• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (243)
    • ►  Juli (2)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ▼  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ►  Juli (433)
    • ▼  Juni (372)
      • LEROY SANE ATUA BAYERN MUNICH KWA DAU LA PAUNI MIL...
      • RONALDO AFUNGA JUVENTUS YAICHAPA GENOA 3-1 NA KUZI...
      • MESSI AFUNGA BAO LA 700 BARCELONA YATOA SARE 2-2 N...
      • YANGA SC 2-1 KAGERA SUGAR (KOMBE LA TFF)
      • MAN UNITED YAICHAPA BRIGHTON 3-0 NA KUFUFUA MATUMA...
      • Anthony Delpech - Sha Tin Preview - Wednesday 1st ...
      • YANGA SC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA Y...
      • International Racing: Wednesday 1 July 2020 - Aust...
      • Neil Morrice: International Racing - Wednesday 1 J...
      • Mokwena: It was a pleasure working at Chippa
      • English Premier League: Gameweek 32 Preview
      • My First: Jerry Sikhosana
      • Super Rugby AU: Queensland Reds v NSW Waratahs Pre...
      • International Racing: Sha Tin - Wednesday 01 July ...
      • International Racing: Compiegne Best Bets - Wednes...
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • Best Bets From Europe's Least Popular Leagues
      • Looking back: Super Rugby Aotearoa Round 3
      • This Week's Lucky Numbers
      • Super Rugby Aotearoa: Chiefs v Hurricanes Preview
      • Klopp rules out major Liverpool signings
      • Grooms Leaderboard - Back On Track Challenge
      • No Ordinary Sunday!
      • Striker’s Big Four!
      • Big Soccer Win
      • Neil Morrice: International Racing - Tuesday 30 Ju...
      • English Premier League: Man City vs Liverpool
      • Horse Racing Tips: Vaal Best Bets - Tuesday 30 Jun...
      • International Racing: Saint Cloud Best Bets - Tues...
      • Rugby News: Monday 29 June
      • Xulu to part ways with Maritzburg
      • New 24/7 Live Games Available!
      • Spanish La Liga: Gameweek 33 Preview
      • Super Rugby AU: Tournament Preview
      • DFB-Pokal Final: Leverkusen vs Bayern Preview
      • Hollywoodbets Back On Track – Punters Challenge
      • Jockey Leaderboard - Back On Track Challenge
      • Apprentices Leaderboard - Back On Track Challenge
      • Racehorses Leaderboard - Back On Track Challenge
      • Trainer Leaderboard - Back On Track Challenge
      • MAN CITY NA ARSENAL, MAN U NA CHELSEA NUSU FAINALI FA
      • DANI CEBALLOS AIPELEKA ARSENAL NUSU FAINALI KOMBE ...
      • REAL MADRID YAICHAPA ESPANYOL 1-0 NA KUSHIKA KASI ...
      • ROSS BARKLEY AIPELEKA CHELSEA NUSU FAINALI KOMBE L...
      • TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA B...
      • Punters Challenge - Daily Winners - 28th June 2020
      • SIMBA SC YATWAA TAJI LA TATU MFULULIZO LIGI KUU BA...
      • YANGA SC 3-2 NDANDA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • Horse Racing Tips: Kenilworth Best Bets - Monday 2...
      • Neil Morrice - International Racing: Monday 28 Jun...
      • International Racing: Clairefontaine Best Bets - M...
      • International Racing: Limerick Best Bets - Monday ...
      • Australian Racing: Sunday 28 June 2020 – Sunshine ...
      • Neil Morrice: International Racing - Sunday 28 June
      • SUAREZ APIGA ZOTE MBILI LAKINI BARCA YAAMBULIA SAR...
      • HARRY MAGUIRE AIPELEKA MANCHESTR UNITED NUSU FAINA...
      • SAMATTA ACHEZA MECHI YOTE ASTON VILLA YACHAPWA 1-0...
      • SERIKALI YARUHUSU MASHABIKI KUINGIA KWENYE MECHI Y...
      • YANGA SC YATOKA NYUMA YAWACHAPA NDANDA 3-2 TAIFA N...
      • YANGA SC 2-2 NAMUNGO FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • RONALDO, DYBALA, HIGUAIN WAFUNGA JUVENTUS YASHINDA...
      • Australian Racing: Saturday 27 June 2020
      • International Racing: Sha Tin - Saturday 27 June 2020
      • 🚨 NEW PAYOUT LIMITS 🚨
      • English Premier League: 27-29 June Preview
      • My First: Brian Baloyi
      • Ndungane twins Top 5 sporting moments
      • International Racing: Chantilly Best Bets - Saturd...
      • International Racing: Curragh Best Bets - Saturday...
      • Italian Serie A: Week 28 Preview
      • Budgie's Best Bets for the Weekend
      • Neil Morrice: International Racing - Saturday 27 J...
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • Horse Racing Tips: Turffontein Best Bets - Saturda...
      • Horse Racing Tips: Kenilworth Best Bets - Saturday...
      • Spanish La Liga: Gameweek 32 Preview
      • LAMINE MORO AFUNGIWA MECHI TATU NA FAINI SH 500,00...
      • SERIKALI YAZUIA MASHABIKI KUINGIA MECHI ZA SIMBA N...
      • MASHABIKI LIVERPOOL WAMWAGIKA MITAANI KUSHEREHEKEA...
      • ARSENAL YAICHAPA SOUTHAMTON 2-0 NA KUPANDA NAFASI ...
      • CHELSEA WAIPIGA MAN CITY 2-1 NA KUIPA UBINGWA LIVE...
      • Feature Races - Hollywoodbets Greyville - Sunday 2...
      • International Racing: Curragh and Tipperary - Frid...
      • Australian Racing: Friday 26 June 2020
      • International Racing: Clairefontaine Best Best - F...
      • Dubai Duty Free Irish Derby 2020
      • Neil Morrice: International Racing - Friday 26 Jun...
      • Peterson says he won't relocate with TTM
      • Best of the Rest: Europe Football Top Tips
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Friday 26 ...
      • How to play MONOPOLY Live with Hollywoodbets
      • Winning Form Facebook Promotion - Terms and Condit...
      • Opinion: Can cricket be maintained if bio-secure v...
      • OZOW Deposit Promotion - Terms and Conditions
      • Punters Challenge - Daily Winners - 24th June 2020
      • REAL MADRID YAREJEA KILELENI BAADA YA KUICHAPA MAL...
      • International Racing: Fairyhouse - Thursday 25 Jun...
      • SAMATTA ACHEZA HADI MWISHO ASTON VILLA YATOA SARE ...
      • MARTIAL APIGA HAT TRICK MAN UNITED YAICHAPA SHEFFI...
      • LIVERPOOL YAICHARAZA CRYSTAL PALACE 4-0 NA KUUKARI...
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » YANGA SC YATOKA NYUMA YAWACHAPA NDANDA 3-2 TAIFA NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU

YANGA SC YATOKA NYUMA YAWACHAPA NDANDA 3-2 TAIFA NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU

Na Mwandshi Wetu, DAR ES SALAAM
VIGOGO Yanga SC wametokea nyuma na kushinda 3-2 dhidi ya Ndanda SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Ushindi huo unairejesha Yanga SC nafasi ya pili, ikifikisha pointi 60 katika mchezo wa 32, sasa inazidiwa pointi 18 na mabingwa watetezi, SImba SC ambao wana mechi moja mkononi.  
Katika mchezo wa leo uliochezeshwa na refa Raphael Ikambi wa Morogoro aliyesaidiwa na Sunday Komba wa Kilimanjaro na Credo Mbuya wa Mbeya, Yanga walikuwa wa kwanza kupata bao kupitia kwa kiungo wake, Deus David Kaseke dakika ya tano tu akimalizia pasi ya mshambuliaji Ditram Adrian Nchimbi.



Lakini Ndanda SC wakatoka nyuma kwa mabao mawili ya Abdul Hamisi dakika ya 10 na 15 mara zote akimalizia kazi nzuri ya mchezaji mwenzake Omary Mponda na kuongoza kwa 2-1.
Mchezaji wa zamani wa Mbeya City, Deus Kaseke akaisawazishia Yanga dakika ya 45 akimalizia kazi nzuri ya beki wa kulia, Juma Abdul Mnyamani.
Mkongwe Mrisho Khalfan Ngassa akatokea benchi kipindi cha pili na kuifungia Yanga SC bao la ushindi dakika ya 72 akimalizia kazi nzuri ya Juma Abdul.
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, Bao la dakika ya 90 na ushei la Gershon Kabeja likainusuru Biashara United kulala nyumbani mbele ya Azam FC iliyotangulia kwa bao la Frank Domayo dakika ya 48 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 Uwanja wa Karume, Musoma mkoani Mara.
Nayo Kagera Sugar ikalazimishwa sare ya 1-1 na KMC ya Kinondoni, Dar es Salaam, wageni wakitangulia kwa bao la Abdul Hassan dakika ya 22, kabla ya Yussuph Mhilu kuwasawazishia wenyeji dakika ya 40 Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.
Ruvu Shooting nayo ikatoa sare ya 1-1 na Namungo FC Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani - Abeid Athuman akiwatanguliza wageni dakika ya 16, kabla ya William Patrick kuwasawazishia wenyeji dakika ya 30.
Na Uwanja wa Mwadui Complex, wilayani Kishapu mkoani Shinyanga, bao pekee la Wallace Kiango dakika ya 56 likaipa  Mwadui FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar, wakati Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza, bao pekee la Martine Kiggi dakika ya 47 likawapa wenyeji, Alliance FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Coastal Union.
Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya, mabao ya Peter Mapunda dakika ya 37 na Patson Shigala dakika ya 90 na ushei yakaipa Mbeya City ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT Tanzania.
Singida United wakachapwa 3-2 na Lipuli FC Uwanja wa Liti mkoani Singida, mabao ya wageni yakifungwa na Daruwesh Saliboko dakika ya 32 kwa penalti na 33 na Joseph Ntamack dakika ya 57, huku ya wenyeji yakifungwa na Stephen Sey dakika ya 35 na 41.
Kikosi cha Yanga SC leo kilikuwa; Farouk Shikhalo, Juma Abdul, Adeyoum Ahmed, Said Juma ‘Makapu’, Kelvin Yondan, Feisal Salum, Haruna Niyonzima/ Patrick Sibomana dk78, Raphael Daudi/ Abdulaziz Makame dk46, David Molinga/ Tariq seif dk78, Ditram Nchimbi/Mrisho Ngassa dk64 na Deus Kaseke. 
Ndanda SC; Ally Mustapha ‘Barthez’, Swalehe Abdallah, Hemed Khoja, Abdulrazak Mohamed, Paul Maona, Danald Taro, Abdul Hamisi/ Kassim Mdoe dk70, Vitalis Mayanga, Omar Mponda/Athumani Chubi dk85, Omary Ramadhani/Omary Hamisi dk80 na Kiggi Makassy.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2YF9mXz best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang YANGA SC YATOKA NYUMA YAWACHAPA NDANDA 3-2 TAIFA NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/06/yanga-sc-yatoka-nyuma-yawachapa-ndanda.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 10.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Kenilworth Best Bets - Saturday 7 April 2018
    Winning Form brings you their best tips for Kenilworth's racing on Saturday the 7th of April 2018. Tips provided by Winning Form, a...
  • Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana held by Nigeria in AFCON Qualifier
    Bafana Bafana moved one step closer to the 2019 Africa Cup of Nations with a point in their 1-1 draw with Nigeria at the FNB Stadium on Sa...
  • TUZO ZA LIGI KUU ZABORESHWA, SASA WACHEZAJI KUPEWA NA KING'AMUZI CHA AZAM TV
    Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB) Boniface Wambura, akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa Mchezaji bora wa mwezi wa Ligi Kuu ya Vod...
  • French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    French Top 14: Toulouse v La Rochelle Preview
    Toulouse can qualify for a 27th French domestic final with a semi-final victory over La Rochelle at the Stade Matmut-Atlantique on Saturda...
  • SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    SAFA Apologizes for No SABC Broadcast of AFCON Qualifier
    The South African Football Association wishes to apologize  to the nation and the football loving public for the fact that the SABC faile...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
Copyright Viral Sports: YANGA SC YATOKA NYUMA YAWACHAPA NDANDA 3-2 TAIFA NA KUREJEA NAFASI YA PILI LIGI KUU