Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
SHIRIKISHO la SOka Tanzania (TFF) limewaondoa refa Abdallah Kambuzi na wasaidizi wake, Godfrey Msakila na Consolata Lazaro kwenye orodha ya marefa wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara kwa mechi zilizobaki.
Hatua hiyo inakuja siku moja baada ya watatu hao kuboronga katika maamuzi yao wakichezesha mechi ya Ligi Kuu baina ya KMC na Simba SC, zote za Dar es Salaam Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.
Simba SC iliendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu jana baada ya kuwachapa KMC 2-1, hivyo kufikisha pointi 66 baada ya kucheza mechi 26 na kupanda hadi nafasi ya pili ikiizidi kwa wastani wa mabao tu, Azam FC inayoangukia nafasi ya tatu, huku Yanga SC ikiendelea kuongoza kwa pointi zake 74 za mechi 32.
Lakini katika ushindi huo, ilionekana kabisa kulikuwa kuna mbeleko ya marefa, hatua ambayo imeifanya TFF isisubiri hadi Bodi ya Ligi itakapokuja kukaa baada ya muda mrefu na kuingilia kati kuwachukulia hatua waamuzi hao kwa kuutia doa mchezo.
Marefa hao wanadaiwa kuwapa Simba SC penalti mbili za utata jana ambayo moja walikosa, lakini pia kuwanyima KMC penalti na kutoa maamuzi mengine ya ovyo katika matukio ya kuotea.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2GyI9eS
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms