Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
WINGA wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva leo ameifungia bao la ushindi timu yake, Difaa Hassan El- Jadida ikiilaza 2-1 Raja Casablanca Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi mjini El Jadida, Mazghan katika mchezo wa Ligi Kuu ya Morocco, maarufu kama Botola Pro.
Msuva alifunga bao hilo dakika ya 76 baada ya Hamid Ahadad kuifungia Difaa Hassan El Jadida bao la kusawazisha dakika ya 45, kufuatia M Iyajour kutangulia kuwafungia Raja Casablanca dakika ya 41.
Kwa ushindo huo, Difaa Hassan El- Jadida inarejea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Botola Pro kwa kufikisha pointi 41 kutokana na mechi 26.
Na Msuva akapumzishwa baada ya kazi hiyo nzuri, nafasi yake ikichukuliwa na Lahoucein Khoukhouch dakika ya 87.
Japokuwa Msuva yupo katika msimu wake wa kwanza Difaa Hassan El- Jadida baada ya kununuliwa kutoka Yanga SC ya Dar es Salaam Julai mwaka jana, lakini tayari ni mchezaji tegemeo wa timu hiyo iliyofuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2qQvPi4
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms