDA, AANZA MSIMU M...
      • SAMATTA AANZA MSIMU NA BAO, GENK YASHINDA 3-2
      • YAWAPA 5-2 BENFICA, WALCOTT APIGA MBILI ARSENAL KO...
      • SALAH AFUNGA TENA LIVERPOOL YASHINDA 3-0 UJERUMANI
      • Chiefs Gun Down Bucs in Black Label Cup
      • KIPA WA TIMU YA TAIFA YA CHAN GHANA ATUA AZAM
      • RESULT - SAIL SOUTH - Champions Cup 2017 Winner
      • IVAN PERISIC AWAANGAMIZA CHELSEA SINGAPORE, INTER ...
      • SHAMTE AJITIA KITANZI KIPYA MBEYA CITY MIAKA MIWILI
      • MSUVA ALIVYOFANYIWA VIPIMO VYA AFYA KABLA YA KUSAI...
      • OKWI ALIVYO KAMILI GADO KAMBINI SIMBA AFRIKA KUSINI
      • MICHO AACHA KAZI UGANDA, KISA HAJALIPWA MILIONI 140
      • MWANJALI NAHODHA MPYA SIMBA, WASAIDIZI BOCCO NA TS...
      • 'CHAMPION BOY' MBWANA SAMATTA KAZINI UBELGIJI LEO
      • NEYMAR AREJEA MAZEOZINI, PSG KUMPELEKA DI MARIA BA...
      • SIMBA B YATUPWA NJE KWA MATUTA MICHUANO YA ATF, FA...
      • HATIMAYE TIBOROHA AFANIKIWA KUMUUZA MSUVA MOROCCO
      • ZIDANE AWAWEKA MKAO WA KULA MAN UNITED KWA BALE
      • KUNA NINI SANCHEZ NA ARSENAL? SASA ANASEMA MGONJWA
      • LACAZETTE ANAPOYAJENGA NA MFARANSA MWENZKE MAZOEZI...
      • NEYMAR AGOMBANA MAZOEZINI BARCA, AKASIRIKA ASUSA N...
      • BANDA AWATEMBELEA SIMBA KAMBINI AFRIKA KUSINI...IL...
      • YANGA 'WALIVYOKIWASHA' LEO MOROGORO KWA HASIRA ZOTE
      • Greyville Saturday 29 July 2017 Best Bets
      • Kenilworth Saturday 29 July 2017 Best Bets
      • MALINZI AMSHUKURU RAIS MAGUFULI, AWATAKIA TFF UCHA...
      • Currie Cup 2017: Round Two Preview
      • Major League Baseball Preview: 29 July 2017
      • Free State Cheetahs vs Western Province: Currie Cu...
      • YANGA B YAIPIGA 3-0 MBEYA CITY NA KUTANGULIA FAINALI
      • Russian Premier Liga: Week 3 Preview
      • Major Soccer League: Round 23 Preview
      • ROONEY AKOSA BAO LA WAZI, EVERTON YASHINDA 1-0 TU ...
      • YANGA YAMPA NAFASI NYINGINE MATHEO, ASAINI MIAKA M...
      • MAYWEATHER AANIKA MAFURUSHI YA DOLA 'MIA MIA' KWEN...
      • LIVERPOOL SASA MAZOEZI NDIYO HAYA KAMBI YA UJERUMANI
      • CHELSEA YAFIKISHA 20 WA KUTOA KWA MKOPO, BADO KAMA...
      • Winning Form Stockists Replacing TABs
      • BEKI LA SHUGHULI, DAVID LUIZ KATIKA MAZOEZI YA HATARI
      • MTIBWA SUGAR WAREJEA MORO KUJIPIMA NA MBEYA CITY
      • BAYERN MUNICH 0-2 INTER MILAN
      • REAL MADRID 1-4 MAN CITY
      • BARCELONA 1-0 MAN UNITED
      • MAN UNITED WAREJEA NYUMBANI BAADA YA KAMBI YA MARE...
      • Fairview Friday 28 July Best Bets
      • Internatioal Champions Cup: Real Madrid v Barcelon...
      • SINGANO ATOKEA BENCHI TIMU YAKE YACHAPWA 3-0 MOROCCO
      • SIMBA NA YANGA B ZATUA MBEYA KUSHIRIKI MASHINDANO ...
      • YANGA BAADA YA MAZOEZI YA ASUBUHI KAMBINI MORO
      • SIMBA SC KUCHEZA NA ORLANDO PIRATES, BIDVEST AFRIK...
      • ICC Womens World Cup: Team of the Tournament 2017
      • MSUVA ALIVYOPAA JANA KWENDA KUKAMILISHA MIPANGO MO...
      • Super Rugby Semi-Finals: Lions v Hurricanes Preview
      • North West Province - Winning Form Outlets
      • Northern Cape - Winning Form Outlets
      • Western Cape: Winning Form Outlets
      • Mpumalanga: Winning Form Stockists
      • Limpopo: Winning Form Stockists
      • KwaZulu-Natal: Winning Form Stockists
      • Gauteng: Winning Form Outlets
      • Free State - Winning Form Outlets
      • Eastern Cape: Winning Form Stockists
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » ⁠⁠UKISTAAJABU YA HAMISI GAGA, UTAYAONA YA SAID MWAMBA 'KIZOTA'

⁠⁠UKISTAAJABU YA HAMISI GAGA, UTAYAONA YA SAID MWAMBA 'KIZOTA'

Na Haji Manara, DAR ES SALAAM 
Ehhh!!haya na leo naandika tena? mazoea mengine bana!! Ndio, nimeona niandike ujinga wangu ila safari hi naandika kuhusu suala jepesi la wachezaji kuhama timu kubwa moja kwenda timu kubwa nyingine,hapa nazungumzia Simba na Yanga, mapacha kulwa na Dotto. 
Kiuhalisia hili jambo halikuanza leo, limeanza miaka Dahal, na ukienda ktk historia, zamani lilikuwa linakera zaid pengine kupita zama zetu,sababu miaka ya nyuma kabisa,wachezaji walikuwa wakihama upande mmoja kwenda mwingine sababu za kishabiki zaid,kuliko sasa, ambapo sababu za kimaslahi zmechukua nafasi kubwa. 
Kihistoria mchezaji wa kwanza maarufu kuhama ktk timu hz ni wajina wangu Haji Omari,,huyu alikuwa sentahafu mahiri sana wa Yanga, lakini akaja kuhamia Sunderland (Simba) inaarifiwa kwa kitendo chake cha kuhama jinsi kilivyowakera wana Yanga, wakaamua kuhakikisha hachezi Simba, Haji akaishia kuuza soda pale Ilala Stadium (karume). 
Wachezaji maarufu waliovuma miaka ya 1990, Hamisi Thobias Gaga 'Gaga Rhino' (kulia) na Said Nassor Mwamba 'Kizota' (kushoto) enzi za uhai wao

Baada ya hapo kulikuwa na mtikisiko mkubwa ktk medani ya kabumbu nchini, baada ya anaetajwa kuwa kiungo bora nchini kuwahi kutokea miaka ya Sitini na mwanzoni mwa miaka ya Sabini, Gilbert Mahinya kuihama klabu ya Simba na kujiunga na Yanga, kiungo huyo inatajwa kuwa alinyan'ganywa hadi fenicha alizonunuliwa na Simba, hali iliopelekea kuacha gumzo kubwa nchini, Gilbert anatajwa na mchezaji wa zamani wa Yanga, Pan, Pamba na timu ya Taifa, Mohammedd Rishard Adoph, kuwa ndiye half back six bora kuwahi kumuona nchini. 
Miaka ya Sabini,suala la kuhama halikuziacha salama klabu hz,kwanza kwa kiungo Adam Juma akihama kutoka Simba kwenda Yanga,huyu alidhihakiwa kuwa alihama Simba kufata safari ya Yanga iliolikwa kwenda Romania,ingawa baadae Simba ilikwenda nchini Poland kupitia Italy miaka hyo. 
Miaka hii pia ilishuhudia kipa bora kupita wote nchini kuwah kutokea Athman Mambosasa nae akienda Yanga kwa kipindi kifupi,,sambamba na namba ten ya Afrika Maulid Dilunga Eusebio nae akihamia Simba toka Yanga,ingwa hawa hawakudumu sana na klabu zao mpya
Mtikisiko kwa miaka hyo ni kwa Ezekiel Gryson Jujuman,mzaramo wa kisarawe na baba wa muigizaji mahiri wa filamu Aunt Ezikiel,huyu alihama Yanga kuja Simba,kiungo huyo aliyembele ya haki kwa sasa,alichezea Yanga wakati ikipokea kipigo cha kihistoria cha goli Sita kwa bila,1977,Jujuman alikuwa akicheza kiungo wa ushambuliaji. 
Miaka ya themanini haikuwa na vbweka hvyo sana,zaid ya Kelvin keegan wa Yanga,kama walivyokuwa wakimwita washabiki wao,Omary Hussein kuja kucheza Simba mwishoni mwa miaka hyo,,Simba wakambatiza jina la One Ten,aina ya gari zilizokuwa kwenye chati miaka hyo. 
Ila kwa faida ya wasomaji,mwanzoni mwa miaka hyo almanusura katibu mkuu wa sasa wa Yanga,Charles Boniface Mkwasa kujiunga na Simba,Mkwasa au Master kama alivyokuwa akiitwa na wafuasi wake,alishasajili Simba,ila mwenyekiti wa FAT (TFF )wakati huo Mzee Said El-Maamry akampa fursa ya kuchagua timu gani anayotaka kuichezea,ndipo kiungo huyo mtaratibu akaichagua timu yake anayoishabikia ya Yanga. 
Pia full back kutoka Pamba Yusuf bana nae aliingia ktk mtego kama huo,wakati akihama huko kuja Dar,Bana alijisajili timu zote mbili,ila FAT ikamuidhinisha kuchezea Yanga,,hali iliopelekea kubadilisha jina kwa kuongeza jina Ismail.
Vurugu hasa zilianza miaka ya Tisini,,kwanza zikianzishwa na marehemu Sillsaid Mziray kocha msaidizi wa Simba,ambae alijiunga na Yanga katikati ya msimu wa 1990,tena mara baada ya mechi kali ya mwezi May,ambapo Simba iliibwaga Yanga,kwa goli moja kwa sifuri,kwa shuti la yadi 45,toka kwa beki Mavumbi Omari. 
Mziray alikuwa kocha wa kwanza rasmi kuhama toka kwa watani hao wa jadi,ambao baadhi ya wasiojua huwaita mahasimu,
Mziray akiwa kocha aliifunga Simba alivyotaka,huku ikichagizwa na mfadhili bepari Abbas Gulamali,ambapo waliifunga Simba mara tano mfululizo,ikianzia kipigo cha 3-1,mwaka huo,kabla ya kuwafunga mara nne tena krk msimu wa 1991,hadi pale Simba walipoifunga Yanga kule Zbar kwenye fainali ya Ubingwa wa Afrika mashariki na kati(Kagame Cup ). 
Mziray aliweka historia kubwa sana kipindi hicho,ingawa kwa maneno yake mwenyew kwangu miaka ya baadae aliwah kunitamkia kuwa yy ni mnazi wa Simba,pale alikuwa kazini tu,Kocha Mziray mtaalam wa soka ya matumizi ya nguvu,baadae alirejea kufundisha klabu yake aliokuwa anaishabikia.
Hapa nimtaje Mkuu wa mkoa wa Manyara,kocha Joel Bendera ambae nae aliwahi kuzifundisha timu hz zote,lakini yy akifundisha zaid pale zilipokuwa zikiwakilisha nchi,ktk mashindano mbalimbali yanayoandaliwa na CAF,niwajuze Kocha Bendera akisaidiana na marehemu Ayub Mohd,waliiwezesha Simba kuweka rekodi pekee duniani,ya kushinda goli tano bila ugenini,baada ya kufungwa nyumbani goli nne kwa bila,dhidi ya klabu ya Mufurilla Wonderes ya Zambia,kiukweli hii ni rekodi ya dunia,,ingawa sijui kwa nn haijawekwa ktk vitabu vya Guinnes book,mechi hii ilikuwa ni ya klabu bingwa barani Afrika,na ilichezwa mbele ya Rais wa Zambia wakati huo Kenneth kaunda.
Tukiachana na makocha hao,mwaka huo beki mwenye umbile dogo lakini mahiri Deo Njohole au OCD,alivaa jezi ya Yanga huku alkiwa mchezaji wa Simba,Deo alivaa jezi hyo siku Yanga ikicheza na kikwajuni ya Zanzibar,Deo alifungiwa kucheza soka baada ya kusajiliwa na timu zote hzo mapacha. 
Kivumbi na jasho kilikuwa mwaka uliofata,1991,Siimba ilipoteza nyota wake watatu kwa mpigo,narudia 'NYOTA', Zamoyoni Mogella,Method Mogella,na Hamis Thobias Gaga,hawa walianza kuichezea Yanga kule zbar kwenye klabu bingwa Afrika mashariki na kati 1992,ktk hali ya kawaida ungedhani Simba ingeyumba,lakini ajabu haikuwa hvyo,ikiwatumia nyota wapya kama Hussein Marsha,George Masatu,Mohd Mwameja,kasongo Athmani,Fikiri magoso,Damian kimti,Michael Poul,George Lucas,Mnyama aliweza kumfunga Yanga kule zbar,na kuchukua kombe hilo tena,ambalo walilitwaa mwaka 1991. 
Na hapa ndio ule msemo wa watu wa Soka,,klabu ni kubwa kuliko mchezaji unapotimia. 
Yanga pia ilishawah kutimua timu nzima mwaka 1976,wakiwemo wazee wangu,Kitwana na Sunday Manara,Maulid Dilunga,kilambo,Chitete na wengine wengi,ingawa uamuzi ule uliacha doa na historia mbaya kwao, kwan ndipo walikula sita na kuifanya Simba ichukue ubingwa kwa miaka mitano mfululizo. 
Kikosi cha kina Masha na Masatu ndio kilifika fainali ya Caf,medali pekee kubwa ktk soka nchini kuwah kuvaliwa,,wachezaji hao wanaungana na Mbwana Samata na Tom Ulimwengu kuwah kuvaa medali znazotolewa na Shirikisho la soka Afrika,CAF,Kina Samata wao walivaa medali za ubingwa wakiwa na TP Mazembe ya Congo DRC. 
Sina hakika msomaji hadithi yangu,kama unajua kukosa huruma ya Rais mstaafu wa awamu ya pili,Al haji Ally Hassan Mwinyi,wachezaji Kenneth Mkapa,wa Yanga,Mwameja na Michael Poul almanusura wafungiwe baada ya kujisajili timu zote mbili!!hyo ilikuwa 1993,lakini mzee Ruksa aliwaombea msamaha kwa waziri wa michezo wakati huo Profesa Philemon Sarungi,ambae aliwaagiza Fat wawafungulie nyota hao wakubwa kwa kipindi hcho. 
Godwin Aswile na Thomas kipese nao walihama Yanga kuja Simba msimu huo,na walivaa medali hzo za Caf,ambazo ziliwawezesha kujipatia magari aina ya Toyota corolla toka kwa mfadhili wa Simba wakati huo, Azim Dewji,Simba ni timu pekee nchini kuwahi kuwapa wachezaji wake wote magari kwa mpigo, jambo ambalo halijawah kufanywa na klabu yoyote nchini,kwa miaka 56,ya uhai wa taifa hili liliojaa wapiga domo.
Ninazo pia kumbukumbu za kiungo mnyumbufu Athaman China ambae alikuwa nyota wa Yanga,lakini baadae akajiunga na Simba 1994,akitokea Ughaibuni alipokuwa akicheza soka ,
Sololist Dally kimoko ndio jina la utani alilokuwa akitumia Mwanamtwa kihwelo,ambae nae kuhama hakukumuacha salama,,yy alihama msimu wa 1994, Mtwa ni ndugu wa beki mahiri wa zamani wa Simba Mussa kihwelo,na pia Julio,au Jamhuri kihwelo, Muhesa na Muhehe ambao nao walikuwa wachezaji walioacha alama nchini,Kimoko yy alihama Yanga kuja Simba. 
Steven Casmir Nemes na Said Mwamba kizota,nao msimu wa 1995 wakajiunga na Simba kutokea Yanga,nimewah kuwapenda nyota wengi kiuchezaji nchini,,ila Kizota na Gaga niliwazimia sana,,miguu yao ilikuwa ni kuliko almasi,wakati flan nilikuwa naamini Kizota alikuwa anacheza huku anaweka nta miguuni,,ukizingatia anatokea mkoa wenye kuzalisha Asali kwa wingi. 
Siku moja miaka ya nyuma kdogo nilikuwa naongea na Mkwasa kuhusu masuala mbalimbali ya mpira,,akaniambia wachanganye Gaga na kizota,basi hawajamfikia baba yako Sunday hata nusu,,hapo niliogopa kdogo,,lakini majuzi tu waziri mwakyembe alimuita Messi wa zama hzo,,nasikitika macho yangu hayakujaaliwa kumuona mzee wangu ktk ubora wake uwanjani,,nilikuwa mdogo mno,,ingawa ni mpekepeke wa kuuliza historia na kusoma majarida ya zamani. 
Hebu turejee ktk mada kuu, jina la kocha Nzoyisaba Tauzani walikumbuka?mrundi huyu nae anaingia kwenye historia ya kuhama, ingawa yy hakutokea Yanga moja kwa moja kuja Simba,lakini nae hakuachwa salama ktk mkumbo huu maarufu kama iba uibiwe.
Unadhani ntawasahau Edibiy Lunyamila na Mohamed Hussein Chinga?hawa nao mwanzoni mwanzoni mwa karne hii nao waliasi toka Yanga kuja Simba,Eddy kwa vigezo vyovyote vile ndio winga bora niliowah kumuona nchini kwa macho yangu,,achana na hao niliohadithiwa,kina Leonard Chitete na Wily Mwaijibe,,lunya kwa macho yangu nimeshuhudia akiwakalisha chini kwa chenga kali mabeki wafuatao,David Mwakalebela,kassongo,Aziz Nyoni,Said korongo,Deo mkuki,Mohd mtono na ukitaka hilo nenda kamuulize nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uganda,Poul Hassule jinsi alivyompindua pindua kama chapati,pale Nakivubo Stadium 1993,wakati Yanga ilipotwaa ubingwa wa kagame cup(ndio linavyoitwa kwa sasa). 
Ikumbukwe Yanga walikabidhiwa na mfadhili wao Seti ya Tv inch 18,toka kwa marehemu Gulamali,mwaka ambao Simba ilikabidhiwa ndinga mpya toka Toyota. 
Ohhh kichwa kimechoka nn?Akida Makunda nae hakubaki salama na iba uibiwe,huyu alihama Simba kwenda Yanga pia.
Mwaka 1998,Yanga ilipata fursa ya kucheza fainali za ligi ya mabingwa,ikawaazima nyota watatu kutoka Simba, Beki bora wa kushoto Alphonce Modest nchini, kando ya Kajole,Mohd Chuma,Ahmed Amasha na kenneth Mkapa,Kiungo mtundu Shaban Ramadhan na mshambulizi aliyecheza miaka mingi zaid ligi ya Tanzania kando ya Kitwana Manara na Madaraka Selemani,Monja liseki. 
Kitendo hiki kilichofanywa na Simba ni uungwana bora michezoni kupita kitendo chochote kufanywa ktk historia ya mapacha hao watukutu,,nnaloamini mwakani wakati Simba ikirudi kwenye caf com,Yanga itawaazima wachezaji Simba,nikiamini Simba itafuzu kwa hatua za makundi,huku wenzetu kama kawaida yao. 
Nikimrejea Lunyamila nae ana historia kubwa ya pengine mchezaji pekee nchini kucheza hatua za makundi mara mbili za ligi ya Mabingwa Afrika, akianzia na Yanga 1998,kisha Simba 2003. 
Jembe Ulaya na Yusuf Macho iba uibiwe nao haikuwacha,,ingawa uhamaji wao ni tofauti kdogo,,huku wote wakija Simba baada ya kutokea nje walikoenda kujaribu kucheza soka la kulipwa,awali walikuwa wakiitumikia Yanga. 
Jina kamili la Jembe Ulaya ni Bakari Malima,Malima ni mpwa wa sentahaf wa kimataifa wa zamani nchini na klabu za Simba na Cosmopolittan Mohammed Bakari Tall, timu ya pili kuchukua ubingwa baada ya Sunderland(Simba) Cosmo walichukua ubingwa 1967,huku Simba ikiitangulia mwaka 1966.
Goli Kipa bora nchini kwa wakati wake Tanzania one Juma Kaseja au Juma K Juma unamuacha vp ktk mkumbo huu wa kuwatumikia mafahari hawa wawili nchini tena yy alitoka unyamani kwenda bondeni , au Kiggi Makassi na Amiri Maftah unadhani walibaki salama? au Ephrahim Makoye? hawa nao iba uibiwe iliwakumba,,wote hao walikuwa Yanga baadae wakaja Unyamani. 
Au mkumbo huo wa iba uibiwe utawaacha vipi, watu kama, goli kipa Yaw Berko , Rashid Gumbo, Nurdin Bakar, ambao kwa nyakati tofauti walitoka timu moja kwenda upande wa pili kwa mapacha hawa wawili nchini Simba na Yanga 
Loooh masikini  Athman Iddi 'Chuji' ni kweli anastahili kutokuwemo kwenye ligi kuu nchini kwa sasa? hebu zifikirie zile pasi zake kama rula znazogawa uwanja!! ahh yote maisha, ila nae alihama Simba kwenda Yanga na kuna kipindi alirudi Simba kabla ya kurudi alipopapenda zaid,Yanga
Doyi Moki,nae aliwah kuhama Yanga kwenda Simba. 
Wasso Ramadhani mrundi aliyekuwa namba tatu mahiri wa Simba nae alihamia Yanga pia,ingawa tunajua ni mnazi mkubwa wa unyamani. 
Deogratius Munishi Dida, Ally Mustafa Barthez,kelvin Yondan na kessi nao wote kwa vipindi tofauti waliwah kukipiga na Simba na kwa sasa wapo Yanga. 
Kuna na yule Diego wa kiganda, mwe mwe mweh!!Hamis kiiza!! nae alikuja kucheza Simba akitokea Yanga, ingawa ni dhambi ya kuhitaji utubu kwake kutumia jina hili la Aramando,Sambamba na mwanasoka bora wa kigeni kuwah kucheza nchini Emmanue Okwi, hawa wote washawah kuvaa jezi za mapacha hawa,,na hapa nimpe heko Okwi aliondoka kwa heshma Simba na anarejea kwa heshma ile ile. 
Mrundi Amissi Tambwe alitokea Simba na Yanga sasa Mnyarwanda Haruna Niyonzima anaondoka Jangwani kuhamia Msimbazi

Niliwasahau hata hao??...... 
Na safari hii Ibrahi Ajibu ambae sijawah kukosa kuamini kuwa ana kipaji halisi cha soka nae kajiunga na Yanga,,ndio bnafsi imeniuma kwa kuwa naamini angepata fursa zaid akiwa Simba,ila mwisho wa siku uamuzi wa maisha ya mtu hufanya yy mwenyew,na kwa kuwa Ibra ni mtoto wa mjini sijui kama msomaji umemsikia kasema lolote baya au zuri kuhusu Simba,hii inampa fursa ya kutochukiwa na wanazi wetu,tofauti na vjana wengine wanaohama huku midomo ikiwa wazi,wanaoshindwa kuweka akiba,,wakisahau vilabu hv ni vikubwa na vna rasilimali watu kila pembe ya nchi. 
Rai yangu kwa wachezaji ni kuwa,bnadaam kuhama huzuiwi ila uweke akiba,yasije kukuta kama marehemu Haji Omari,,mcheza mpira hupaswi kuwa msemaji zaid,mpira uwe miguuni mwako na sio kinywani,,kazi ya usemaji mtuachie wenyewe, hii ni taaluma kama zilivyo taaluma zenu. 
Niwaombe wanazi wenzangu, nimejaribu kuwapa historia hii fupi ili mjue suala la mchezaji kuhama ni jambo la kawaida,limeanza miaka Dahal nyuma,na halitaisha kamwe,,muhimu cc washabiki tuwe na uvumilivu,,ikitokea kwa Yanga kama ilivyokuwa kwa Simba mvumilie tu, ndio IBA UIBIWE HYO,
(Mwandishi wa makala haya, Haji Sunday Manara ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu ya Simba, anayefahamika kwa jina la utani De la Boss)


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2uPsfpV best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ⁠⁠UKISTAAJABU YA HAMISI GAGA, UTAYAONA YA SAID MWAMBA 'KIZOTA'. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/07/ukistaajabu-ya-hamisi-gaga-utayaona-ya.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 00.06
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MTANZANIA Alice Gyunda miongoni mwa washiriki 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliofanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha taj...
  • BARCELONA 3-1 ALAVES
    BARCELONA 3-1 ALAVES
    from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2s2Iqyx
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • ARSENAL YAMUONGEZEA MSHAHARA SANCHEZ ASIENDE BAYERN MUNICH
    KLABU ya Arsenal imempa ofa nyingine mshambuliaji wake, Alexis Sanchez aachane na mpango wa kwenda Bayern Munich na abaki Emirates. Ofa mp...
  • EPL: Week 36 Preview
    EPL: Week 36 Preview
    We preview week 36 of the 2017/18 English Premier League season which is set to get underway on Saturday 28 April.  We’re into the final s...
  • Woolavington 2000 - Final Field
    View the final field and betting for the Grade 1 Woolavington 2000 at Greyille this Saturday 3 June 2017. The final field for the Woolav...
  • NFD: Week 20 Preview
    NFD: Week 20 Preview
    This will be a tricky week in the GladAfrica Championship with some of the teams having the Nedbank Cup last 32 action in mind. However, I...
  • Cup Finals Weekend Preview
    We take a look at this weekend's big European Cup Final ties. Most of Europe’s big leagues are done and dusted but there’s still the...
  • CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    BAO pekee la beki wa kimataifa wa England, Ben Chilwell dakika ya 45 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Brentford Uwanja wa...
  • YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    KLABU ya Yanga imewasimamisha wachezaji wake wawili, Dickson Ambundo na Mrundi Saido Ntibanzokiza kuelekea mechi ya Fainali ya Kombe la S...
Copyright Viral Sports: ⁠⁠UKISTAAJABU YA HAMISI GAGA, UTAYAONA YA SAID MWAMBA 'KIZOTA'