Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Simba itamenyana na Mtibwa Sugar ya Morogoro Jumapili Uwanja wa Tai,a Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na mechi ya Ngao ya Jamii dhidi ya mahasimu, Yanga SC Agosti 23, mwaka huu.
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Sunday Manara amesema leo mjini Dar es Salaam kwamba, baada ya kushindikana kucheza na Singida United, sasa watamenyana na Mtibwa Sugar.
Pamoja na kujipima kabla ya kumenyana na Yanga, Manara pia amesema kwamba mchezo huo ni muhimu kwa timu zote mbili kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.
Manara amesema baada ya mchezo huo, kikosi cha Wekundu wa Msimbazi kitavuka bahari ya Hindi kwenda visiwa vya Zanzibar kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii.
Tayari Simba imekwishacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu, miwili katika ziara yake ya Afrika Kusini ambako ilifungwa 1-0 na wenyeji Orlando Pirates kabla ya kutoa sare ya 1-1 na Bidvest na Jumanne wiki hii ilishinda 1-0 dhidi ya Rayon Sport ya Rwanda Uwanja wa Taifa, bao pekee la Mohammed ‘Mo’ Ibrahim, pasi ya Emmanuel Okwi.
Kocha Mcameroon wa Simba Sports Club, Joseph Marius Omog anataka mchezo mmoja zaidi wa majaribio kabla ya kukutana na mahasimu wa jadi, Yanga.
from BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE http://ift.tt/2fzdjcp
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Terimakasih anda telah membaca artikel tentang SIMBA SASA KUMENYANA NA MTIBWA SUGAR JUMAPILI TAIFA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2017/08/simba-sasa-kumenyana-na-mtibwa-sugar.html. Terimakasih atas perhatiannya.