• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS — ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2026 (188)
    • ►  Mei (11)
    • ►  April (34)
    • ►  Maret (34)
    • ►  Februari (42)
    • ►  Januari (67)
  • ►  2025 (318)
    • ►  Desember (70)
    • ►  November (4)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ▼  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ▼  Agustus (555)
      • MAKAMU WA RAIS TFF, WAMBURA ALIKUWA KAMISAA JANA K...
      • OKWI AIPAISHA UGANDA KILELENI KUNDI E KUFUZU KOMBE...
      • UBELGIJI NOMA, YAIFUMUA GIBRALTAR 9-0, LUKAKU APIG...
      • RONALDO APIGA HAT TRICK, URENO YASHNDA 5-1 KUFUZU ...
      • LEMAR 'WA ARSENAL', AIPIGIA MBILI UFARANSA YAILAZA...
      • MBAPPE ATUA PSG KWA MKOPO KUTOKA MONACO
      • MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO
      • APR YAMSAJILI MCHEZAJI ALIYEGOMA KUCHEZA BURE HISP...
      • SIMBA WAPANGA KUMFIKISHA MAHAKAMANI BUSWITA KWA UT...
      • World Cup Qualifier: Uruguay v Argentina Preview
      • 2018 UEFA World Cup Qualifier: Spain v Italy Preview
      • Pro 14: Ulster vs Cheetahs Preview
      • Pro 14: Scarlets v Southern Kings Preview
      • Aviva Premiership: Gloucester vs Exeter Chiefs Pre...
      • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
      • Opinion: Rights and wrongs of T20 Global League pl...
      • CAF World Cup Qualifiers: Round 3 Preview
      • European Tour: D&D Real Czech Masters Preview
      • World Cup Qualifier: Cape Verde v South Africa Pre...
      • KESI YA AVEVA, KABURU YAPIGWA KALENDA TENA, WARUDI...
      • PGA Tour: Dell Technologies Championship Preview
      • Bangladesh Claim Historic Win in Mirpur
      • Kenilworth Wednesday 30 August 2017 Best Bets
      • Windies Shock England by winning 2nd Test
      • ABDI BANDA NDANI YA NDEGE ANAKUA DAR KUJIUNGA NA S...
      • HATIMA YA CHIRWA WA YANGA KUJULIKANA KESHOKUTWA
      • MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO
      • MSUVA KUJIUNGA NA STARS JUMATANO, BANDA ANATUA LEO
      • SANGA WA YANGA AWANIA UENYEKITI BODI YA LIGI
      • European Rugby Champions Cup: Pool 2 Preview
      • Currie Cup Round 8: Blue Bulls v Griquas Preview
      • Aviva Premiership: Outright Preview
      • Mbappe: PSG’s Missing Link
      • Sri Lanka v India: Fourth ODI Preview
      • Atletico and Chelsea reach Compromise?
      • Alexis Sanchez on the brink of Arsenal Exit
      • MBAO FC YAPATA UDHAMINI MWINGINE, GF TRUCKS WAMWAG...
      • 3 Chelsea Transfer Deadline Signings?
      • Vaal Tuesday 29 August 2017 Best Bets
      • WACHEZAJI STARS WAINGIA KAMBINI, ‘MAPRO’ KUANZA KU...
      • 2017 US Open: Men Draw Preview
      • 2017 US Open: Women's Draw Preview
      • MAPEMA TU, TFF WABOMOA RATIBA YA LIGI KUU
      • SIMBA KUMPELEKA NDUNDA INDIA KWA MATIBABU YA GOTI
      • 2017 US Open Preview
      • DEMBELE ALIPOWASILI RASMI BARCELONA KUANZA KAZI
      • KIMWAGA AZUA HOFU AZAM BAADA YA KUUMIA DHIDI YA ND...
      • Fairview Monday 28 August 2017 Best Bets
      • MSUVA APIGA BAO KOMBE LA MOROCCO, JADIDA YASHINDA 3-1
      • T20 Global League 2017 Squads
      • YANGA NA LIPULI KATIKA PICHA JANA TAIFA
      • REAL MADRID 2-2 VALENCIA
      • WAFALME WA SOKA HISPANIA, ULAYA NA DUNIANI
      • REAL MADRID YALAZIMISHWA SARE LA LIGA, 2-2 NA VALE...
      • CHELSEA 2-0 EVERTON
      • LIVERPOOL 4-0 ARSENAL
      • KAPTENI MKUCHIKA NA MKWASA WAKIISHUHUDIA YANGA YAO...
      • MAYWEATHER 'ALIVYONOGA' KATIKA PATI LA USHINDI
      • LIVERPOOL YAIFANYIA MAMBO YA AJABU ARSENAL...4-0
      • CHELSEA YAWASHA MOTO ENGLAND, YAIPIGA 2-0 EVERTON
      • YANGA YAANZA NA SARE, 1-1 NA LIPULI TAIFA
      • SIMBA NA RUVU SHOOTING KATIKA PICHA JANA UHURU
      • KUTOKA SERENGETI BOYS HADI ETOILE DU SAHEL, MUNGU ...
      • KOCHA TWIGA STARS AENDA MASOMONI UJERUMANI
      • Boks Dominate in Salta
      • MAYWEATHER V MCGREGOR
      • AFC BOURNEMOUTH 1-2 MAN CITY
      • MAN UNITED 2-0 LEICESTER CITY
      • Mayweather defeats McGregor by TKO
      • MAYWEATHER AMUADHIBU MCGREGOR 'KAMA MTOTO' ULINGONI
      • MZEE KAWAWA ALIISHUHUDIA MAJI MAJI IKIPIGWA 3-0 NA...
      • HII YA BUSWITA MBONA IMEZUKA ZUKA TU NA HAIONYESHI...
      • SAMATTA ATOKEA BENCHI BADO DAKIKA SABA GENK YASHIN...
      • Scottsville Sunday 27 August 2017 Best Bets
      • English Premier League: Week 3 Results
      • Italian Serie A: Round 2 Results
      • German Bundesliga: Week 2 Results
      • Spanish La Liga: Week 2 Results
      • Dutch Eredivisie: Week 3 Results
      • French Ligue: Round 4 Results
      • OKWI AITWA KUIBEBA UGANDA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
      • MESSI AFUNGA ZOTE MBILI, BARCA YAUA 2-0 LA LIGA
      • MAN UNITED YAENDELEZA UBABE ENGLAND, YAILIMA 2-0 L...
      • SIMBA YAANZA LIGI KUU NA MOTO WA UBINGWA, OKWI API...
      • STERLING AIFUNGIA LA USHINDI MAN CITY DAKIKA YA MW...
      • MAYANGA AWAREJESHA YONDAN NA MWADINI TAIFA STARS
      • New Zealand Edge Australia in Dunedin Thriller
      • Sri Lanka v India: Third ODI Preview
      • MAYWEATHER NA MC GREGOR WAKUTWA NA UZITO SAWA
      • NIYONZIMA: SIMBA NAJIONA KAMA NIMEZALIWA UPYA
      • VPL: LIGI BORA AFRIKA MASHARIKI INAYOLETWA NA VODA...
      • HAZARD ASEMA CHELSEA INA UWZO WA KUTANDIKA BIFFON
      • MTIBWA SUGAR YAAHIDI KUFANYA KWELI LIGI KUU
      • AZAM FC IPO KAMILI GADO KWA AJILI YA NDANDA MTWARA
      • BARCELONA YATANGAZA KUMSAJILI DEMBELE KWA PAUNI MI...
      • VILLA AREJESHWA KIKOSINI HISPANIA BAADA YA MIAKA M...
      • VAN PERSIE AREJESHWA KIKOSINI UHOLANZI BAADA YA MI...
      • SIMBA NA RUVU, YANGA NA LIPULI KUPIGWA SHAMBA LA BIBI
      • RAIS FIFA AUPONGEZA UONGOZI MPYA TFF, AAHIDI KUEND...
      • MIYEYUSHO ULINGONI NA BAINA 'SIMBA' MAZOLA KINONDO...
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE » MAYAY AZINDUA KAMPENI AKISINDIKIZWA NA MAGWIJI MOGELLA NA KHALID ABEID

MAYAY AZINDUA KAMPENI AKISINDIKIZWA NA MAGWIJI MOGELLA NA KHALID ABEID

NA Rehema Lucas, DAR ES SALAAM
MGOMBEA Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) katika uchaguzi wa Agosti 12, mwaka huu mjini Dodoma, Ally Mayay Tembele amezindua kampeni zake leo kwa kaulimbiu ya "Turudishieni Mpira Wetu" akisindikizwa na wachezaji wenzake wa zamani wa klabu mbalimbali nchini.
Nahodha huyo wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya taifa, Taifa Stars aliyechezea pia Milambo ya Tabora na CDA ya Dodoma, amezindua kampeni zake katika mkutano na Waandishi wa Habari ukumbi wa hoteli ya Lamada katikati ya Jiji la Dar es Salaam.
Miongoni mwa waliomsindikiza Mayay ni wachezaji wa zamani wa Simba, kiungo Khalid Abeid na mshambuliaji Zamoyoni Mogella na wachezaji wa zamani wa Yanga, beki Lawerence Mwalusako na Mohammed 'Adolph' Rishard.   
Hotuba kamili ya Mayay hii hapa;
Ally Mayay (kulia) akizungumza na Waandishi wa Habari leo. Wengine pichani ni Zamoyoni Mogella (katikati) na Lawrence Mwalusako  
Ally Mayay (kushoto) akizungumza na Waandishi wa Habari. Kulia ni Khalid Abeid
"1. UTANGULIZI; Awali ya yote namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia wote afya njema na kutuwezesha kufika hapa salama.
• Niwashukuru kwa dhati kabisa waandishi wote mliojitokeza hapa leo.
• Na nikiwa kama mgombea, na kwa matiki hiyo mwenye mkutano huu, nichukue fursa hii kuwakaribisha wote mliofika hapa leo.
2. Utambulisho
• Kama wengi mnavyonifahamu, mimi naitwa Ally Mayay Tembele mchezaji wa zamani na elimu yangu ya juu ni Shahada ya Uzamili, nikibobea katika masuala ya Masoko (Marketing).
• Katika mpira wa miguu, nimefanikiwa kucheza kuanzia ngazi za chini kabisa  ya soka la nchi hii, yaani Ligi Daraja la Nne  hadi  ngazi ya juu kabisa ya Ligi Kuu kwa sasa ikiitwa Premier League
• Aidha, nje ya mfumo rasmi wa soka nimeshiriki mashindano ya mpira wa miguu kuanzia shule za msingi (UMITASHUMTA), Sekondari (UMISSETA), Vyuoni (SHIMIVUTA) na hatimaye kazini (SHIMIWI). 
• Hivyo, nadiriki kusema kuwa nimeuishi mpira wa nchi nii na ninafahamu changamoto zilizopo ndani ya uwanja, ndani ya vyumba vya kubadilishia jezi vya wachezaji (dressing room), zilizopo majukwaani kwa washabiki na zile zilizo katika vikao vya bodi za uongozi kwa kuwa nimepita katika maeneo yote na nimekuwa nikijifunza kila kukicha. 
• Kwa  zaidi ya miaka kumi sasa nimekuwa nikifanya kazi na vyombo mbalimbali vya habari kama Televisheni, Redio na magazeti zinazohusiana na mchezo wa soka ikiwemo uandishi wa makala za michezo katika magazeti ya michezo pamoja na uchambuzi wa mechi katika televisheni na redio.
• Katika eneo la uongozi, nimekuwa nahodha tangu mwaka 1987 nilipokuwa Darasa la Nne, nimekuwa nahodha wa timu ya Shule yangu ya Msingi katika mashindano ya UMISHUMTA mkoa wa Kigoma.  Aidha  nimekuwa pia nahodha katika timu ya  CDA, Yanga na Timu ya Taifa. Pia nimekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga na baadae Makamu mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Yanga.
• Aidha, nimekuwa Mjumbe wa Kamati ya Kuendeleza Soka la Vijana ya TFF ,lakini pia nimekuwa  Waziri wa michezo katika serikali  ya Wanafunzi wa Chuo cha Biashara (CBE) na baadae kuwa Rais wa Serikali ya wanafunzi. Pia niliteuliwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko kuwa Mjumbe wa Bodi  ya Uongozi ya Chuo cha CBE  kwa miaka mitatu.
• Kwa sasa ni Mjumbe wa Chama cha Wachezaji SPUTANZA nikikiwakilisha chama kwenye Mkutano Mkuu wa TFF kwa mwaka wa nne sasa.
3. Kwa nini nagombea?
Kama nilivyoeleza awali, nimeuishi mpira wa nchi hii na nimeziishi changamoto zilizopo katika  mpira wa miguu kwa ujumla, hivyo;
3.1. Cha kwanza kilichonivuta kugombea ni kutumia uzoefu wangu na uelewa wangu wa changamoto zilizopo katika mpira  na kutengenza utaratibu bora wa kushirikiana katika kuzitatua kwa pamoja kulingana na mahitaji ya soka la karne hii ya 21. Changamoto hizi zilikuwepo na bado zinaendelea kuwepo hadi leo licha ya mazingira na mahitaji ya  soka kubadilika kwa kiwango kikubwa kutokana maendeleo ya sayansi na teknolojia  na kuwepo kwa utayari mkubwa wa wadhamini. Hivyo nagombea ili kutatua changamoto hizi kwa kutumia uzoefu nilionao katika sekta hii.
3.2. Cha pili, ni kuona jinsi ambavyo mpira wetu umekuwa ukiendeshwa bila ya kuwa na Dira ya Maendeleo yenye kuonyesha wapi viongozi waliotuomba kura wanaupeleka mpira wetu na lini wanatuahidi kuufikisha huko? Hivyo mahitaji ya kuandaa dira ya maendeleo ya mchezo ni kitu kinachihitajika sana kwa sasa. 
3.3. Cha tatu na cha mwisho, ni kuwa mimi nina mapenzi ya dhati ya mpira na maisha yangu ni kielelezo cha mapenzi hayo hivyo, nimeona sasa ni wakati muafaka wa kugombea nafasi hii ili niweze kutoa mchango wangu kwenye kuuinua mpira wa nchi hii ambao wengi tunaupenda.
4. Mipango yangu
4.1. Kuanzisha Mkakati wa maendeleo ya soka la Tanzania (Football Development Vision)
• Kama nitapata ridhaa, nitaanzisha mara moja mchakato shirikishi kutengeneza Dira ya Maendeleo ya mpira wa miguu nchini kama ilivyo kwa taifa letu ambapo tuna Dira ya Maendeleo ya Taifa iliyoanzishwa mwaka 1994 na kuibuliwa rasmi mwaka 1999 ikitupa mwongozo wa nini cha kufanya kufikia malengo ya kiuchumi na kijamii kwa Taifa itakapofika mwaka 2025.
• Dira hii itakuwa na malengo ya muda mrefu, wa kati na mfupi na nitapenda uongozi wangu upimwe kutokana na kufikiwa au kutofikiwa kwa malengo hayo ndani ya vipindi tutakavyokubaliana na wadau
• Dira hii itakuwa na vitu kama maendeleo ya mpira wa vijana na wanawake, ujenzi wa miundombinu, unoreshaji wa ushiriki wa timu zetu kwenye mashindano ya kimataifa, kujenga uwezo wa walimu, na kadhalika
4.2. Urasimishaji wa Mpira wa Miguu (Formalisation of Tanzania Football)
• Pamoja na mpira wa miguu kutoa ajira nyingi kwa wachezaji, makocha, madaktari na watoa huduma mbalimbali zinazohusiana na mchezo wa soka  hivyo  kuchangia katika pato la Taifa, lakini  bado sekta hii haijarasimishwa  na hatimaye kupelekea kukosa fursa  nyingi ambazo zingepatikana kama sekta hii ingekuwa rasmi. 
• Hili litakuwa ni miongoni mwa majukumu yangu ya awali kwa kushirikiana na serikali kurasimisha sekta hii muhimu na sekta kufaidika kutoka na urasimishaji huo.
4.3. Kujenga na kuboresha miundombinu ya mpira wa miguu
• Kutokana na gharama kubwa za ujenzi na uendelezaji wa miundombinu ya kuendeleza mpira wa miguu ikiwemo viwanja, gyms, shule (Football Academies), na kadhalika; Mkakati wangu kwenye eneo hili utalenga maendeo manne:
i. Kuishawishi serikali kuandaa mpango wa pamoja (Joint Strategy) wa uendelezaji na ujengaji wa miundombinu hii;
ii. Kushirikiana na mataifa rafiki yenye uwezo wa kusaidia; na
iii. Kushirikiana kwa karibu zaidi na FIFA ili izidishe mchango wake kwenye suala hili ambalo kwa sasa limeishia kwenye uwekaji wa nyasi bandia.
iv. Kuhakikisha uwepo wa maeneo ya wazi katika maeneo ya makazi mapya kwa kushirikisha vyama vya soka vya mikoa, wilaya na halmashauri za miji ili kuwapa watoto fursa ya kucheza mpira katika maeneo yao.
4.4. Uongozi wa Chama cha Mpira wa Miguu
• Mafanikio yoyote ninayoyatazamia kwenye uongozi  yatatokana na uongozi  wangu utakaoongoza kwa kuzingatia misingi ya utawala bora ambayo ni :Uwazi, uwajibikaji,Utawala wa sheria, ushirikishwaji,usawa, ufanisi na tija, mwitikio, maridhiano na uadilifu.
• Katika eneo la uwazi , mapato yote yanayoingia katika shirikisho yatawekwa wazi kwa wadau ikiwemo fedha za msaada kutoka FIFA na CAF kama kanuni za fedha za Shirikisho zinavyosema.
• Katika eneo la ushirikishwaji, tutaangalia namna bora ya kuwashirikisha wadau kama wadhamini na washabiki kuwemo  katika sehemu za maamuzi ili kuweza kulinda maslahi yao moja kwa moja.
• Katika eneo la ushauri wa kitaalamu, tutakuwa na Bodi ya ushauri itakayokuwa na wataalamu wenye weledi mtambuka kwa ajili ya kuishauri kamati ya utendaji katika maswala ya kitaalam kabla ya kamati ya utendaji kufanya maamuzi .
• Katika eneo la ushirikishwaji , tutaanzisha utaratibu mpya wa kushirikisha vyama vya mikoa na kugawa majukumu ya kutekeleza kutokana na makubaliano tutakayokubaliana katika mikutano.
• Pia tutaanzisha rasmi mfumo wa mawasiliano wa kielektroniki ambao mahsusi kwa sekretarieti utakaotumiwa na makatibu wa vyama vya mikoa kuwasiliana moja kwa moja na Katibu Mkuu  katika maswala ya utendaji wa shughuli za kila siku. Mfumo huu utawezehsa makatibu wote kupata taarifa za utendaji za makatibu wenzao katika mikoa yote.
4.5. Uendelezaji wa Soka la Wanawake na la Ufukweni
• Ukizingatia kuwa mafanikio kimataifa tuliyopata japo kidogo kwenye soka la wanawake licha ya kutokuwa na ligi rasmi hadi mwaka huu 2017, soka la wanawake linaonyesha  kuwa na hazina hazina kubwa ya vipaji vya soka kwa wanawake. Nitashirikiana na TWFA kuhamasisha wanawake /vijana nchini kucheza na kuunga mkono soka la wanawake kwani uwezo wa kushiriki michuano ya kimataifa kwa soka la wanawake umekwishaonekana. 
• Aidha Ligi ya wanawake iliyoanzisha hivi karibuni, tutahakikisha inaendelea kwa kuongeza idadi ya timu na kupata wafadhili (sponsors) watakaosaidia katika uendeshaji wa ligi hiyo ili isambae nchi nzima.
• Katika eneo la ufundi , tutaandaa program maalumu ya kuongeza  idadi ya waamuzi, makocha na madaktari wa michezo  wanawake ili kuwezesha soka la wanawake kukua zaidi nchini.
• Soka la ufukweni ni mchezo mpya kwa watanzania walio wengi hivyo inahitaji nguvu ya ziada kutumika katika kuutangaza mchezo huu hasa ukizingatia kuwa nchi yetu ni moja kati ya nchi zenye pwani ndefu  kwenye bahari ya hindi, inayokadiriwa kuwa na urefu wa km 800 hivyo kutokuwa na changamoto ya kutafuta viwanja vya mazoezi kama ilivyo kwenye baadhi ya nchi ambazo hazina pwani. 
• Tutahamasisha wadau kushiriki katika soka la ufukweni ili kutumia vema fursa hii na kuweza kufikia mafanikio katika soka la ufukweni.
4.6. Mkakati wa Maandalizi ya Fainali za CUF za U-17 mwaka 2019 hapa Tanzania
• Mwaka 2015 walichaguliwa vijana wenye umri chini ya miaka 13 na kutengeneza kikosi cha vijana kwa ajili ya kuandaa timu ya U-17 ya mwaka 2019. Vijana hao wapo katika kituo cha Alliance jijini Mwanza wakiendelea na masomo pamoja huku wakipata mafunzo ya mpira wa miguu katika kituo hicho. Kuwaandalia programu maalum ya kuwaweka pamoja ikiwemo mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 15 mwezi disemba 2017 na mashindano ya vijana wenye umri chini ya miaka 16 mwaka 2018 kabla ya kufika mwaka 2019.
• Katika mashindano hayo vijana watakaoonekana wanafaa watajumuishwa katika kikosi hicho na kuendelea na program itayopangwa na benchi la ufundi.
• Mkakati wa fedha za kuendesha program hii ya miaka mitatu utasimamiwa na Shirikisho kwa kushirikiana na serikali pamoja na wadau wengine ambapo uwazi katika mahitaji na matumizi ya fedha  ndio utakuwa  msingi wa uendeshaji wa program hii.
• Tathmini ya mahitaji ya miundombinu (viwanja vya mechi na mazoezi ) kwa ajili ya fainali za U-17 za mwaka 2019 itafanyika chini ya uratibu wa kamati ya ufundi na kamati ya mashindano  pamoja na serikali ili kujua mahitaji halisi ya viwanja na ubora utakaokidhi  mahitaji ya CAF.
• Mashindano haya tunatakiwa kuyatumia sio kutangaza tu wachezaji wetu bali hata kutangaza vivutio vingine vilivyopo nchini  kwa kuwa tunatarajia kuwa na mataifa nane (8) kutoka katika bara la Afrika na vyombo vya habari vikubwa vyote vitaripoti mashindano haya hivyo ni fursa pia kwa makampuni na  wafanyabiashara wa Tanzania kutangaza bidhaa zao. 
5. Kwa nini nataka mpira urejeshwe kwa wenyewe (Bring back our Ball)
5.1. Naamini kwa dhati kabisa  kuwa Watanzania wapenzi wa soka wana mapenzi ya dhati kabisa na mchezo huu na wamekuwa na kiu ya muda mrefu ya kutaka mafanikio katika mchezo huu lakini bahati mbaya mafanikio hayo yamekuwa hayapatikani kutokana na sababu mbali mbali zikiwemo za kiuongozi . Kurejesha soka kwa wenyewe ni kuweka viongozi wanaothibitika kuwa na mapenzi ya dhati na mchezo huu ambao wataweza kutoa matumaini ya mafanikio kwa watanzania kutoka an mipango yao . 
5.2. Kutokana na hilo ndio maana nikaona sasa kampeni yangu iongozwe za dhamira ya kuurejesha mpira kwa walio na uchungu na mpira wa nchi hii ambao ni wadau wa soka tukiwemo tuliowahi kuucheza.Ahsanteni kwa kunisikiliza, nakaribisha maswali,"mwisho wa hotuba hiyo.


from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2vmKxza best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang MAYAY AZINDUA KAMPENI AKISINDIKIZWA NA MAGWIJI MOGELLA NA KHALID ABEID. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/mayay-azindua-kampeni-akisindikizwa-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 07.43
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17
    SHIME ANAAMINI TANZANIA ITAICHAPA UGANDA KESHO KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U-17
    Na Stella Theopist, DAR ES SALAAM  KOCHA Mkuu wa timu ya wanawake u-17  ya Tanzania, Bakari Shime amesema kuwa kikosi kimejipanga kufanya v...
  • MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MSHIRIKI MISS AFRIKA UINGEREZA AHADITHIA MAMBO YALIVYO
    MTANZANIA Alice Gyunda miongoni mwa washiriki 20 kutoka nchi mbalimbali za Afrika waliofanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro cha taj...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • BARCELONA 3-1 ALAVES
    BARCELONA 3-1 ALAVES
    from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2s2Iqyx
  • ARSENAL YAMUONGEZEA MSHAHARA SANCHEZ ASIENDE BAYERN MUNICH
    KLABU ya Arsenal imempa ofa nyingine mshambuliaji wake, Alexis Sanchez aachane na mpango wa kwenda Bayern Munich na abaki Emirates. Ofa mp...
  • CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    CHELSEA YAREJEA KILELENI ENGLAND
    BAO pekee la beki wa kimataifa wa England, Ben Chilwell dakika ya 45 limeipa Chelsea ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Brentford Uwanja wa...
  • EPL: Week 36 Preview
    EPL: Week 36 Preview
    We preview week 36 of the 2017/18 English Premier League season which is set to get underway on Saturday 28 April.  We’re into the final s...
  • Hollywoodbets Extends Horse Racing Sponsorship with Grooms' Initiative
    Hollywoodbets Extends Horse Racing Sponsorship with Grooms' Initiative
    Hollywoodbets have extended their original R10 million three-year sponsorship of Gold Circle by a further R1.5 million per year with the an...
  • ENGLAND YALAZIMISHWA SARE WEMBLEY
    ENGLAND YALAZIMISHWA SARE WEMBLEY
    WENYEJI, England wamelazimishwa sare ya 1-1 na Hungary katika mchezo wa Kundi I kufuzu Kombe la Dunia kwa Ulaya usiku wa kuamkia leo Uwan...
  • YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    YANGA YAWASIMAMISHA NTIBANZOKIZA NA AMBUNDO
    KLABU ya Yanga imewasimamisha wachezaji wake wawili, Dickson Ambundo na Mrundi Saido Ntibanzokiza kuelekea mechi ya Fainali ya Kombe la S...
Copyright Viral Sports: MAYAY AZINDUA KAMPENI AKISINDIKIZWA NA MAGWIJI MOGELLA NA KHALID ABEID