• Home
  • About Us
  • Contact Us
  • Disclaimer
  • Sitemap
  • Privacy Policy

Viral Sports

MENU

  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE BLOG
  • BIN ZUBEIRY SPORTS- ONLINE
  • Hollywoodbets Sports Blog

Mengenai Saya

admin blog
Lihat profil lengkapku

Arsip Blog

  • ►  2025 (242)
    • ►  Juli (1)
    • ►  Juni (8)
    • ►  Mei (44)
    • ►  April (66)
    • ►  Maret (36)
    • ►  Februari (57)
    • ►  Januari (30)
  • ►  2024 (832)
    • ►  Desember (57)
    • ►  November (49)
    • ►  Oktober (54)
    • ►  September (67)
    • ►  Agustus (63)
    • ►  Juli (78)
    • ►  Juni (68)
    • ►  Mei (84)
    • ►  April (92)
    • ►  Maret (77)
    • ►  Februari (65)
    • ►  Januari (78)
  • ►  2023 (1299)
    • ►  Desember (79)
    • ►  November (75)
    • ►  Oktober (88)
    • ►  September (95)
    • ►  Agustus (112)
    • ►  Juli (125)
    • ►  Juni (126)
    • ►  Mei (117)
    • ►  April (148)
    • ►  Maret (135)
    • ►  Februari (82)
    • ►  Januari (117)
  • ►  2022 (1404)
    • ►  Desember (71)
    • ►  November (79)
    • ►  Oktober (117)
    • ►  September (120)
    • ►  Agustus (115)
    • ►  Juli (119)
    • ►  Juni (121)
    • ►  Mei (123)
    • ►  April (121)
    • ►  Maret (119)
    • ►  Februari (130)
    • ►  Januari (169)
  • ►  2021 (2522)
    • ►  Desember (170)
    • ►  November (124)
    • ►  Oktober (138)
    • ►  September (190)
    • ►  Agustus (154)
    • ►  Juli (141)
    • ►  Juni (133)
    • ►  Mei (134)
    • ►  April (252)
    • ►  Maret (348)
    • ►  Februari (355)
    • ►  Januari (383)
  • ▼  2020 (4463)
    • ►  Desember (387)
    • ►  November (405)
    • ►  Oktober (348)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (435)
    • ▼  Juli (433)
      • KUNGO WA KAGERA SUGAR, ZAWADI PETER MAUYA ASAINI M...
      • ERASTO NYONI AMKABIDHI JEZI MPYA DOGO ALIYEANDIKA ...
      • International Racing: Australia - Saturday 01 Augu...
      • AKINA MSUVA WALAZIMISHWA SARE YA PILI MFULULIZO YA...
      • Mgijimi was Like a Brother to me: Pirates Superfan
      • Fairview Best Bets - Monday 3 August 2020
      • Turffontein Best Bets - Sunday 2 August 2020
      • Kenilworth Best Bets - Saturday 1 August 2020
      • Neil Morrice: International Racing - Saturday 1 Au...
      • Soccer Legends Pay Tribute to Mgijimi
      • Italian Serie A: Week 38 Preview
      • The NBA Returns with a Bang
      • AWESU AWESU ALIYEKUWA ANATAKIWA NA YANGA ASAINI MI...
      • International Racing: Friday 31 July 2020 – Austra...
      • F1 2020: British Grand Prix Preview
      • Fairview Best Bets & Tips - Friday 31 July 2020
      • Neil Morrice: International Racing - Friday 31 Jul...
      • MAREFA WATANO KUCHEZESHA FAINALI YA AZAM SPORTS FE...
      • Super Rugby Aotearoa: Round 8 Preview
      • Opinion: Who will join the 500 wicket club next?
      • Fantasy League Betting: You Could Win A R1500 Bett...
      • Super Rugby AU: Round 5 Preview
      • International Racing: Thursday 30 July - Australia
      • IHEFU YABISHA HODI LIGI KUU BAADA YA KUIPIGA MBAO ...
      • Vaal Classic Best Bets - Thursday 30 July 2020
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Thursday 30 July 2020
      • Best Bets from Europe’s Least Popular Leagues
      • BENJAMIN WILLIAM MKAPA NAJUA UMEENDA, ILA ACHA NIS...
      • PGA Tour 2020: WGC-FedEx St Jude Invitational
      • European Tour 2020: The Hero Open (English Open)
      • PGA Tour 2020: Barracuda Championship
      • FA Cup Final: Arsenal vs Chelsea Preview
      • CLATOUS CHAMA NA FEISAL SALUM WA YANGA SC WASHINDA...
      • International Racing: Wednesday 29 July 2020 – Aus...
      • Neil Morrice: International Racing - Wednesday 29 ...
      • RAIS DK. MAGUFULI AUBADILI JINA UWANJA WA TAIFA, S...
      • Hollywoodbets Scottsville Best Bets - Wednesday 29...
      • Italian Serie A: Week 37 Preview
      • This Week's Lucky Numbers (28/07/2020)
      • International Racing: Cairns, Taree & Bathurst - T...
      • Betgames Africa Lucky 5 Big Win!
      • Super Rugby Aotearoa: Round 7 Talking Points
      • Neil Morrice: International Racing - Tuesday 28 Ju...
      • Liverpool’s Resilience is Commendable
      • Super Rugby AU: 5 Talking Points
      • Durbanville Best Bets - Tuesday 28 July 2020
      • 3 Legendary Pieces of Kaunda Ntunja Commentary
      • Grooms Leaderboard - Back On Track Challenge
      • Hollywoodbets Back On Track - Racing Challenge 2020
      • LUC EYMAEL AFUKUZWA KAZI YANGA SC KWA KUWATOLEA ‘M...
      • JUVENTUS MABINGWA SERIE A KWA MARA YA TISA MFULULIZO
      • VARDY AWAPIKU AUBAMEYANG, INGS KIATU CHA DHAHABU E...
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • Stand a chance to win a R1000 1ForYou voucher
      • Neil Morrice: UK Best Bets - Monday 27 July 2020
      • Racehorses Leaderboard - Back On Track Challenge
      • Apprentices Leaderboard - Back On Track Challenge
      • LIVERPOOL YAMALIZA NA USHINDI WA 3-1 DHIDI YA NEWC...
      • MAN CITY YAISINDIKIZA NORWICH CITY CHAMPIONSHIP NA...
      • ARSENAL YAISHUSHA DARAJA WATFORD BAADA YA KUICHAPA...
      • Jockey Leaderboard - Back On Track Challenge
      • Trainer Leaderboard - Back On Track Challenge
      • Hollywoodbets Back On Track – Punters Challenge
      • CHELSEA YAFUZU LIGI YA MABNGWA BAADA YA KUICHAPA W...
      • LIPULI FC 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • MAN UNTED YAIPIGA LEICESTER CITY 2-0 KING POWER NA...
      • SAMATTA AINUSURU ASTON VILLA KUSHUKA DARAJA BAADA ...
      • Punters' Challenge Winners - Vodacom Durban July D...
      • YANGA SC YAICHAPA LIPULI FC 1-0 SAMORA NA KUMALIZA...
      • KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA P...
      • ALLIANCE FC, NDANDA SC, LIPULI FC ZAUNGANA NA SING...
      • Neil Morrice: International Racing - Sunday 26 Jul...
      • A massive Lucky Numbers win
      • Vodacom Durban July 2020 - Full Results All Races ...
      • PSG WATWAA KOMBE LA UFARANSA BAADA YA KUIPIGA AS S...
      • Sports Crush Saturday: Serena Williams
      • International Racing: Saturday 25 July 2020 – Belm...
      • Vodacom Durban July 2020 - Panel Preview
      • Neil Morrice: International Racing - Saturday 25 J...
      • Jerry Sikhosana: I Shared a Room with Baloyi Ahead...
      • Italian Serie A: Week 36 Preview
      • Horse Racing Tips: Turffontein Best Bets - Saturda...
      • Horse Racing Tips: Kenilworth Best Bets - Sunday 2...
      • RAIS MKAPA ALIYEWAPA WATANZANIA ZAWADI YA UWANJA W...
      • Horse Racing Tips: Hollywoodbets Greyville Best Be...
      • Move north a bold but potentially rewarding step f...
      • International Racing: Friday 24 July 2020 – Australia
      • COASTAL UNION 0-0 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
      • DOMAYO AFUNGA BAO PEKEE AZAM FC YAICHAPA MBEYA CIT...
      • SERGE WAWA PASCAL ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU SIMBA ...
      • Store Assistant Cashes In A big win!
      • Neil Morrice: International Racing - Friday 24 Jul...
      • English Premier League: Week 38 Preview
      • Madlala: We haven't taken any decision
      • Horse Racing Tips: Fairview Best Bets - Friday 23 ...
      • Blu Approved Competition: You could win a R250 bet...
      • Super Rugby AU: Round 4 Preview
      • Stand a chance to win 1 of 5 R200 1ForYou vouchers
      • The BCCI's IPL plans still need government clearan...
      • International Racing: Thursday 23 July 2020 – Aust...
    • ►  Juni (372)
    • ►  Mei (244)
    • ►  April (248)
    • ►  Maret (355)
    • ►  Februari (392)
    • ►  Januari (450)
  • ►  2019 (4532)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (367)
    • ►  Oktober (420)
    • ►  September (394)
    • ►  Agustus (411)
    • ►  Juli (364)
    • ►  Juni (318)
    • ►  Mei (360)
    • ►  April (382)
    • ►  Maret (419)
    • ►  Februari (365)
    • ►  Januari (404)
  • ►  2018 (5483)
    • ►  Desember (328)
    • ►  November (450)
    • ►  Oktober (535)
    • ►  September (484)
    • ►  Agustus (487)
    • ►  Juli (481)
    • ►  Juni (431)
    • ►  Mei (483)
    • ►  April (393)
    • ►  Maret (435)
    • ►  Februari (419)
    • ►  Januari (557)
  • ►  2017 (5921)
    • ►  Desember (477)
    • ►  November (567)
    • ►  Oktober (506)
    • ►  September (518)
    • ►  Agustus (555)
    • ►  Juli (535)
    • ►  Juni (465)
    • ►  Mei (471)
    • ►  April (459)
    • ►  Maret (448)
    • ►  Februari (441)
    • ►  Januari (479)
  • ►  2016 (2138)
    • ►  Desember (445)
    • ►  November (509)
    • ►  Oktober (482)
    • ►  September (466)
    • ►  Agustus (236)
Diberdayakan oleh Blogger.
Home » BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE » KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 UWANJA WA USHIRIKA

KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 UWANJA WA USHIRIKA

Na Mwandishi Wetu, MOSHI
MABINGWA wa Tanzania Bara, Simba SC wamemaliza kwa ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Polisi Tanzania Uwanja wa Ushirika mjini Moshi katika mchezo wa kufunga pazia la Ligi Kuu.
Katika mchezo huo uliochezeshwa na refa Martin Saanya wa Morogoro aliyesaidiwa na Makame Mdogo na Joseph Pombe wa Shinyanga, mabao ya Simba SC yamefungwa yote leo yamefungwa na Nahodha wake, John Raphael Bocco dakika ya pili na 45 na ushei, wakati la Polisi limefungwa na Marcel Kaheza dakika ya 30.
Kwa matokeo hayo, Simba SC iliyobeba taji la Ligi Kuu kwa mara ya tatu mfululizo msimu huu na mara ya 21 jumla, inamaliza na pointi 88, ikifuatiwa na watani wao wa jadi, Yanga SC waliomaliza na pointi 72, wakati Azam FC imemaliza na pointi 70 nafasi ya tatu.
Mechi nyingine za Ligi Kuu leo, Yanga SC wameshinda 1-0 dhidi ya wenyeji, Lipuli FC bao pekee la David Molinga dakika ya 38 Uwanja wa Samora mjini Iringa.
Tanzania Prisons imelazimishwa sare ya 2-2 na Azam FC Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Mabao ya Prisons yamefungwa na Abdallah Kheri aliyejifunga dakika ya 11 na Vedastus Mwihambi dakika ya 39, wakati ya Azam FC yamefungwa na Jumanne Elifadhili aliyejifunga dakika ya kwanza na Never Tigere dakika ya 59.
Mbao FC ikaibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ndanda SC mabao yake yakifungwa na Jordan John dakika ya 66 na Waziri Junior dakika ya 18 Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza.
Nayo Mtibwa Sugar ikaichapa 2-1 Ruvu Shooting mabao yake yakifungwa na Boban Zilintusa dakika ya 51 na 65 la wageni likifungwa na Saadat Mohamed dakika ya 35.
Alliance FC ikaibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Namungo FC Uwanja wa Nyamagana Jijini Mwanza. Mabao ya Alliance FC yamefungwa na Martin Kiggi dakika ya kwanza, Israel Patrick dakika ya 25 na Juma Nyangi dakika ya 65, wakati ya Namungo FC yamefungwa na Bigirimana Blaise dakika ya nane na Frank Mkumbo dakika ya 61.
Mbeya City wakaibuka na ushindi wa 3-0 ugenini dhidi ya KMC Uwanja wa Azam Complex, Chamazi Jijini Dar es Salaam mabao ya Rehani Kibingu dakika ya 68, Abasarim Chidiebele dakika ya 87 na Peter Mapunda dakika ya 90 na ushei kwa penalti.
Bao pekee la Najim Magulu dakika ya 79 likawapa JKT Tanzania ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya Coastal Union Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.
Mwadui FC wakaichapa Kagera Sugar 2-1 Uwanja wa Mwadui Complex, Kishapu mkoani Shinyanga. Mabao ya Mwadui FC yamefungwa na Wallace Kiango dakika ya 13 na 17 kwa penalti wakati la Kagera Sugar limefungwa na Nasoro Kapama dakika ya 68.
Biashara United ikaichapa 2-0 Singida United Uwanja wa Liti mjini Singida, mabao ya Deogratius dakika ya 20 na David Nartey aliyejifunga dakika ya 27.
Kikosi cha Polisi Tanzania kilikuwa; Mohammed Yussuf, William Lucian ‘Gallas’/Shaaban Stambuli dk67, Yassin Mustafa, Mohamed Kassim, Iddi Mobby, Pato Ngonyani, Sixtus Sabilo, Hassan Maulid, Matheo Anthony/Andrew Chamungu dk89, Marcel Kaheza/Jimmy Shoji dk57 na Pius Buswita/Mohamed Mkopi dk57.
Simba SC; Aishi Manula, Shomari Kapombe, Gardiel Michael, Yussuf Mlipili, Kennedy Juma, Gerson Fraga, Luis Miquissone/Deo Kanda dk82, Said Ndemla, John Bocco/Meddie Kagere dk67, Clatous Chama na Francis Kahata/Hassan Dilunga dk82.


from BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE https://ift.tt/2WWYX8p best mesothelioma law firms, mesothelioma attorneys, mesothelioma lawyer, mesothelioma lawsuits, mesothelioma lawyers, mesothelioma lawsuit, mesothelioma attorney, mesothelioma settlement, mesothelioma lawsuit settlements, mesothelioma settlements, mesothelioma law firm, lawyer mesothelioma, get a online mesothelioma law firm today, mesothelioma claims, mesothelioma claim, malignant mesothelioma, mesothelioma law, mesothelioma law firm california, mesothelioma compensation, mesothelioma law firms, asbestos settlement, asbestos claim, mesothelioma, asbestos lawsuit, asbestos lung cancer, mesothelioma law suit, asbestos claims720, asbestos attorney, mesothelioma lung cancer, mesothelioma causes, asbestos lawyer390, mesothelioma cancer, asbestos lawsuits, asbestos lawyers, causes of mesothelioma, asbestos cancer, mesothelioma law suits, what is mesothelioma, law offices, mesothelioma symptoms
Tweet

Terimakasih anda telah membaca artikel tentang KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 UWANJA WA USHIRIKA. Jika ingin menduplikasi artikel ini diharapkan anda untuk mencantumkan link https://viralsport.blogspot.com/2020/07/kapteni-bocco-apiga-zote-mbili-simba-sc.html. Terimakasih atas perhatiannya.

Related Posts

di 10.11
Label: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

{ 0 komentar... read them below or add one }


Posting Komentar

Posting Lebih Baru Posting Lama Beranda

Popular Posts

  • SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    SIMBA SC INAVYOJIANDAA KUIKABILI POWER DYNAMOS NDOLA
    VIUNGO, Muivory Coast Aubin Kramo Kouamé (kushoto) na José Luis Miquissone wa Msumbiji wakiwa kwenye mazoezi ya Simba leo Uwanja wa Mo Si...
  • Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Lucky Numbers Promotion: Stand a Chance to Win a Share of R100 000
    Stand a chance to win your share of R100 000 cash! Play R5 or more using your Hollywoodbets account on the selected Lucky Numbers draws an...
  • Lucky Numbers Draw Times & Results
    Lucky Numbers Draw Times & Results
    All the information you need for the 501 Lotto draws offered by Hollywoodbets for Lucky Numbers and Powa Numbas betting! Get closing times...
  • MOHAMED SALAH ANAVYOFURAHIA MAISHA LIVERPOOL
    Kiungo Mohamed Salah akifurahia kwenye mazoezi ya Liverpool leo Uwanja wa  Melwood kujiandaa na mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya England ...
  • PGA Tour: The Sony Open Preview
    We take a look at the Sony Open set to take place between 11 January and 14 January at the Waialae Country Club.  With news of Tiger Woods...
  • UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    UK Racing Best Bets - Saturday 28 September 2019
    Neil Morrice walks you through the front runners for Saturday's feature races at Cambridgeshire, Newmarket and the Cheveley Park Stake...
  • TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    TAIFA STARS KUINGIA KAMBINI JUMAMOSI HOTELI YA WHITE SANDS MAANDALIZI YA AFCON
    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itaingia kambini Juni 1 katika hoteli ya White Sands mjini ...
  • Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Daily Predictor Game: Stand A Chance To Win Your Share of R10 000 In Cash And Betting Vouchers
    Stand a chance to win your share of R10 000 in cash and betting vouchers by playing our new Daily Predictor Game. R200 betting vouchers da...
  • Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    Erwee now very earnestly knocking on the Proteas door
    It may be very early days in the South African domestic season but Hollywoodbets Dolphins opener Sarel Erwee has put his hand up with the f...
  • Vaal Thursday 29 September 2016 Best Bets
    Winning Form brings you their best tips for Vaal's racing on Thursday 29th of September 2016. Comments, images and betting and are pro...
Copyright Viral Sports: KAPTENI BOCCO APIGA ZOTE MBILI SIMBA SC YAICHAPA POLISI TANZANIA 2-1 UWANJA WA USHIRIKA