Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SERIKALI imeizuia klabu ya Simba kuutumia Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam Jumapili kwa mchezo wa kirafiki na Singida United katika kile kilichoelezwa kuhofia matumizi mabaya ya Uwanja huo.
Yanga SC kesho watautumia Uwanja huo kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Ruvu Shooting na Simba nao walitaka kucheza na Singida Jumapili, zote zikijinadaa na mchezo wa Ngao ya Jamii baina yao (Simba na Yanga) Agosti 23 mwaka huu.
Lakini Serikali imesema kutokana na hali ya Uwanja kutokuwa ya kuridhisha katika eneo la kuchezea kwa sasa, haiwezekani mechi mbili kuchezwa ndani ya siku mbili, hivyo mchezo kati ya Simba na Singida hautakuwepo.
|
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akimruka beki wa Rayon Sport Jumanne, Uwanja wa Taifa |
Badala yake, Simba itapata fursa ya kuutumia tena Uwanja huo Agosti 23 kwenye mchezo wa Ngao dhidi ya Yanga na kwa sababu hiyo kama itahitaji mchezo wa kujipima nguvu kabla ya kuvaana na watani, iende Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.
Tayari Simba imekwishacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu, miwili katika ziara yake ya Afrika Kusini ambako ilifungwa 1-0 na wenyeji Orlando Pirates kabla ya kutoa sare ya 1-1 na Bidvest na Jumanne wiki hii ilishinda 1-0 dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda Uwanja wa Taifa, bao pekee la Mohammed ‘Mo’ Ibrahim, pasi ya Emmanuel Okwi.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2hQbIzx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SERIKALI YAIZUIA SIMBA KUCHEZA NA SINGIDA TAIFA JUMAPILI. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/serikali-yaizuia-simba-kucheza-na.html. Terimakasih atas perhatiannya.