• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ▼  Agustus (555)
      • MAKAMU WA RAIS TFF, WAMBURA ALIKUWA KAMISAA JANA K...
      • OKWI AIPAISHA UGANDA KILELENI KUNDI E KUFUZU KOMBE...
      • UBELGIJI NOMA, YAIFUMUA GIBRALTAR 9-0, LUKAKU APIG...
      • RONALDO APIGA HAT TRICK, URENO YASHNDA 5-1 KUFUZU ...
      • LEMAR 'WA ARSENAL', AIPIGIA MBILI UFARANSA YAILAZA...
      • MBAPPE ATUA PSG KWA MKOPO KUTOKA MONACO
      • MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO
      • APR YAMSAJILI MCHEZAJI ALIYEGOMA KUCHEZA BURE HISP...
      • SIMBA WAPANGA KUMFIKISHA MAHAKAMANI BUSWITA KWA UT...
      • World Cup Qualifier: Uruguay v Argentina Preview
      • 2018 UEFA World Cup Qualifier: Spain v Italy Preview
      • Pro 14: Ulster vs Cheetahs Preview
      • Pro 14: Scarlets v Southern Kings Preview
      • Aviva Premiership: Gloucester vs Exeter Chiefs Pre...
      • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
      • Opinion: Rights and wrongs of T20 Global League pl...
      • CAF World Cup Qualifiers: Round 3 Preview
      • European Tour: D&D Real Czech Masters Preview
      • World Cup Qualifier: Cape Verde v South Africa Pre...
      • KESI YA AVEVA, KABURU YAPIGWA KALENDA TENA, WARUDI...
      • PGA Tour: Dell Technologies Championship Preview
      • Bangladesh Claim Historic Win in Mirpur
      • Kenilworth Wednesday 30 August 2017 Best Bets
      • Windies Shock England by winning 2nd Test
      • ABDI BANDA NDANI YA NDEGE ANAKUA DAR KUJIUNGA NA S...
      • HATIMA YA CHIRWA WA YANGA KUJULIKANA KESHOKUTWA
      • MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO
      • MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO
      • SANGA WA YANGA AWANIA UENYEKITI BODI YA LIGI
      • European Rugby Champions Cup: Pool 2 Preview
      • Currie Cup Round 8: Blue Bulls v Griquas Preview
      • Aviva Premiership: Outright Preview
      • Mbappe: PSG’s Missing Link
      • Sri Lanka v India: Fourth ODI Preview
      • Atletico and Chelsea reach Compromise?
      • Alexis Sanchez on the brink of Arsenal Exit
      • MBAO FC YAPATA UDHAMINI MWINGINE, GF TRUCKS WAMWAG...
      • 3 Chelsea Transfer Deadline Signings?
      • Vaal Tuesday 29 August 2017 Best Bets
      • WACHEZAJI STARS WAINGIA KAMBINI, ‘MAPRO’ KUANZA KU...
      • 2017 US Open: Men Draw Preview
      • 2017 US Open: Women's Draw Preview
      • MAPEMA TU, TFF WABOMOA RATIBA YA LIGI KUU
      • SIMBA KUMPELEKA NDUNDA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI
      • 2017 US Open Preview
      • DEMBELE ALIPOWASILI RASMI BARCELONA KUANZA KAZI
      • KIMWAGA AZUA HOFU AZAM BAADA YA KUUMIA DHIDI YA ND...
      • Fairview Monday 28 August 2017 Best Bets
      • MSUVA APIGA BAO KOMBE LA MOROCCO, JADIDA YASHINDA 3-1
      • T20 Global League 2017 Squads
      • YANGA NA LIPULI KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • REAL MADRID 2-2 VALENCIA
      • WAFALME WA SOKA HISPANIA, ULAYA NA DUNIANI
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE LA LIGA, 2-2 NA VALE...
      • CHELSEA 2-0 EVERTON
      • LIVERPOOL 4-0 ARSENAL
      • KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO...
      • MAYWEATHER 'ALIVYONOGA' KATIKA PATI LA USHINDI
      • LIVERPOOL YAIFANYIA MAMBO YA AJABU ARSENAL...4-0
      • CHELSEA YAWASHA MOTO ENGLAND, YAIPIGA 2-0 EVERTON
      • YANGA YAANZA NA SARE, 1-1 NA LIPULI TAIFA
      • SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU
      • KUTOKA SERENGETI BOYS HADI ETOILE DU SAHEL, MUNGU ...
      • KOCHA TWIGA STARS AENDA MASOMONI UJERUMANI
      • Boks Dominate in Salta
      • MAYWEATHER V MCGREGOR
      • AFC BOURNEMOUTH 1-2 MAN CITY
      • MAN UNITED 2-0 LEICESTER CITY
      • Mayweather defeats McGregor by TKO
      • MAYWEATHER AMUADHIBU MCGREGOR 'KAMA MTOTO' ULINGONI
      • MZEE KAWAWA ALIISHUHUDIA MAJI MAJI IKIPIGWA 3-0 NA...
      • HII YA BUSWITA MBONA IMEZUKA ZUKA TU NA HAIONYESHI...
      • SAMATTA ATOKEA BENCHI BADO DAKIKA SABA GENK YASHIN...
      • Scottsville Sunday 27 August 2017 Best Bets
      • English Premier League: Week 3 Results
      • Italian Serie A: Round 2 Results
      • German Bundesliga: Week 2 Results
      • Spanish La Liga: Week 2 Results
      • Dutch Eredivisie: Week 3 Results
      • French Ligue: Round 4 Results
      • OKWI AITWA KUIBEBA UGANDA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
      • MESSI AFUNGA ZOTE MBILI, BARCA YAUA 2-0 LA LIGA
      • MAN UNITED YAENDELEZA UBABE ENGLAND, YAILIMA 2-0 L...
      • SIMBA YAANZA LIGI KUU NA MOTO WA UBINGWA, OKWI API...
      • STERLING AIFUNGIA LA USHINDI MAN CITY DAKIKA YA MW...
      • MAYANGA AWAREJESHA YONDAN NA MWADINI TAIFA STARS
      • New Zealand Edge Australia in Dunedin Thriller
      • Sri Lanka v India: Third ODI Preview
      • MAYWEATHER NA MC GREGOR WAKUTWA NA UZITO SAWA
      • NIYONZIMA: SIMBA NAJIONA KAMA NIMEZALIWA UPYA
      • VPL: LIGI BORA AFRIKA MASHARIKI INAYOLETWA NA VODA...
      • HAZARD ASEMA CHELSEA INA UWZO WA KUTANDIKA BIFFON
      • MTIBWA SUGAR YAAHIDI KUFANYA KWELI LIGI KUU
      • AZAM FC IPO KAMILI GADO KWA AJILI YA NDANDA MTWARA
      • BARCELONA YATANGAZA KUMSAJILI DEMBELE KWA PAUNI MI...
      • VILLA AREJESHWA KIKOSINI HISPANIA BAADA YA MIAKA M...
      • VAN PERSIE AREJESHWA KIKOSINI UHOLANZI BAADA YA MI...
      • SIMBA NA RUVU, YANGA NA LIPULI KUPIGWA SHAMBA LA BIBI
      • RAIS FIFA AUPONGEZA UONGOZI MPYA TFF, AAHIDI KUEND...
      • MIYEYUSHO ULINGONI NA BAINA 'SIMBA' MAZOLA KINONDO...
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » VPL: LIGI BORA AFRIKA MASHARIKI INAYOLETWA NA VODACOM NA AZAM TV

VPL: LIGI BORA AFRIKA MASHARIKI INAYOLETWA NA VODACOM NA AZAM TV

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
HATIMAYE michuano mikubwa kabisa ya soka nchini, ijulikanayo kama Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inarejea tena kwa mara ya 53 tangu ilipoanzishwa mwaka 1965 kwa wigo finyu na hali dunia kabisa, ikishirikisha klabu za Dar es Salaam pekee.
Timu 14 zinatarajiwa kujitupa dimbani kuwania pointi za mwanzoni, katika mbio za kusaka ubingwa wa ligi, unaoshikiliwa na Wana Jangwani, Yanga SC. 
Katika mechi za ufunguzi kesho, Simba SC wakitoka kubeba Ngao ya Jamii kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya mahasimu, Yanga watarudi Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kuikaribisha Ruvu Shooting, Ndanda watakuwa wenyeji wa Azam FC Uwanja wa Nangwanda Sijaona, Mtwara, Mwadui FC wataikaribisha Singida United Uwanja wa Mwadui Complex, Mtibwa Sugar watakuwa wenyeji wa Stand United Uwanja wa Manungu, Turiani, Morogoro, Kagera Sugar watawakaribisha jirani zao wa Mwanza, Mbao FC Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, Njombe Mji FC watakuwa wenyeji wa Tanzania Prisons na Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya, wenyeji Mbeya City watawakaribisha majirani, Maji Maji kutoka Songea mkoani Ruvuma.
Yanga SC imeweza kutwaa taji la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania mara nne hadi tangu mwaka 2013 

Mabingwa watetezi, Yanga wao wataanza kutetea taji lao Jumapili kwa kumenyana na wapinzani wao wa muda mrefu na maswahiba wa mahasimu wao wa jadi, Lipuli ya Iringa iliyorejea Ligi Kuu msimu baada ya kuteremka zaidi ya miaka 17 iliyopita          
Historia ya Ligi hiyo inaanzia mwaka 1929 ilipoanzishwa kifukara, tu kwa sababu ya mapenzi ya watu na soka wakaamua kuungana na kuanzisha michuano ya kutafuta bingwa, ingawa ni timu za Dar es Salaam pekee zilizokuwa zikishiriki wakati huo.
Kufika mwaka 1965, ilianzishwa michuano ya Klabu Bingwa Tanzania, ambayo ilikuwa inaanzia ngazi ya Wilaya, ikichezwa kwa mtindo wa mtoano, ingawa pia katika miaka miwili ya mwanzoni, timu za Dar es Salaama pekee ndizo zilizoshiriki.
Katika mfumo huo, bingwa wa kwanza ilikuwa ni klabu ya Sunderland ambayo hivi sasa inajulikana kama Simba SC ya Dar es Salaam, ambayo ilifanikiwa kutetea ubingwa wake msimu uliofuata, kabla ya kuutema kwa Cosmopolitan ya Dar es Salaam pia mwaka 1967.
Lakini wakati wote huo, bado Tanzania ilikuwa haijawa mwanachama wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), hivyo Sunderland hawakuwahi kucheza michuano ya Afrika. Cosmo ingekuwa ya kwanza kucheza Klabu Bingwa Afrika mwaka 1968 kama isingejitoa, lakini kwa kujitoa kwao, Yanga ilifungua historia ya ushiriki wa klabu za Tanzania kwenye michuano ya Afrika mwaka 1969, baada ya kutwaa ubingwa wa nchi kwa mara ya kwanza mwaka 1968, kabla ya kuutetea mara nne mfululizo, katika miaka ya 1969, 1970, 1971 na 1972. Baada ya hapo, Sunderland ikiwa tayari imebadili jina na kuitwa Simba kurejesha taji lake mwaka 1973.
Simba ilishindwa kuutetea ubingwa wake msimu uliofuata mwaka 1974 baada ya kupokonywa na Yanga katika fainali ya kihistoria iliyofanyika Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza kwa kuchapwa mabao 2-1.  
Mwaka 1975 Yanga iliutema ubingwa huo kwa Mseto SC ya Morogoro, iliyoweka historia ya kuwa klabu ya kwanza kutoka nje ya Dar es Salaam kutwaa ubingwa wa nchi.
Lakini Mseto ilishindwa kuteteqa taji hilo, ikapokonywa na Simba msimu uliofuata- na Wekundu wa Msimbazi walifanikiwa kutetea ubingwa huo kwa miaka mitano mfululizo, kuanzia mwaka 1976 hadi 1980.
Siri ya kutawala kwa Simba kwenye ligi hiyo kwa miaka yote hiyo ni kuyumba kwa Yanga baada ya kukumbwa na mgogoro mkubwa 1976, uliosababisha kukimbiwa na wachezaji wote nyota, hivyo kuanza upya kabisa kuunda timu. 
Ni ndani ya kipindi hicho Simba iliweza kulipa kisasi cha kuchapwa mabao 5-0 na Yanga mwaka 1968, wakati nayo ilipowatandika watani wao hao wa jadi 6-0 mwaka 1977.  
Juni 1, mwaka 1968 Yanga iliigaragaza Simba 5-0, mabao yake yakitiwa kimiani na Maulid Dilunga (sasa marehemu) katika dakika za 18 kwa njia ya penalti na 43, wakati mengine yalitiwa kimiani na Salehe Zimbwe dakika ya 54 na 89 kabla ya Kitwana Manara kupachika la kuhitimisha karamu ya mabao dakika ya 86.
Julai 19, mwaka 1977 Simba nayo ililipa kisasi kwa kuibugiza Yanga mabao 6-0, wafungaji wakiwa ni Abdallah 'King' Kibadeni aliyetikisa nyavu mara tatu katika dakika za 10, 42 na 89, wakati mengine yalifungwa na Jumanne Hassan 'Masimenti' dakika za 60 na 73 na Selemani Sanga wa Yanga alijifunga dakika ya 20.
Kufika mwaka 1981, tayari Yanga ilikuwa imara tena na kufanikiwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara ingawa msimu uliofuata iliutema kwa Pan African. 
Kuanzia mwaka 1982, mfumo wa Ligi ya Tanzania ulibadilishwa na kukawa na ligi tatu, kwanza ni Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza visiwani Zanzibar na Ligi Kuu ya Muungano.
Yaani baada ya kupatikana washindi wawili wa juu wa kila ligi, Bara na Visiwani, walikutana kwenye Ligi Kuu ya Muungano, kutafuta bingwa wa Tanzania na washindi wake.
Wakati huo, bingwa wa Ligi ya Muungano alikwenda kucheza Klabu Bingwa Afrika na mshindi wa pili alicheza Kombe la Washindi.
Baadaye timu ziliongezwa na kuwa tatu kila upande katika Ligi ya Muungano.
Mwaka 1983, Yanga ilirejesha taji hilo kwenye himaya yake, ingawa msimu uliofuata ililitema tena kwa Simba.  Kwa ujumla muongo mzima wa 1980, taji la ubingwa wa Ligi Kuu ya Bara lilikuwa la kukoponyana, kwani Simba nayo mwaka 1985 ilipokonywa taji hilo na Yanga, ambayo nayo ililitema kwa timu mpya katika Ligi Kuu msimu wa 1986, Tukuyu Stars ya Mbeya.
Tukuyu nayo iliwarejeshea Yanga taji lao mwaka 1987, wakati mwaka 1988 Wagosi wa Kaya, Coastal Union ya Tanga ilijiingiza katika orodha ya timu zilizowahi kutwaa taji hilo. Mwaka 1989, Yanga ilifunga orodha ya mabingwa ya mabingwa wa muongo huo kwa kutwaa tena ubingwa wa Bara.
Simba iliibuka mwaka 1990 na kutwaa ubingwa huo, ikitoka kuponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita. 
Kupokonyana taji kuliendelea hata kwenye muongo wa 1990, kwani Simba iliutema ubingwa huo kwa Yanga mwaka 1991.
Yanga iliutetea ubingwa huo mara mbili mfululizo katika miaka ya 1992 na 1993, kabla ya kupokonywa na Simba mwaka 1994. Simba ilifanikiwa kuutetea mara moja 1995.
Mwaka 1996 ndipo Ligi Kuu ya Tanzania Bara ilipozaliwa rasmi chini ya udhamini wa Bia ya Safari Lager, bia inayozalishwa na Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) na ikijulikana kama Safari Lager Premier League, Yanga ndiyo iliyokuwa bingwa wake wa kwanza. Yanga iliutetea ubingwa huo kwa miaka miwili mfululizo 1997 na 1998. Mwaka 1999, Yanga ikiwa tayari imetwaa ubingwa kwa matokeo ya uwanjani, aliyekuwa Waziri wa iliyokuwa Wizara ya Kazi Maendeleo ya Vijana na Michezo, Profesa Juma Athumani Kapuya, alitengua matokeo hayo kwa kuiongezea Mtibwa Sugar pointi za mezani, hivyo kuipiku Yanga. Hatimaye Mtibwa ilipata ubingwa wa mezani.
Mtibwa ilifanikiwa kutetea ubingwa mwaka 2000, kabla ya kupokonywa na Simba msimu uliofuata, ingawa Yanga iliibuka mwaka 2002 na kuutwaa tena ubingwa huo.
Mwaka 2003 Simba iliyokuwa kali zaidi ilifanikiwa kuutwaa tena ubingwa huo na kuutetea mwaka 2004 kabla ya kupokonywa na Yanga 2005 ambao waliutetea 2006. Mwaka 2007, Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilifanya mabadiliko ya kalenda yake, ikitaka Ligi yake iendane na ligi za Ulaya, hivyo ikaamua kuchezesha ligi ndogo ya mpito kumpata bingwa na mwakilishi wa Kombe la Shirikisho, kabla ya Ligi Kuu kuanza rasmi Agosti.
Simba iliibuka bingwa wa ligi hiyo, baada ya kuifunga Yanga kwenye fainali kwa mikwaju ya penalti 5-4, Uwanja wa Jamhuri, Morogoro kufuatia sare ya 1-1.
Lakini msimu uliofuata ikiwa chini ya Profesa wa Kiserbia, Dusan Savo Kondic, Yanga ilifanikiwa kuurejesha ubingwa wake msimu wa 2008 na kutetea msimu uliofuata ikiwa chini ya kocha huyo, ambaye hata hivyo msimu uliopita alitupiwa virago katia mzunguko wa kwanza tu wa ligi na nafasi yake kuchukuliwa na Mserbia mwenzake, Kostadin Bozidar Papic, ambaye alishindwa kubakisha taji Jangwani, baada ya Simba kuchukua kwa kishindo.
Simba ilishinda mechi zote ikiwemo mbili dhidi ya watani wa jadi, Yanga na kutoa sare mbili tu dhidi ya Kagera Sugar Bukoba na African Lyon Dar es Salaam, hivyo kutwaa ubingwa kwa mbwembwe za aina yake na kufanikiwa kuutetea 2010.
Mwaka 2011 Yanga SC walirejesha taji lao, kabla ya 2012 kulitema kwa Simba SC na huo ukawa mwaka wa mwisho kwa Wekundu wa Msimbazi kulitia mkononi taji la Ligi Kuu.
Katika kipindi cha miaka mitano tangu mwaka 2013, Yanga imetwaa taji la Ligi Kuu mara nne hadi mwaka huu, ikilikosa mara moja tu, mwaka 2014 lilipochukuliwa na Azam FC.
Wakati Ligi Kuu ikizipoteza timu za African Lyon, JKT Ruvu za Dar es Salaam na Toto Africans ya Mwanza zilizoshuka daraja msimu uliopita – msimu huu zimeibuka timu nyingine ambazo ni Singida United ya Singida, Lipuli ya Iringa na Mji Njombe ya Njombe.
Singida na Lipuli zimewahi kucheza Ligi Kuu na zaidi ya muongo mmoja uliopita, wakati Mji Njombe inapanda kwa mara ya kwanza kabisa. 
Uhondo wa Ligi Kuu umeongezeka maradufu kufuatia ujio wa kampuni ya Azam TV iliyonunua haki za matangazo ya Televisheni, ambayo inafanya kila klabu ipatiwe zaidi ya Sh. Milioni 100 kwa msimu pamoja na kurusha moja kwa moja mechi za ligi hiyo hii ikiwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Ligi. 
Hii ni Ligi Bora zaidi kwa sasa Afrika Mashariki na Kati, ikiwa inadhaminiwa na Vodacom na kurushwa moja kwa moja na Azam TV. Karibu msimu mpya wa VPL, tunatarajia patashika na burudani zaidi hadi kumpata bingwa kweli.
Pamoja na kutwaa ubingwa wa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1991, lakini Simba SC walishindwa kutetea ubingwa wa Ligi Kuu 

MABINGWA WA JUMLA LIGI KUU:
1965 : Sunderland (Dar es Salaam) 
1966 : Sunderland (Dar es Salaam) 
1967 : Cosmopolitans (Dar es Salaam) 
1968 : Yanga 
1969 : Yanga 
1970 : Yanga 
1971 : Yanga 
1972 : Simba 
1973 : Simba 
1974 : Yanga 
1975 : Mseto SC (Morogoro) 
1976 : Simba 
1977 : Simba 
1978 : Simba 
1979 : Simba 
1980 : Simba 
1981 : Yanga 
1982 : Pan African 
1983 : Yanga 
1984 : Simba 
1985 : Yanga 
1986 : Tukuyu Stars (Mbeya) 
1987 : Yanga 
1988 : Coastal Union (Dar es Salaam) 
1989 : Yanga 
1990 : Simba  
1991 : Yanga 
1992 : Yanga 
1993 : Yanga 
1994 : Simba 
1995 : Simba 
1996 : Yanga 
1997 : Yanga 
1998 : Yanga 
1999 : Mtibwa Sugar (Morogoro) 
2000 : Mtibwa Sugar (Morogoro)  
2001 : Simba 
2002 : Yanga 
2003 : Simba 
2004 : Simba 
2005 : Yanga 
2006 : Yanga 
2007 : Simba (Ligi Ndogo) 
2008 : Yanga 
2009:  Yanga 
2010: Simba SC
2011: Yanga SC
2012: Simba SC
2013: Yanga SC
2014: Azam FC
2015; Yanga SC
2016: Yanga SC
2017: Yanga SC


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2wP9Qwz best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang VPL: LIGI BORA AFRIKA MASHARIKI INAYOLETWA NA VODACOM NA AZAM TV. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/vpl-ligi-bora-afrika-mashariki.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 21.33
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • Spanish La Liga: Week 27 Preview
    Our football writer previews matchday 27 of the 2016/17 Spanish La Liga campaign. The title race in La Liga is looking ever-so-tight wit...
Copyright Viral Sports: VPL: LIGI BORA AFRIKA MASHARIKI INAYOLETWA NA VODACOM NA AZAM TV