MABINGWA watetezi, Liverpool watamenyana na Atletico Madrid katika hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa, wakati mabingwa wa England, Manchester City watamenyana na Real Madrid.
Katika droo iliyopangwa leo Jijini Nyon, Uswisi ikihusisha timu zote nne za Ligi Kuu ya England zilizofuzu kwenye michuano hiyo iliyoanza Agosti, Chelsea itamenyana na Bayern Munich.
Timu nyingine ya England, Tottenham Hotspur ya kocha Mreno Jose Mourinho itaivaa RB Leipzig inayofundishwa na Julien Nagelsmann
Borussia Dortmund watamenyana na Paris Saint-Germain, Atalanta watamenyana na Valencia, Lyon na Juventus na Napoli watakutana na Barcelona.
Mechi za kwanza za hatua hiyo zitachezwa kati ya February 18, 19, 25 nad 26 na za marudiano zitachezwa kati ya Machi 10, 11, 17 na 18.
Ratiba kamili ya hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kupangwa leo mjini Nyon, Uswisi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
FIRST LEGS
Tuesday, February 18
Borussia Dortmund vs PSG
Atlético Madrid vs Liverpool
Wednesday, February 19
Atalanta vs Valencia
Tottenham vs RB Leipzig
Tuesday, February 25
Napoli vs Barcelona
Chelsea vs Bayern Munich
Wednesday, February 26
Real Madrid vs Manchester City
Lyon vs Juventus
SECOND LEGS
Tuesday, March 10
Valencia vs Atalanta
RB Leipzig vs Tottenham
Wednesday, March 11
PSG vs Borussia Dortmund
Liverpool vs Atlético Madrid
Tuesday, March 17
Manchester City vs Real Madrid
Juventus vs Lyon
Wednesday, March 18
Barcelona vs Napoli
Bayern Munich vs Chelsea
Champions League: Who did English clubs draw in the last 16?
Loaded: 0%
Progress: 0%
0:00
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2PoDqSy
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms