• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ▼  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ▼  Februari (419)
      • GWIJI WA SIMBA ARTHUR MAMBETA AFARIKI DUNIA DAR
      • NDANDA FC 1-2 YANGA SC
      • YANGA SC YAITANDIKA NDANDA FC 2-1 NANGWANDA…MBIO Z...
      • R5 Million Maximum Soccer Payout
      • Dolphins keen to build on Sunfoil Series momentum
      • Vaal Thursday 1 March 2018 Best Bets
      • Super Rugby: Blues v Chiefs Preview
      • EPL: Manchester City vs Chelsea
      • PSL: Orlando Pirates vs Kaizer Chiefs Preview
      • EPL: Week 29 Preview
      • English Championship: Week 35 Preview
      • NFD: Week 23 Preview
      • Opinion: Gibson must rethink Morris decision
      • Super Rugby: Crusaders vs Stormers Preview
      • Super Rugby 2018: Round 3 Preview
      • PSL: Week 23 Preview
      • Aviva Premiership: Exeter v Saracens Preview
      • Super Rugby 2018: Bulls v Lions Preview
      • Super Rugby 2018: Reds v Brumbies Preview
      • Chiefs Change 4 Ahead of Blues Clash
      • All Black Set for French Club Move
      • TAJIRI MUSLAH NA KIJANA WAKE HAJJI SUNDAY WAKIPATA...
      • We didn't Deserve to Lose - Zidane
      • Lions Start for Rohan Janse van Rensburg
      • Kgaswane Brace downs Cape Town City
      • BILA RONALDO NA REAL MADRID YACHAPWA KIMOJA TU
      • WARUNDI KUICHEZESHA YANGA DHIDI YA TOWNSHIP ROLLERS
      • MAREFA WA AFRIKA KUSINI KUCHEZESHA SIMBA SC NA EL ...
      • NGORONGORO HEROES KUANZA NA DRC KUFUZU FAINALI ZA ...
      • TWIGA STARS KUCHEZA NA ZAMBIA AFCON YA WANAWAKE
      • CAF YATAJA WATANZANI SITA KUCHEZESHA NA KUSIMAMIA ...
      • KAMATI YA MAADILI YAWAFUNGIA VIONGOZI MVUVUMWA KWA...
      • SHABIKI HUYU WA SIMBA NINI KILIMSIBU JANA?
      • Scottsville Wednesday 28 February 2018 Best Bets
      • SA Triple Crown 2018 - Betting
      • South Africa vs Australia: First Test Preview
      • MECHI YA SIMBA NA STAND UNITED YARUDISHWA NYUMA KW...
      • New Zealand vs England: Second ODI Preview
      • Usain Bolt Set for Soccer Debut at Old Trafford
      • Varsity Cup Round 5 Review
      • BODI YA LIGI YAIPA AHUENI YANGA MAANDALIZI LIGI YA...
      • SIMBA SC 5-0 MBAO FC
      • PRISONS NA STAND UNITED NAZO ZATINGA ROBO FAINALI ...
      • BOCCO AKABIDHIWA TUZO YAKE YA MCHEZAJI BORA WA JAN...
      • SIMBA SC YAWATUMIA SALAMU WAARABU, YAWAPIGA MBAO F...
      • Kenilworth Best Bets - Tuesday 27 February 2018
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 27 February 2018
      • 5 Talking Points from Super Rugby Round 2
      • Varsity Cup: Round 5 Preview
      • Australia 7/45 - Lucky Numbers
      • Proteas Seamer Calls it a Day
      • SUGU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIEZI MITANO JELA KWA K...
      • New Lucky Numbers Draws
      • WTA Tour: Abierto Mexicano TELCEL presentado per H...
      • SIMBA SC WAIKARIBISHA MBAO FC LIGI KUU UWANJA WA T...
      • MASHABIKI WAMJERUHI KOCHA UWANJANI UGIRIKI, MECHI ...
      • NEYMAR AZUA HOFU BAADA YA KUUMIA PSG IKISHINDA 3-0...
      • GATTUSO AMTUMIA SALAMU WENGER, MILAN YAICHAPA ROMA...
      • GRIEZMANN APIGA HAT TRICK ATLETICO MADRID YAICHAPA...
      • MAN CITY WALIVYOFURAHIA NA KOMBE LAO LA LIGI ENGLAND
      • MAJI MAJI 1-2 YANGA SC
      • MAN CITY WAIPIGA 3-0 ARSENAL NA KUBEBA KOMBE LA LI...
      • JKT TANZANIA YAITUPA NJE NDANDA FC KOMBE LA AZAM S...
      • WYDAD WABEBA SUPER CUP BAADA YA KUIPIGA MAZEMBE 1-0
      • KANE AIPIGIA BAO PEKEE SPURS YAICHAPA 1-0 CRYSTAL ...
      • LUKAKU AFUNGA LA KUSAWAZISHA, ASETI LA USHINDI MAN...
      • YANGA SC WAICHAPA MAJI MAJI 2-1 SONGEA NA KUTINGA ...
      • MTIBWA SUGAR WAIPIGA BUSERESERE 3-0 NYAMAGANA NA K...
      • Greyville Sunday 25 February 2018 Best Bets
      • WANAUME WALIOIFIKISHA SIMBA SC FAINALI YA KOMBE LA...
      • REKODI NZURI YA SIMBA SC MICHUANO YA KIMATAIFA HAI...
      • MAJI MAJI YASIMAMISHA WACHEZAJI WATANO IKIIVAA YAN...
      • SUAREZ APIGA HAT TRICK BARCELONA YAISHINDILIA 6-1 ...
      • AZAM FC NAYO YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF IKI...
      • SALAH AFIKIA REKODI YA MABAO YA SUAREZ LIVERPOOL M...
      • RONALDO AFUNGA MAWILI REAL MADRID YAIBAMIZA ALAVES...
      • LIVERPOOL YASHINDA 4-1 NA KUPAA HADI NAFASI YA PIL...
      • RUVU SHOOTING YAZINDUA JEZI ZA MASHABIKI KWA SARE ...
      • SINGIDA UNITED YAIFUATA NJOMBE MJI FC ROBO FAINALI...
      • FAINALI ZA AFCON U-17 MWAKA 2019 KUFANYIKA DAR ES ...
      • WTA: Dubai Duty Free Championship Finals Preview
      • RONALDO MAZOEZINI JANA REAL IKIJIANDAA NA MECHI YA...
      • SMITH ULINGONI LEO NA HOLZKEN KUWANIA KUPIGANA NA ...
      • Aviva Premiership: Saracens v Leicester Tigers Pre...
      • BEKI MZIMBABWE WA AZAM FC BRUCE KANGWA ASEMA LEO L...
      • Turffontein Saturday 24 February 2018 Best Bets
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 24 February 2018
      • Carabao Cup Facebook Promotion Terms and Conditions
      • ARSENE WENGER AKABIDHIWA GATUSO 16 BORA EUROPA LEAGUE
      • MCHEZO WA LIPULI NA NDANDA WASOGEZWA
      • LIGI KUU YA WANAWAKE KUZINDULIWA RASMI NA WAZIRI M...
      • Premier's Champions Challenge 2018 - Ante-Post Bet...
      • Rebels Thrash 14 Man Reds
      • New Zealand vs England: First OD Preview
      • South Africa vs India: Third T20 International Pre...
      • Highlanders Win 75 Point Thriller against the Blues
      • Thohoyandou Punter Wins over R2 Million
      • Gauteng Fillies Guineas 2018 - Final Field
      • ATLETICO MADRID YASONGA MBELE KIBABE UEFA EUROPA L...
      • FIRMINO NA SADIO MANE WALIVYOIPASHIA WEST HAM LEO
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » BEKI MZIMBABWE WA AZAM FC BRUCE KANGWA ASEMA LEO LAZIMA WAIFUNGE KMC CHAMAZI ASFC

BEKI MZIMBABWE WA AZAM FC BRUCE KANGWA ASEMA LEO LAZIMA WAIFUNGE KMC CHAMAZI ASFC

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
BAADA ya Azam FC, kushindwa kupata ushindi kwenye mechi tatu zilizopita, beki kisiki wa kushoto wa timu hiyo, Bruce Kangwa, amewahakikishia mashabiki kuwa wataanza na matokeo ya ushindi kuanzia leo  dhidi ya KMC katika mechi ya Hatua ya 16 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Azam Complex kuanzia Saa 1.00 usiku.
Azam FC katika mechi tatu zilizopita za ligi imetoka sare mbili dhidi ya Kagera Sugar (1-1) na Lipuli (0-0), kabla ya hapo ilitoka kupoteza dhidi ya Simba bao 1-0, lakini timu hiyo bado ipo katika vita ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo ikiwa na pointi 35 kwenye msimamo, ikizidiwa pointi mbili na Yanga iliyonafasi ya pili na Simba ipo kileleni ikiwa nazo 42, huku timu hizo mbili za juu kila mmoja akiwa na mchezo mmoja mkononi.

Bruce Kangwa (kulia) amewahakikishia mashabiki wa Azam FC ushindi ushindi dhidi ya KMC leo  

Beki huyo Mzimbabwe anayeweza kucheza kama kiungo pia, Kangwa amewaomba mashabiki wajitokeze kwa wingi huku akiahidi kwa niaba ya wachezaji wenzake kuwa wamewaandalia mambo mazuri ikiwemo kuibuka na ushindi katika mchezo huo.
“Ninachoweza kusema nashukuru sana kwa sapoti yenu na asante kwa kila kitu tunathamini sana kila kitu mnachofanya kwa ajili yetu. Tunafanya kazi kwa bidii kwa ajili ya mechi ya Jumamosi (kesho) kila mtu anaangalia mbele na kupambana kushinda mechi hiyo ya Jumamosi,” alisema.
Hii itakuwa mara ya pili timu hizo kukutana, baada ya awali Azam FC kushinda 1-0, bao pekee la beki na Nahodha Msaidizi, Aggrey Morris kwa penalti katika mechi ya kujiandaa na msimu huu.
Mabingwa hao mara nne wa Kombe la Mapinduzi, wamefika hatua hiyo baada ya kuichapa Shupavu ya Morogoro mabao 5-0, yaliyofungwa na mshambuliaji Paul Peter aliyepiga ‘hat-trick’ huku Idd Kipagwile na Yahya Zayd, nao wakitupia, KMC yenyewe iliichapa Toto Africans 7-0.
Azam FC kihistoria hadi sasa imeshacheza mara mbili michauno hiyo tokea irudishwe tena mwaka 2015, na mara zote kikifika hatua za mbali, msimu wa 2015/2016 kikifika fainali na kupoteza kwa kufungwa ya Yanga mabao 3-1 huku msimu uliopita kikiishia nusu fainali baada ya kupoteza kwa bao 1-0 dhidi ya Simba.
Msimu wa 2015/2016 wakati kikifika fainali na kufungwa na Yanga, Azam FC ilikutana na Panone ya mjini Moshi kwenye hatua ya 16 bora katika mechi ngumu iliyofanyika Uwanja wa Ushirika, ambapo matajiri hao walitoka nyuma na kushinda mabao 2-1, yaliyofungwa na nyota wa zamani wa timu hiyo, beki Pascal Wawa na mshambuliaji Allan Wanga.
Aidha msimu uliopita kwenye hatua ya 16 bora iliitoa Mtibwa Sugar kwa kuipa kipigo cha 1-0, mchezo uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam, bao likifungwa na winga Ramadhan Singano 'Messi' aliyepokea pande safi kutoka kwa kiungo machachari Salum Abubakar ‘Sure Boy’.
Safari hii msimu huu, mabingwa hao wa Ligi Kuu msimu 2013/2014 wanaodhaminiwa na Benki ya NMB, Maji Safi ya Uhai Drinking Water na Tradegents, wamefika tena hatua hiyo ya 16 bora na watacheza dhidi ya KMC iliyopanda daraja, Azam FC ikiwa na kila sababu ya kusonga mbele kutimiza lengo la kutwaa taji hilo na kurejea kwenye michuano ya Afrika.
Mbali na bingwa wa michuano hiyo kutwaa Kombe, medali na pesa taslimu Sh. Milioni 50, pia atakata tiketi ya moja kwa moja kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2019.
Mechi nyingine ya ASFC leo; Singida United wanawakaribisha Polisi Tanzania Uwanja wa Namfua mjini Singida na kesho; Maji Maji wataikaribisha Yanga Uwanja wa Maji Maji mjini Songea, Buseresere FC watakuwa wenyeji wa Mtibwa Sugar Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza na JKT Tanzania watamenyana na Ndanda FC Uwanja wa Azam Complex Chamazi, Dar es Salaam.
Mechi za 16 Bora ya ASFC zitakamilishwa Jumatatu ya Februari 26, Kiluvya United wakiwa wenyeji wa Tanzania Prisons Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani na Stand United watakuwa wenyeji wa Dodoma FC Uwanja wa Kambarage, Shinyanga.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://ift.tt/2onJmgW best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang BEKI MZIMBABWE WA AZAM FC BRUCE KANGWA ASEMA LEO LAZIMA WAIFUNGE KMC CHAMAZI ASFC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2018/02/beki-mzimbabwe-wa-azam-fc-bruce-kangwa.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 18.25
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    Hollywoodbets REFER A FRIEND Bonus
    HOW TO REFER A FRIEND TO HOLLYWOODBETS Get R50 FREE when you Refer A Friend to Hollywoodbets.mobi! Learn how to participate in this promo...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    UEFA Champions League: Matchday 3 Preview
    Our football writer previews the UEFA Champions League matchday three action which kicks off on Tuesday 23 October 2018. Matchday three o...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
Copyright Viral Sports: BEKI MZIMBABWE WA AZAM FC BRUCE KANGWA ASEMA LEO LAZIMA WAIFUNGE KMC CHAMAZI ASFC