• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (244)
    • ►  September (1)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ▼  Juni (318)
      • Legal Eagle - Vodacom Durban July 2019 - Profile
      • MADAGASCAR YAIPIGA NIGERIA 2-0 NA KUFUZU 16 AFCON,...
      • WINGA MACHACHARI WA TP MAZEMBE, DEO KANDA MUKOKO A...
      • SINGIDA UNTED YAANZA KAZI, YASAJILI MSHAMBULIAJI W...
      • TFF YAFUNGUA RASMI DIRISHA LA USAJILI KWA KLABU ZA...
      • AMUNIKE AJIPA MATUMAINI YA KUPATA MATOKEO MAZURI D...
      • SIASA NA ITIKADI ZAKE VISIRUHUSIWE SANA KUINGILIA ...
      • TAIFA STARS WAKIPASHA UFUKWE WA COPACABANA KATIKA ...
      • NDIKUMANA ALIVYOANZA KAZI RASMI AZAM FC JANA CHAMAZI
      • ALEXIS SANCHEZ AIPELEKA CHILE NUSU FAINALI COPA AM...
      • SUAREZ AKOSA PENALTI URUGUAY YATUPWA NJE COPA AMERICA
      • CAMEROON YAJIWEKA NJIA PANDA KUFUZU 16 BORA AFCON,...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Sunday 30 June 2019
      • Head Honcho - Vodacom Durban July 2019 - Profile
      • ARGENTINA KUMENYANA NA BRAZIL NUSU FAINALI COPA AM...
      • BAFANA BAFANA YAFUFUA MATUMAINI YA KUSONGA MBELE A...
      • Hawwaam - Vodacom Durban July 2019 - Profile
      • Rainbow Bridge - Vodacom Durban July 2019 - Profile
      • Do It Again - Vodacom Durban July 2019 - Profile
      • YANGA SC YAVAMIA KAMBI ZA AFCON MISRI NA KUSAJILI ...
      • YANGA SC KUANIKA KIKOSI KIPYA JULAI 27 TAIFA KWA M...
      • AZAM FC YAMSAJILI MKONGWE WA BURUNDI, NDIKUMANA AL...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Saturday 29 June 2019
      • LIVERPOOL YASAJILI BEKI KINDA WA MIAKA 17 KWA PAUN...
      • SIMBA SC YASAJILI MCHEZAJI MWINGINE KUTOKA KLABU Y...
      • BRAZIL YATINGA NUSU FAINALI COPA AMERICA BAADA YA ...
      • KENYA 3-2 TANZANIA (AFCON 2019)
      • PHAKA: 150th Episode Promotion
      • ICC Cricket World Cup: England vs India Preview
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Friday 28 June 2019
      • TAIFA STARS YAGONGWA 3-2 NA HARAMBEE STARS NA KUTU...
      • ALGERIA YATANGULIA 16 BORA KOMBE LA MATAIFA AFRIKA...
      • Kenilworth Best Bets Saturday 29 June 2019
      • 2019 COSAFA Women’s Championship Returns to Port E...
      • Fairview Best Bets Friday 28 June 2019
      • SHOMARI KAPOMBE AONGEZA MKATABA MPYA WA MIAKA MIWI...
      • Phaka Predictions - Super Rugby 2019 - Semi-Finals
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Thursday 27 June 2019
      • Vaal Best Bets Thursday 27 June 2019
      • BREAKING NEWS: A Brighter Future as Greyville and ...
      • MISRI NA NIGERIA ZAWA ZA KWANZA KUTINGA 16 BORA MI...
      • KOTEI ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU KUJIUNGA NA K...
      • MAYANJA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA KUJIUNGA NA ...
      • European Tour: Andalucía Valderrama Masters Preview
      • CLATOUS CHAMA ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI ...
      • ICC Cricket World Cup: Sri Lanka vs South Africa P...
      • AFCON 2019: South Africa vs Namibia Preview
      • PGA Tour: Rocket Mortgage Open Preview
      • CAMEROON YAANZA VYEMA AFCON, GHANA YALAZIMISHWA SA...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Wednesday 26 June 2019
      • Na Mwandishi Wetu, CAIRO KOCHA Mkuu wa timu ya sok...
      • BEKI MBRAZIL ALIYECHEZA PAMOJA NA NEYMAR, PHILIPPE...
      • Super Rugby Semi Final: Jaguares v Brumbies Preview
      • ATP Tour: Nature Valley International (Eastbourne)...
      • WTA Tour: Nature Valley International (Eastbourne)...
      • Opinion: Where to now for South African cricket?
      • Vodacom Durban July 2019 - Final Field
      • Bafana could have done better in attack - Percy Tau
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Tuesday 25 June 2019
      • IVORY COAST NA MALI NAZO ZAANZA VYEMA MICHUANO YA ...
      • Kenilworth Best Bets Tuesday 25 June 2019
      • TSHABALALA ASAINI MKATABA MPYA WA MIAKA MIWILI KUE...
      • What We Learned from the Super Rugby Quarter Final...
      • Super Rugby 2019: Crusaders v Hurricanes Preview
      • SENEGAL 2-0 TANZANIA (AFCON 2019 CAIRO)
      • ARGENTINA YAIPIGA QATAR 2-0 NA KUTINGA ROBO FAINAL...
      • Super Rugby Quarter Final Highlights
      • ICC Cricket World Cup: Week Five Preview
      • Flamingo Park Best Bets Monday 24 June 2019
      • ICC Cricket World Cup: England vs Australia Preview
      • Bafana Bafana - 20% First Goal Deposit Bonus
      • TAIFA STARS YAANZA VIBAYA MICHUANO YA AFCON 2019, ...
      • VDJ: 15% Deposit Bonus Ts and Cs
      • BRAZIL YAICHAPA PERU 5-0 NA KUTINGA ROBO FAINALI C...
      • RAIS DK. MAGUFULI AKUTANA NA MDHAMINI WA KLABU YA ...
      • Neil Morrice: UK Racing Tips - Sunday 23 June 2019
      • UGANDA YASHINDA MECHI YA KWANZA AFCON BAADA YA MIA...
      • AMUNIKE AJIPA MATUMAINI TAIFA STARS ITAWAPIGA SIMB...
      • WABUNGE WATEMBELEA KAMBI YA TAIFA STARS KUELEKEA M...
      • YANGA SC YAMSAINISHA MIAKA MITATU KIUNGO WA ALLIAN...
      • Neil Morrrice: Royal Ascot Day 5 Preview
      • MISRI WAANZA VYEMA AFCON 2019, YAIPIGA ZIMBABWE 1-...
      • SIMBA SC YAIPIGA GWAMBINA FC KWA MATUTA BAADA YA S...
      • MTIBWA SUGAR WATWAA TENA UBINGWA LIGI KUU YA VIJAN...
      • MAKONDA AWAPA YANGA ENEO LENYE THAMANI YA SH MILIO...
      • YANGA SC YAITANDIKA SIMBA 2-0 NA KUMALIZA NAFASI Y...
      • Lucky Numbers Facebook Promotion: Ts and Cs
      • Barahin - Vodacom Durban July 2019 - Profile
      • Turffontein Best Bets Sunday 23 June 2019
      • TORRE ASTAAFU RASMI SOKA BAADA YA MIAKA 18 YA MAFA...
      • Doublemint - Vodacom Durban July 2019
      • HASSAN KESSY ARUHUSIWA KUICHEZEA TAIFA STARS DHIDI...
      • AZAM FC YAMSAJILI MVUYEKURE WA KMC, CHIRWA NA HOZA...
      • SIMBA SC YASAJILI MSHAMBULIAJI KUTOKA TIMU YA LIGI...
      • Kenilworth Best Bets Saturday 22 June 2019
      • Scottsville Saturday 22 June 2019 Best Bets
      • SuperSport Challenge Final: Pumas v Griquas Preview
      • AMBOKILE WA MBEYA CITY ATUA TP MAZEMBE KUCHUKUA NA...
      • MAKONDA AWAPA TFF ENEO LA UKUBWA WA HEKARI 15 WAJE...
      • MKOA WA KIGOMA WATWAA UBINGWA WA MICHUANO YA KWANZ...
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » ADI YUSSUF ARIPOTI KAMBINI TAIFA STARS MAPEMA TU KWA MAANDALIZI YA AFCON

ADI YUSSUF ARIPOTI KAMBINI TAIFA STARS MAPEMA TU KWA MAANDALIZI YA AFCON

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI mpya wa Blackpool FC ya Daraja la Pili England, Adi Yussuf ni miongoni mwa wachezaji walioripoti katika kambi ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ hoteli ya White Sands mjini Dar es Salaam katika siku ya kwanza leo kwa maandalizi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) baadaye mwezi huu nchini Misri.
Adi Yussuf aliyejiunga na Blackpool akitokea Solihull Moors ya Daraja la Sita kama mchezaji huru ameripoti leo Whites Sands na kufanyiwa vipimo vya afya.
Meneja wa Taifa Stars, Danny Msangi amesema kwamba ni mchezaji mmoja tu, kiungo Himid Mao ambaye hajaripoti kwa sababu atakuwa anaichezea klabu yake, Petrojet FC mchezo wa mwisho wa msimu wa Ligi Kuu ya Misri Jumatatu dhidi ya Al Mokawloon ikihitaji ushindi ili kuepuka kushuka daraja.
Wachezaji 38 wameingia kambini leo Taifa Stars hoteli ya White Sands hadi Juni 7 kwa maandalizi ya awali ya AFCON kabla ya kikosi kwenda Alexandria.
Kikosi kitaondoka na wachezaji 32 baada ya kuchujwa saba kutoka 39 walioitwa akiwemo Mao na kati ya hao ni 23 tu watashiriki AFCON.
Wachezaji wengine wataendelea kubaki kambini kwa maandalizi ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN), inayohusisha wachezaji wanaocheza ligi za nchini mwao pekee.
Kikosi cha kocha Mnigeria, Emmanuel Amunike kitaanza na mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wa AFCON, Misri Juni 13, mwaka huu Uwanja wa Borg El Arab mjini Alexandria.
Baada ya hapo Taifa Stars itacheza mechi zake tatu za Kundi C mfululizo ikianza na Senegal Juni 23, Kenya Juni 27 na kumaliza na Algeria Julai 1 kuangalia matokeo yake kama yataipeleka hatua ya mtoano.  
Kikosi kilichoingia kambini leo kinaundwa na makipa; Aishi Manula (Simba SC), Metacha Mnata (Mbao FC), Suleiman Salula (Malindi SC) na Aaron Lulambo (Tanzania Prisons).
Mabeki; Claryo Boniface (U20), Hassan Kessu (Nkana FC, Zambia), Vincent Philipo (Mbao FC), Shomari Kapombe, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Erasto Nyoni (Simba SC), Kelvin Yondan, Gardiel Michael (Yanga SC), Abdi Banda (Baroka FC, Afrika Kusini), Ally Ally (KMC) na Kennedy Wilson (Singida United).
Viungo ni Feisal Salum, Ibrahim Ajibu (Yanga SC), Jonas Mkude (Simba SC), Shiza Kichuya (ENNPI, Misri), Simon Msuva (Difaa Hassan El-Jadidi Morocco) na Farid Mussa (Tenerife, Hispania).
Washambuliaji ni Yahya Zayd (Ismailia, Misri), Shaaban Iddi Chilunda (Tenerife, Hispania), Rashid Mandawa (BDF, Botswana), Ayoub Lyanga (Coastal Union), Kassim Khamis (Kagera Sugar), Kelvin John (Serengeti Boys), Adi Yussuf (Solihull Moors, England), John Bocco (Simba SC), Thomas Ulimwengu (JS Saoura, ALgeria) na Nahodha Mbwana Samatta (KRC Genk, Ubelgiji).  
Wachezaji wengine beki Ally Mtoni, kiungo Freddy Tangalu wa Lipuli FC na mshambuliaji Miraj Athumani ‘Madenge’ wa Lipuli FC, mabeki David Mwantika, Aggrey Morris, viungo Frank Domayo na Mudathir Yahya wa Azam FC watajiunga na wenzao kesho baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) leo Uwanja wa Ilulu mjini Lindi.  
Mbali na Taifa Stars kupangwa Kundi C AFCON 2019 pamoja na jirani zao, Kenya, Algeria na Senegal – wenyeji, Misri wapo Kundi A pamoja na na Zimbabwe, Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Kundi B linaundwa na Burundi, Madagascar, Guinea na Nigeria, Kundi D linaundwa na Namibia, Afrika Kusini, Ivory Coast na Morocco, wakati Kundi E kuna Angola, Mauritania, Mali na Tunisia na Kundi F ni Guinea Bessau, Benin, Ghana na mabingwa watetezi, Cameroon. 
Taifa Stars imefuzu AFCON ya mwaka huu baada ya kumaliza nafasi ya pili kwenye Kundi L kwa pointi zake nane, nyuma ya jirani zao wa Afrika Mashariki, Uganda walioongoza kwa pointi zao 13 wakizipiku Lesotho iliyomaliza na pointi sita na Cape Verde pointi tano.    
Mwaka huu, Tanzania itashiriki AFCON kwa mara ya pili tu kihistoria baada ya mwaka 1980 nchini Nigeria ambako ilipangwa Kundi A pamoja na wenyeji, Nigeria, Misri na Ivory Coast na kushika mkia.
Mwaka 1980 ilifungwa mechi mbili, 3-1 na Nigeria na 2-1 na Misri kabla ya kutoa sare ya 1-1 na Ivory Coast na kuishia Raundi ya kwanza tu, wakati timu nane tu zinashiriki michuano hiyo.   
Michuano itaanza Juni 21 hadi Julai 19 na Taifa Stars itachezea mechi zake Uwanja wa Juni 30 na Al Salam mjini Cairo.
Na katika CHAN, Taifa Stars itaanzia nyumbani dhidi ya Sudan Julai 26 kabla ya kurudiana Agosti 2 na ikifuzu mtihani huo itamenyana na mshindi kati ya Kenya na Burundi.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2WxW6E1 best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang ADI YUSSUF ARIPOTI KAMBINI TAIFA STARS MAPEMA TU KWA MAANDALIZI YA AFCON. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/06/adi-yussuf-aripoti-kambini-taifa-stars.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 12.20
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    Winning Form Promotion - Jockey Trainer Combo
    You could win a R200 Hollywoodbets betting voucher. Simply comment on the competition post who is your favourite jockey, trainer combo of ...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Withdrawal Options - Cash Send to Cellphone
    Did you know besides EFT, Hollywoodbets offers you four different "Cash Send to Cellphone" options for withdrawing from your Holl...
  • PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    PSG WATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUITANDIKA REAL MADRID 4-0
    TIMU ya Paris Saint-Germain ya Ufaransa imeendelea kudhihirisha umwamba wake kwa wapinzani wake wa Ulaya baada ya usiku wa Jumatano kufan...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • YANGA SC TAYARI WAPO SHINYANGA KWA AJILI YA MCHEZO NA MWADUI FC KESHO KAMBARAGE
    YANGA SC TAYARI WAPO SHINYANGA KWA AJILI YA MCHEZO NA MWADUI FC KESHO KAMBARAGE
    KIKOSI cha Yanga SC tayari kipo Shinyanga kwa ajili ya mchezo wake wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Mwadui FC kesho Uwanja wa Kambar...
Copyright Viral Sports: ADI YUSSUF ARIPOTI KAMBINI TAIFA STARS MAPEMA TU KWA MAANDALIZI YA AFCON