Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana amefunga penalti lakini timu yake, KRC Genk imetupwa nje ya michuano ya Bora Kombe la Ubelgiji baada ya kufungwa kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 3-3 na Royal Antwerp katika mchezo wa hatua ya 16 Bora Uwanja wa Bosuilstadion mjini Deurne.
Huo ni mwendelezo wa matokeo mabaya mno kwa Genk wakifikisha mechi nane bila kushinda, wakifungwa ya sita huku nyingine mbiki wakitoa sare – baada ya kushinda mara ya mwisho Oktoba 26 dhidi ya Cercle Brugge 1-0.
Katika sare ya 3-3 mabao ya Genk yalifungwa na Joakim Maehle dakika ya nne, Wesley Hoedt aliyejifunga dakika ya 81 na Junya Ito dakika ya 105 na ushei na ya Royal Antwerp yamefungwa na Simen Juklerod dakika ya 30 na Dieumerci Mbokani mawili dakika ya 72 na 104.
Samatta jana amecheza mechi ya 178 akiwa amefunga mabao 71 katika katika mashindano yote tangu ajiunge na KRC Genk Januari mwaka 2016 akitokea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).
Katika ligi ya Ubelgiji pekee amecheza mechi 138 akiwa amefunga mabao 54, kwenye Kombe la Ubelgiji amecheza mechi 10 sasa na kufunga mabao mawili, katika Super Cup mechi moja, Ligi ya Mabingwa Ulaya mabao matau, mechi nne.
Kikosi cha Genk kilikuwa: Vandevoordt, Maehle, Dewaest, LucumÃ, Borges/De Norre dk108, Cuesta/Wouters dk81, Berge, Ndongala, Hrosovsky/Bongonda dk75, Paintsil/Ito dk68 na Samatta.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2OOFJhr
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms