Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo amekabidhi maeneo ya ardhi kwa klabu ya Yanga na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) eneo la Kigamboni mjini humo kutimiza ahadi zake za hivi karibuni.
Makonda amewapa Yanga eneo lenye ukubwa wa hekari saba pamoja na hati ya umiliki kwa klabu ya Yanga kwa ajili ya ujenzi wa uwanja na matumizi mengine, ikiwa ni ahadi aliyoitoa wakati wa hafla ya harambee ya uchangiaji wa timu hiyo Juni 5.
Eneo hilo lenye thamani ya Shilingi Milioni 700 lipo umbali wa Kilomita 14 kutoka Daraja la Mwalimu Nyerere na umbali wa Mita 200 kutoka Barabara kubwa.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo akiwakabidhi viongozi wa Baraza la Wadhamini wa Yanga nati za eneo lao leo
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akifuatilia maelekezo ya Makamu wa Rais wa TFF, Athumani Nyamlani kwenye makabidhiano leo
Pamoja na kuwapa Yanga eneo, Mkuu wa Mkoa, Makonda pia leo amekabidhi hekari 15 za ardhi kwa TFF zilizopo eneo la Kigamboni pia, Kisarawe 2 lenye thamani ya zaidi ya Sh. Bilioni 1.5.
Wakati kwa Yanga SC, Makonda ametimiza ahadi ya Juni 5, TFF aliwapa ahadi hiyo jana hoteli ya Serena mjini Dar es Salaam wakati wa harambee ya kuichangia timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) ziizoanza leo nchini Misri.
Afisa Habari wa Simba SC, Haji Manara alimuomba Makonda aifikirie na klabu hiyo katika mgawo wake wa ardhi.
“Binadamu tuna wivu…na siye tuna nyongo…ninakuomba Mkuu wa Mkoa...kufanya vizuri kote huko…robo fainali Klabu Bingwa Afrika…mbona haututaji katika neema hizi za ardhi…” alisema Manara.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2RrfZaR
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms