Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SERIKALI imezizuia klabu za Simba na Yanga kuutumia Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam kwa mechi za kirafiki Jumamosi na Jumapili kwa kile kilichoelezwa kupisha shughuli maalum wikiendi hii.
Yanga SC kesho watamenyana na Ruvu Shooting na Simba nao walitaka kucheza na Singida United Jumapili, zote zikijiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii baina yao (Simba na Yanga) Agosti 23 mwaka huu.
Na baada ya zuio la Serikali, Yanga wameuhamishia Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kesho mjini Dar es Salaam mchezo wao, wakati Simba hawajafanya maamuzi mapya.
John Bocco wa Simba akimruka mchezaji wa Rayon Jumanne Uwanja wa Taifa
Tayari Simba imekwishacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu, miwili katika ziara yake ya Afrika Kusini ambako ilifungwa 1-0 na wenyeji Orlando Pirates kabla ya kutoa sare ya 1-1 na Bidvest na Jumanne wiki hii ilishinda 1-0 dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda Uwanja wa Taifa, bao pekee la Mohammed ‘Mo’ Ibrahim, pasi ya Emmanuel Okwi.
Kwa mahasimu wao, Yanga huo utakuwa mchezo wa pili rasmi wa kujipima nguvu kwa Yanga, baada ya Jumamosi iliyopita kuifunga Singida United mabao 3-2 Uwanja wa Taifa.
Lakini utakuwa mchezo wa kwanza baada ya Yanga kukamilisha usajili wake wa msimu mpya- maana yake huo ndio mchezo ambao mashabiki wa timu hiyo watapata fursa ya kukijua rasmi kikosi chao kamili cha msimu mpya.
Kwa kocha Mzambia, George Lwandamina huo utakuwa mchezo wa kukipima kikosi chake kwa mara ya mwisho kabla ya kuingia kwenye mchezo na wa Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu, Simba Agosti 23 Uwanja wa Taifa.
Lwandamina bila shaka Jumamosi atampanga pia Tshishimbi kwa mara ya kwanza baada ya kusajiliwa kutoka Mbabane Swallows ya Swaziland.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2vVXiDs
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms