Na Mwandishi Wetu, KAMPALA
TIMU ya Azam FC, imetoka sare ya kufungana bao 1-1 na KCCA jana katika mchezo wa kwanza wa kirafiki kwenye zara yake ya Uganda kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Star Times mjini Kampala.
Mchezo huo uliokuwa mkali na wa aina yake ulishuhudia ukimaliza kipindi cha kwanza kwa timu zote zikiwa hazijafungana, na kipindi cha pili kila upande ukafanikiwa kucheka na nyavu mara moja kwa mpinzani wake.
Azam FC iliyocheza vizuri kwenye mchezo huo kama ilivyo kwa KCCA, ilibidi isubiri hadi dakika ya 90 kuweza kuandika bao la kusawazisha lililofungwa na winga wa kulia anayechipukia Idd Kipagwile, kwa shuti la mbali la mpira wa wa adhabu ndogo nje kidogo ya eneo la 18 uliombabatiza kipa kabla ya kutinga wavuni.
|
Kikosi cha Azam FC kilichoanza katika mchezo wa jana mjini Kampala |
KCCA ilitangulia kupata bao dakika ya 74 lilofungwa na kiungo Bukenya Lawrence, kwa shuti kali nje ya eneo la 18 lililomshinda kipa wa Azam FC, Razak Abalora, aliyekuwa akicheza mechi yake ya tatu tokea asajiliwe na timu hiyo akitokea WAFA SC ya Ghana.
Kocha Mkuu wa Azam FC, alibadilisha wachezaji katika maeneo ya kiungo na ushambuliaji, kipindi cha kwanza akianza na washambuliaji Yahya Zayd, Wazir Junior, viungo Frank Domayo, Nahodha Himid Mao, Braison Raphael.
Kipindi cha pili katika dakika tofauti Yahaya Mohammed, Enock Atta, Masoud Abdallah, Idd Kipagwile, Ramadhan Singano, Stephan Kingue, walichukua nafasi zao, lakini timu ilionekana kucheza kwa ubora ule ule na hatimaye kupata bao la kusawazisha kwenye dakika ya pili ya nyongeza kati ya tatu zilizoongezwa baada ya kumalizika dakika 90.
Mara baada ya mchezo huo, kikosi cha Azam FC kinatarajia kucheza mchezo wa pili wa kirafiki kesho Ijumaa dhidi ya URA utakaofanyika Uwanja wa Phillip Omondi saa 10.00 jioni.
Kikosi cha Azam FC kilikuwa Razak Abalora, Daniel Amoah, Bruce Kangwa, Aggrey Morris, Yakubu Mohammed, Himid Mao (C)/Kingue dk 81, Braison Raphael/Masoud dk 46, Salum Abubakar/Kipagwile dk 84, Yahya Zayd/Yahaya dk 46, Wazir Junior/Atta dk 78, Frank Domayo/Singano dk 80
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2vJTJQN
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang AZAM FC YAWAKATALIA KCCA 'BARAZANI KWAO', SARE 1-1 KAMPALA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/azam-fc-yawakatalia-kcca-barazani-kwao.html. Terimakasih atas perhatiannya.