Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
KLABU ya Yanga SC imefikia uamuzi wa kuachana na Katibu Mkuu wake, Dk David Luhago baada ya makubaliano naye leo Jijini Dar es Salaam na nafasi yake itakaimiwa na Wakili Simon Patrick.
Taarifa ya Yanga SC leo imesema kwamba makubaliano hayo yamefikiwa baada ya majadiliano ya pande zote mbili – yaani uongozi na Luhago kwa maslahi mapana ya klabu na kwa sasa Wakili Patrick ambaye ni Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama atakaimu nafasi hiyo.
“Uongozi wa klabu ya Yanga na Katibu Mkuu, David Luhago na Katibu Mkuu, David Luhago leo tarehe 15/06,2020 umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa ajira wa Katibu Mkuu,”imesema taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo.
Dk David Ruhago (walioketi kulia), akiwa na Mkurugenzi wa Mashindano Thabit Kandoro. Wengine waliosimama ni kutoka kulia Hassan Bumbuli, Mkurugenzi wa Masoko na Biashara, Robert Kabeya Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, Simon Patrick.
Uongozi wa Yanga SC chini ya Mwenyekiti, Dk. Mshindo Msolla ulimtangaza rasmi Luhago kuwa Katibu Mkuu mpya Novemba 11 mwaka jana, akichukua nafasi iliyoachwa wazi na Charles Boniface Mkwasa ambaye kwa sasa ni Kocha Msaidizi wa klabu.
Ruhago aliajiriwa kwa pamoja na Mkurugenzi wa Mashindano Thabit Kandoro, Mkurugenzi wa Masoko na Biashara, Robert Kabeya, Mkurugenzi wa Sheria na Wanachama, Simon Patrick na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasilian, Bumbuli.
Kwa mwaka mzima baada ya kuondoka kwa Mkwasa, nafasi ya Kaimu Katibu Mkuu Yanga SC ilikaimiwa na viongozi watatu tofauti ambao ni Omar Kaya, Dismas Ten na Thabit Kandoro aliyekaimu nafasi hiyo kwa siku 11 tu tangu Novemba 1, mwaka jana.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/3fr1zC7
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms