Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
NAHODHA Msaidizi wa Simba SC, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia mabingwa hao wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara.
Tshabalala ambaye yupo na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kilichopo Misri kwenye Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), alisaini mkataba huo kabla ya kuondoka nchini Juni 7, mwaka huu.
Tshabalala anaingia kwenye orodha ya wachezaji wengine muhimu walioongeza mikataba chini ya Nahodha Mkuu, John Bocco, kipa Aishi Manula, mabeki Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, kiungo Jonas Mkude na mshambuliaji Meddie Kagere raia wa Rwanda.
Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kupiga kazi Simba SC
Na hiyo ni baada ya kazi nzuri msimu huu kwa pamoja na wenzao wakiiwezesha klabu kutetea ubingwa wa Ligi Kuu na kufika Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambako walitolewa na vigogo, TP Mazembe ya DRC.
Tshabalala alijiunga na Simba SC Jun mwaka 2014 akitokea Kagera Sugar ya Bukoba baada ya awali kupitia akademi ya Azam FC.
Pamoja na kuwaongezea mikataba wachezaji wake wa msimu uliopita, Simba SC pia imesaini wachezaji watatu ambao ni washambuliaji Mbrazil, Wilker Henrique da Silva kutoka Bragantino ya Daraja la Nne nchini kwao, kipa Beno Kakolanya kutoka Yanga, beki wa kati, Kennedy Wilson Juma kutoka Singida United wote Watanzania na kiungo wa kimataifa wa Sudan, Sharaf Eldin Shiboub Ali Abdalrahman.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE http://bit.ly/2FofxVZ
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms