Na Mwandishi Wetu, BIRMINGHAM
MSHAMBULIAJI wa kimatafa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta leo amecheza kwa dakika 80 timu yake, Aston Villa ikiibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Villa Park.
Kwa ushindi huo, Aston Villa inafikisha pointi 30 baada ya kucheza mechi 35 na kujiinua kwa nafasi moja hadi ya 18, sasa ikiizidi pointi mbili AFC Bournemouth inayoshika nafasi ya 19 na ina mechi moja mkononi, ikiwa mbele ya Norwich City yenye pointi 21 za mechi 35.
Samatta aliyejiunga na Villa Januari mwaka huu akitokea ondolewa uwanjani dakika ya 80 kumpisha mshambuliaji chipukizi wa England, Keinan Davis dakika ya 89.
Mabao ya Aston Villa leo yamefungwa na kiungo wa kimataifa wa Misri, Mahmoud Ahmed Ibrahim Hassan ‘Trezeguet’ dakika ya 45 na ushei na 59.
Crystal Palace ilipata pigo dakika ya 90 na ushei baada ya mshambuliaji wake, Christian Benteke aliyewahi kuchezea Aston Villa kutolewa kwa kadi nyekundu.
Kikosi cha Aston Villa kilikuwa; Reina, El Mohamedy, Konso Ngoyo, Mings, Taylor/Targett dk36, McGinn, Luiz, Hourihane/Nakamba dk80, Trezeguet/El Ghazi dk88, Samatta/Davis dk80 na Grealish.
Crystal Palace: Guaita, Ward, Dann, Sakho, van Aanholt, Zaha, Kouyate/Riedewald dk66, Milivojevic/Meyer dk75, McArthur/McCarthy dk46, Ayew/Townsend dk66 na Benteke.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2OeaU4S
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms