• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ►  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ▼  2019 (4532)
    • ▼  Desember (328)
      • YANGA SC 1-0 BIASHARA UNITED (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • SIMBA SC ‘YAWATISHA WATANI’, YAWACHAPA NDANDA FC 2...
      • International Racing: Kranji Polytrack - 1 January...
      • International Racing: Sha Tin (Turf) – 1 January 2020
      • South African Rugby Moments of the Decade
      • FA Cup 3rd Round: Selected Matches Preview
      • Spanish La Liga: Gameweek 19 Preview
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Scottsville Best ...
      • YANGA SC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA SC LIGI ...
      • UK Racing Best Bets - Tuesday 31 December 2019
      • Horse Racing Tips: Kenilworth Best Bets - Tuesday ...
      • Grooms' Initiative Winners - 29th December 2019 - ...
      • MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY CO...
      • Absa Premiership: Gameweek 16 Preview
      • L'Ormarins Queen's Plate 2020 - Ante-Post Betting
      • Sizzling Summer Challenge - Sunday 29th December 2019
      • DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAP...
      • Chiefs' Defence Shuts Sarries Out
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Monday 30 ...
      • UK Racing Tips - Monday 30 December 2019
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MUSTAPHA HOZA
      • CHELSEA YAIKANYAGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATES
      • MANE AFUNGA BAO PEKEE LIVERPOOL YAILAZA WOLVES 1-0...
      • TATIZO LA KMC NI KUJIKUNA KWENYE UNYAYO BADALA YA ...
      • NCHIMBI ANA HAMU NA KAZI, LAKINI YANGA ISHAWEKA MA...
      • CHIRWA AING'ARISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 POLISI TA...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SAID MSHAMU, MSHAM...
      • KMC 0-2 SIMBA SC (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
      • DAVIS AMUANGUSHA MARA TATU GAMBOA NA KUMPIGA KWA TKO
      • MAN UNITED YAPANDA NAFASI YA TATU ENGLAND BAADA YA...
      • KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ...
      • SIMBA SC YAZIDI ‘KUPOTELEA MBALI’ KILELENI LIGI KU...
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • EDERSON ALIMWA NYEKUNDU MAPEMA, MAN CITY YACHAPWA ...
      • TANZANIA PRISONS 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA))
      • YANGA SC YASOGEA ‘ANGA ZAKE’ LIGI KUU BAADA YA KUI...
      • UK Racing Best Bets - Saturday 28 December 2019
      • International Racing: Sha Tin (Turf / All-Weather)...
      • Horse Racing Tips: Turffontein Best Bets Saturday ...
      • Horse Racing Tips: Kenilworth Best Bets - Saturday...
      • MSENGI WA KMC ASAINI MIAKA MITATU KUJIUNGA NA STEL...
      • PRO14: Round 9 Preview
      • French Top 14: Round 12 Preview
      • Grooms' Initiative Winners - 22nd December 2019 - ...
      • Grooms' Initiative Winners - 26th December 2019 - ...
      • Gallagher Premiership: Round 7 Preview
      • Grooms' Initiative - Stats and Winners
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Friday 27 ...
      • LIVERPOOL 'MOTO FIRE' YAILIPUA LEICESTER CITY 4-0 ...
      • ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA AFC BOURNEMOUTH
      • CHELSEA WAPIGWA 2-0 NA SOUTHAMPTON PALE PALE DARAJANI
      • MARTIAL APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE 4-1
      • UK Racing Best Bets & Tips - Friday 27 December 2019
      • Sizzling Summer Challenge - Thursday 26th December...
      • COASTAL UNION YAINYAMAZISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 ...
      • MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWA...
      • MAREFA WA BURUNDI KUICHEZESHA TANZANIA DHIDI YA UG...
      • SIMBA SC 4-0 LIPULI FC (LIGI KUU TANZANIA BARA))
      • KWA MADUDU HAYA YA MAREFA WETU, TUSUBIRI HIYO JANU...
      • SIMBA SC YAENDELEZA ‘UMWAMBA’ LIGI KUU YA TANZANIA...
      • Sizzling Summer Challenge - 1st December 2019
      • NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA K...
      • ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUS...
      • 'SIMBA ONE' AISHI MANULA ALIVYO 'FITI' KUELEKEA MC...
      • FRANK DOMAYO 'CHUMVI' ASAINI MKATABA MPYA WA KUEND...
      • MBEYA CITY 0-0 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • YANGA SC YATOA SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU, YA...
      • International Racing: Happy Valley – Thursday 26 D...
      • PRO14: Round 9 Thursday Preview
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • Opinion: Stokes will show the Proteas what they ar...
      • UK Racing Tips - Thursday 26 December 2019
      • DIRISHA DOGO ANASAJILIWA NDAMA BADALA YA NG'OMBE W...
      • AZAM FC YAITOA KWA MATUTA AFRICAN LYON NA KUTINGA ...
      • South Africa vs England: First Test Preview
      • Australia vs New Zealand: Second Test Preview
      • Keagan de Melo on top at Christmas
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA HASHIM 'RAMSEY' KAMBI
      • Sports Betting Tips: Festive Season Soccer Guide
      • SIMBA SC 6-0 AFC ARUSHA (KOMBE LA TFF)
      • SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATA...
      • Horse Racing Tips: Vaal Best Bets: Tuesday 24 Dece...
      • Dolphins downed by Warriors in Durban
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Monday 23 ...
      • WILLIAN APIGA ZOTE MBILI KUMNYAMAZISHA MOURINHO NA...
      • DE GEA 'ATOA BOKO' MAN UNITED YACHAPWA 2-0 NA WATF...
      • SIMBA SC YAFANYA ‘MAUWAJI’ AZAM SPORTS FEDERATION ...
      • MABEKI WA PAMBA SC 1987, IBRAHIM MAGONGO NA YUSSUF...
      • NI LIVERPOOL KLABU BINGWA YA DUNIA BAADA YA KUIPIG...
      • JESUS AFUNGA BAO LA KWANZA TANGU JANUARI ETIHAD MA...
      • RAIS WALLACE KARIA AKIWAHUTUBIA WAJUMBE WA MKUTANO...
      • TANZANTES TAYARI WAPO ALGERIA KUSHIRIKI MICHUANO M...
      • KOCHA MPYA SIMBA ALIVYOINOA SIMBA SC MARA YA MWISH...
      • EVERTON NA ARSENAL ZAMALIZANA KWA SARE, 0-0 GOODIS...
      • MESSI, SUAREZ, GRIEZMANN, VIDAL WOTE WAFUNGA BARCA...
      • MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA IDDI KAONEKA
      • YANGA SC 4-0 IRINGA UNITED (KOMBE LA TFF)
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Scottsville Best ...
      • YANGA SC YATINGA 16 BORA AZAM SPORTS FEDERATION CU...
      • Bling Holds 1 Point Lead on Summer Challenge Log
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » YANGA SC YASAWAZISHIWA KWA PENALTI DAKIKA YA MWISHO, YATOA SARE YA 1-1 NA KMC

YANGA SC YASAWAZISHIWA KWA PENALTI DAKIKA YA MWISHO, YATOA SARE YA 1-1 NA KMC

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
YANGA SC imepunguzwa kasi baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na KMC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam.
Matokeo hayo yanayoiongezea kila timu pointi moja, yanaifanya Yanga SC ifikishe pointi 17 katika mchezo wa nane na kujivuta hadi nafasi ya tisa, wakati KMC inafikisha pointi tisa katika mchezo wa 11 na inashika nafasi ya 17 kwenye Ligi Kuu ya timu 20.
Baada ya dakika 45 ngumu za kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo, Yanga SC ilitangulia kwa bao kiungo mshambuliaji mkongwe, Mrisho Khalfan Ngassa ‘Uncle’ aliyetokea benchi kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Mnamibia, Sadney Urikhob. 



Ngassa alifunga bao hilo kiufundi dakika ya 73 akimchambua kipa namba moja wa timu ya taifa ya Burundi, Jonathan Nahimana akimalizia pasi nzuri ya kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Patrick Sibomana.
Beki mkongwe wa Yanga, Kelvin Patrick Yondan akamuangusha kwenye boksi kiungo mshambuliaji mwenye kasi wa KMC, Hassan Salum Kabunda na refa Heri Sasi akaweka penalti ambayo ilifungwa kiufundi na kiungo Abdul Hilary kufanya mchezo uishe 1-1.
Mechi nyingine ya Ligi Kuu leo, bao pekee la Bright Obina dakika ya 72 lilitosha kuipa Biashara United ushindi wa 1-0 dhidi ya Ndanda FC Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.
Biashara United inafikisha pointi 15 katika mchezo wa 13 ingawa inabaki nafasi ya 15 na Ndanda FC inabaki nafasi ya 18 na pointi zake nane baada ya kucheza mechi 13 pia. 
Kikosi cha Yanga SC kilikuwa; Farouk Shikharo, Juma Abdul, Jaffar Mohamed, Lamine Moro, Kelvin Yondan, Ally Mtoni ‘Sonso’/Mapinduzi Balama dk70, Deus Kaseke, Papy Kabamba Tshishimbi, David Molinga, Sadney Urikhob/Mrisho Ngasa dk46 na Patrick Sibomana.
KMC; Jonathan Nahimana, Kelvin Kijiri, Ally Ramadhani, Ismail Gambo, Abdallah Mfuko, Kenny Ally, Rayman Mgungila, Mohamed Samatta/Abdul Hilary dk49, Ramadhani Kapera, Hassan Kabunda na Serge Noguez/Aaron Lulambo dk76.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/380NlVB best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA SC YASAWAZISHIWA KWA PENALTI DAKIKA YA MWISHO, YATOA SARE YA 1-1 NA KMC. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2019/12/yanga-sc-yasawazishiwa-kwa-penalti.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 08.46
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • World Cup Qualifiers: Selected Quad Preview
    Our footy writer previews four eye-catching 2018 World Cup qualifiers that are worth a dabble.  Club football goes on hold as the interna...
  • AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    AZAM FC WANAVYOJIFUA VIKALI KUJIANDAA NA MCHEZO WAO WA KWANZA WA LIGI KUU DHIDI YA POLISI TANZANIA JUMATATU CHAMAZI
    Kiungo wa Azam FC, Mzimbabwe Never Tigere (kulia) akimiliki mpira pembeni ya beki Mgahana wa Azam FC, Yakubu Mohamed kwenye mazoezi ya tim...
Copyright Viral Sports: YANGA SC YASAWAZISHIWA KWA PENALTI DAKIKA YA MWISHO, YATOA SARE YA 1-1 NA KMC