Na Mwandishi Wetu, MAZGHAN
KUINGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana kwa mara nyingine alishindwa kuisaidia timu yake, Difaa Hassan El-Jadidi kuondoka na pointi zote tatu baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 na Ben Ahmed El Abdi, El Jadida mjini Mazghan, Casabablanca.
Sare hiyo inafuatia sare nyingine ya 0-0 na Raja Casabablanca hapo hapo Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu ya Morocco baada ya kurejea kufuatia kusimama tangu Machi kutokana na mlipuko wa maambukizi ya virusi vya corona.
Na Msuva (pichani kulia), mchezaji wa zamani wa klabu ya Yanga ya Dar es Salaam alicheza mechi zote hizo mbili kwa ustadi mkubwa kama kawaida yake – lakini tu bahati haikuwa yake kuweza kufunga.
Na baada ya sare hizo mbili mfululizo, Difaa Hassan El-Jadidi inafikisha pointi 27 kufuatia kucheza mechi 20 za Ligi Kuu ya Morocco, maarufu kama Botola Pro na kupanda kwa nafasi moja hadi ya nane, sasa ikiizidi pointi tatu Youssoufia Berrechid.
Difaa Hassan El-Jadidi watateremka tena uwanjani Agosti 11 katika mchezo wa tatu mfululizo wa nyumbani wa Ligi ya Morocco wakimenyana na FAR Rabat Uwanja wa Ben Ahmed El Abdi, El Jadida mjini Mazghan.
from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/314VCFx
best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma
lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma
lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma
lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm,
lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today,
mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma,
mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma
compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos
claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer,
mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney,
mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390,
mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of
mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is
mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms